TANGAZOOO!! JE WEWE NI MHITIMU WA KIDATO CHA NNE

JE WEWE NI MHITIMU WA KIDATO CHA NNE NA UNATAKA MAFANIKIO?  kama jibu ni ndio 

CHUO CHA UALIMU NA BIASHARA MOUNT SINAI kina kutangazia nafasi za masomo
CHUO CHA UALIMU MOUNT SINAI KILICHOPO ENEO LA BUNJU "A"  MANISPAA YA KINONDONI DAR ES SALAAM NI MIONGONI MWA VYUO VINANE NCHINI TANZANIA VILIVYO TEULIWA NA SERIKALI KUPITIA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI KUTOA MAFUNZO YA

KOZI  ZA UALIMU
STASHAHADA YA YA ELIMU YA UALIMU KATIKA SHULE ZA MSINGI (diploma in primary education
SIFA ZA MWOMBAJI
_Awe amemaliza kidato cha nne
_Awe na cheti cha ualimu wa shule za msingi(GD) muda wa mafunzo ni miaka miwili

2.STASHAHADA YA ELIMU YA UALIMU WA SHULE ZA MSINGI ( diploma in primary education _ pre service )
Sifa za mwombaji
_Awe amemaliza kidato cha nne
_Awe na ufaulu usiopungua D nne katika masomo manne
MUDA WA MAFUNZO NI MIAKA MITATU   mawasiliano 0766605392 and 0673824667 @@@@@@@@@@
KOZI ZA BIASHARA
1_certificate in Business Administration
2_certificate in accounting and finance
3_certificate in human resource management
4_Diploma in business administration
5_Diploma in accounting and finance
6_Diploma in procurement and supply
7_Diploma in Human resource Management
8_Information techinoligy
KOZI ZA MUDA MFUPI
1_Computer courses
2_Secretarial corses
3_Clearing and forwarding
SIFA ZA MWOMBAJI
KOZI ZA FOUNDATION : form four awe na alama D MBILI
KOZI ZA CHETI :awe na alama za D NNE AU TATU

KOZI ZA DIPLOMA awe na alama za principle moja katika kidato cha sita au katik ngazi ya cheti

KOZI ZA KILIMO
1_ certificate in general agricultule
2_ Certificate in Animal Health and production
3_Diploma in general agriculture
4_Diploma in Animal Health and production

Sifa za mwombaji

1_ CERTIFICATE IN GENERAL AGRICULTURE AND ANIMAL PRODUCTION = awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu wa D tatu na kuendelea lazima D moja iwe ya masomo ya D moja iwe ya sayansi

2_DIPLOMA IN GENERAL AGRICULTURE AND ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION
awe na certificate ya general agriculture Au awe amemaliza kidato cha sita na ufaulu wa principle moja na Subsidiary moja katika masomo ya sayansi

ADa zetu ni nafuu  ajira ni uhakika wahi na fasi ni chache piga simu 0766605392 Au 0673824667 kwa maelezo zaidi

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?