About ulcers

Makala za Afya PichaMawasiliano Magonjwa Tunayotibu SHINIKIZO LA DAMU KUONGEZA CD4 MWILINI MOYO MPANA KUKOJOA KITANDANI KISUKARI (DIABETES) FIGO MALARIA (TYPHOD) PUMU (ASTHMA) ALEJI (ALEGEY) KIFAFA VIDONDA VYA TUMBO (ULCER) UPELE NA CHUNUSI MKOJO MCHAFU (U.T.I) MAGONJWA YA ZINAA (S.T.D) NA KUONGEZA CD 4 MWILINI FANGASI AINA ZOTE (FUNG) MIGUU, KIUNO NA MGONGO. JINO BILA KUNG'OA UVIMBE TUMBONI (FIBROID) KUPUNGUZA UNENE NA UZITO PAMOJA NA KUONDOA SUMU MWILINI MARADHI YA MACHO NGIRI AINA ZOTE. TUMBO LA CHANGO NA UZAZI KWA AKINA MAMA KUPOOZA (STROCK) TEZI DUME ( PROSTATE GLAND ) Vidonda vya tumbo Category: Makala mpya za afya Published on Saturday, 05 December 2015 12:45 Written by Afya Bora Hits: 102 inShare Na  Dk Mkweli kutoka kliniki ya Mkweli Herbal & Clinic (Afya bora clinic). Makala hii nakuelezea kuhusu vidonda vya tumbo ambao unawatesa  watanzania na kushindwa kujua namna ya kupona huku wengine wakuhusisha na imani za kishirikina   Vidonda vya tumbo vinavyotokea katika kuta za mfumo wa mmen'enyo wa chakula Vidonda vya tumbo huwaathiri zaidi watu wa umri kati ya miaka 40 hadi 60. Wanawake wanapofikia umri wa   kupata hedhi na watu wenye damu kundi O hupata vidonda vya tumno zaidi kuliko wenye damu makundi mengine. Chanzo chake  chanzo cha vidonda vya tumbo ni kushambuliwa na bakteria waitwao Helicobacter pylori ambao wakiingia mwilini hudhambulia kuta za tumbo na kuondoa ngozi inayoziba juu na hivyo kusababisha vidonda vya tumbo. Kuzalishwa kwa wingi kwa hydrochloric acid (HCL), na hivyo acid hii humeng;enya kura za tumbo. Kuzalishwa kwa wingi kwa hydrochloric acid (HCL) ambayo inameng'enya ukuta wa tumbo hupelekea mtu kuwa na vidonda vya tumbo. Lakini pia mtu kuwa na msongamano wa mawazo ambayo huondoa hamu ya kula na kufanya acid hii kushambulia kuta za tumbo sababu ya kukosekana chakula. Vyanzo vingine ni kama unywaji pombe na uvutaji wasigara, unywaji wavinywaji vyenye caffeine, matumizi ya dawa za kuondoa maumivu kama vile aspirin na ubuprofen.  Kuna aina mbili za vidonda vya tumbo ambavo ni vidonda vilivyopo tumboni ambavyo dalili zake kuu ni kuhishi maumivu hasa baada ya kula chakula. Aina ya pili ni vidonda vilivyopo kwenye utumbo mwembamba na dalili zake ni kuhisi maumivu hasa kabla ya kula.

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?