Maumivu ya Kiuno
UGONJWA WA MAUMIVU YA KIUNO
· Maumivu ya Kiuno ni ugonjwa unaotokana na mfuko wa chakula. Binadamu anapokuwa anakula vyakula inategema vyakula gani anavitumia. Kwa mfano akila vyakula vya mafuta mengi husababisha mgando katika mfuko wa chakula. Mgando huo katika mfoko wa chakula husababisha gas za mara kwa mara.
DALILI ZAKE
Dalili zake mara nyingi mtu anajisikia kula, apatapo chakula kidogo tu hujisikia ameshiba.Hii humpotezea hamu ya kula.
Hujisikia kupumua pumua kupitia tupa ya haja kubwa.
Wakati mwingine pia tumbo lake huunguruma na kujaa gasi ndipo hapo ambapo hujitokea mtu anapoenda kujisaidia haja kubwa hupata haja kubwa kidogo au kukosa kabisa.
Matokeo yake hutokea mgandamizo katika utupu wa haja kubwa ambao ndio kiuno chenyewe.
Mgandamizo huo huongezeka siku hadi siku.
Hapo mgando unapoongezeka kiuno huzalisha maumivu makali kwenye kiuno chenyewe.
Maumivu hayo yanatokana na kusambaa kwa ute huo husababisha binadamu anapokuwa katika shughuli zake asihili maumivu yoyote katika kiuno.
Madhara ya kusambaa katika kiuno na viungo vingine vya binadamu
Miguu kuwaka moto
Kupata ganzi
Kukosa hisia za kushiriki tendo la ndoa/mke/mume
Kizunguzungu cha mara kwa mara
Kutokuwa na uwezo wa macho kuona vizuri
Homa za mara kwa mara
Kusikia maumivu makali wakati wa kunyanyuka/kukaa/kuinama
Shinikizo la damu/kupanda au kushuka
Kudumaa kwa uume/uume kuwa mdogo
Mke kutokwa na uchafu mara kwa mara pasipo kushiriki tendo la ndoa wenye harufu au uchafu usio na harufu
Kupoa kwa joto katika mwili wa mwanamke
Unapokosa haja kubwa, maana yake ni kwamba haja kubwa kubaki njiani pasipo kuteremka.Kadiri siku zinavyozidi kupita ndiko mrundikano wa haja kubwa unapozidi kuongezeka na mrundikano huo husababisha ute katika kiuno kusambaa.
TIBA YAKE
Tiba yake ni dawa ambayo ni mitishamba dawa hizo hufanya kazi ya kuondoa takataka zote zilizopo katika mfumo wa kiuno, taka hizo zinapoondoka maumivu hayo ya kiuno huisha kabisa.
Comments
Post a Comment