MAN U wamefanya hivi leo
Clab ya manchester unitedi imeanza kigi vizuri baada ya kuifunga buremouth kwao goli tatu kwa moja alianza kufumania nyavu ni mchezaji Juan manuel mata dk 47 pia akaja kufunga mchezahi rooney na goli la tatu akafunga mchezaji mpya wa nan u ZLATANI IBRAHIMOVIC aliyefungua akaunti yake mpya ya magoli .Goli la kufutia machozi limefungwa na smith
Comments
Post a Comment