KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHO ANZA LEO KUPASUA MBAO

   Mavugo arudi, Juko aendelea kupeta kikosi cha Kwanza Simba kuivaa Mbao   Benchi la ufundi Simba limemrudisha katika kikosi cha kwanza mshambuliaji Laudit Mavugo katika pambano la leo ligi kuu dhidi ya Mbao. Mavugo alianzia benchi katika mechi mbili mfululizo zilizopita dhidi ya Mbeya City na Kagera Sugar ambazo mshambuliaji mwenzake, Frederic Blagnon alipewa nafasi ya kwanza. Kikosi kamili: Vicent Angban, Janvier Bokungu, Mohamed Hussein, Juuko Murshid, Method Mwanjale, Jonas Mkude, Ramadhan Kichuya, Mzamiru Yassin, Shiza Kichuya, Ibrahim Ajib, Mwinyi Kazimoto. Akiba: Manyika Jr. Andi Banda, Said Ndemla, Novalty Lufunga, Emmanuel Simwanza, Mohamed Ibrahim,  Editor@ Emanuel  Gasper  0766605392

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?