Maneno ya Zitto kabwe baada ya uteuzi wa raisi magufuli leo

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli march 23, 2017  kufanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri ambapo sehemu ya mabadiliko hayo ni kamteua Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo.

Sasa basi leo mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter ameyaandika haya>>>Nimezungumza na mbunge wa Mchinga Nape kuthibitisha kuwa Ni Kweli ameondolewa kwenye Uwaziri. Nape ni Shujaa wa kizazi chetu’


Zitto Kabwe Ruyagwa 

@zittokabwe

Nimezungumza na mbunge wa Mchinga@Nnauye_Nape na kuthibitisha kuwa Ni Kweli ameondolewa kwenye Uwaziri. Nape ni Shujaa wa kizazi chetu

9:05 AM - 23 Mar 2017

 



 


Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?