MGANDAMIZO MKUBWA WA DAMU
Mgandamizo wa juu wa Damu
Category: Makala mpya za afya Published on Saturday, 05 December 2015 12:45 Written by Afya Bora Hits: 111
inShare
Na Dk Mkweli, huu ni ugonjwa unaosababishwa na kuongezeka kwa msukumo wa damu kwenye mishipa ya ateri na hivyo kuufanya moyo hufanye kazi zaidi ili uweze kusukuma damu.
Kwa kawaida msukumo wa damu hutegemea wakati misuli ya maumivu ya kichwa hasa sehemu ya nyuma ya kichwa kupoteza uwezo wa macho kuona, kupoteza fahamu.
Umri mkubwa husababisha misuli ya moyo kulegea na kushindwa kufanua kazi na matumizi ya vyakula vyenye mafuta kwa wingi.
Kwa kutumia tiba mbadala nimefanikiwa kuwa tibu baadhi ya watu waliokuwa na matatizo haya.
Cheti changu nilichopewa na mkemia wa serikali pamoja na wizara ya afya baada ya kupeleka dawa zangu kwa uchunguzi imekua chachu ya kuaminika na kuonyesha wagonjwa mbali mbali.
Magonjwa haya husababisha vifo vya ghafla, tatizo wenye magonjwa makubwa kama haya ndo wale wasioamini tiba mbadala na matumizi ya matunda na miti ambayo ipo hapa nchini.
Mimi Dk Mkweli natoa wito kwa watanzania kupenda asili yao na kufanya mazoezi, kunywa maji kwa wingi na matumizi ya matunda kabla hawajaugua.
Comments
Post a Comment