WATAKAO NUFAIKA NA MKOPO KWA AWAMU YA PILI (SECOND BACH)
Serikali kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu imetangaza October 18 kuwa itatoa majina ya watakao nufaika na mkopo kwa awamu ya pili Second bach usikose kutembelea blog hii Mara kwa mara ili kupata majina hayo pindi yatakapo tangazwa tunakudhamini tunakujali
Comments
Post a Comment