KIPA MPYA WA SIMBA NI YULE WA MADEMA ?

Simba imeonyesha imenuia kujiimarisha na kunja taarifa imeanza mazungumzo na kipa Daniel Agyei. Agyei ni kipa namba moja wa kikosi cha Medeama ya Ghana na Simba inataka aongeze nguvu katika kikosi chake. "Ndiye anaonekana kuwa chaguo sahihi, kazi yake ilionekana akiwa kwenye Kombe la Shirikisho," kilieleza chanzo. Kocha Joseph Omog alipendekeza kuongezwa kwa kipa mmoja ili ‘kumbusti’ Vicent Angban.

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?