UMEMSIKIA SAMATA ALIVYO SEMA KUHUSU KOLOMIJE ?

Mtanzania Mbwana Samatta tayari yupoDar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya kimataifa ya kirafiki iliyo katika kalenda ya FIFA ambapo Tanzaniaitachezwa jumamosi ya March 25 na March 28 ikianza na Botswana na baadaeBurundi.

Samatta ambaye ndio nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars jioni ya March 22 2017 kupitia ukurasa wake wa twitter amejaribu kutoa wazo na kuuliza swali kwa watu wake kuwa “Nina wazo kwa nini Dar isibadirishwe jina ikaitwa Kolomije kwani tutapungikiwanini @himid23mao @IdrisSultan@jotitanzania @makivic08@Ulimwengu11

Swali la Samatta limechukuliwa kama utani tu kutokana na jina la kijiji chaKolomije kilichopo Mwanza kimekuwa maarufu kutokana na kutajwa mara kwa mara hivi karibuni katika mitandao ya kijamii.


Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?