KWA MABEGI ALIYO KUJA NAYO KIPA MPYA WA SIMBA HEEEEE!!!!

Kipa wa Medeama, Daniel Agyei ametua nchini tayari kumalizana na Simba. Lakini kwa hali inavyoonekana, huenda Simba imeishamaliza kila kitu kwa kuwa Agyei amekuja nchini na rundo la mabegi. Mabegi ya Agyei, inaonyesha ni mtu aliyekuja kazini na hana mpango wa kurudi kwao keshi, labda baada ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara kwisha.

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?