Posts

VIGEZO VYA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2020

Image
Vigezo vilivyotumika mwaka Jana. Wangi wamekuwa wakiuliza kuhusu vigezo vya kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa mwaka 2020. Mpaka sasa hakuna habari mpya kuhusu vigezo vitakavyotumika hivyo hapana shaka kuwa vigezo vilivyotumika mwaka jana vitatumika Tena ingawa pia mabadiliko yanaweza kutokea . Vigezo vinavyotumika 1.Mwanafunzi awe amefaulu na kupata DV I-III 2. Awe angalau amesoma kuanzia masomo saba na kuyafanyia mtihani. 3. Katika tahasusi kusiwe na daraja F. yani katika combination kuwa na A-D 4. Jumla ya alama katika tahasusi ilizidi 10. A=1, B=2, C=3, D=4, F=5. hivyo katika combination yako jumla ya alama haitakiwi kuzidi 10  BDD√  DCC √ 5. Mwanafunzi awe amechagua kujiunga na kidato cha tano, ikiwa nipamoja na kuchagua shule, kuchagua tahasusi aliyofaulu. Je kama ulijaza na hauku faulu katika tahasusi hiyo ufanyeje? Jaza selfom upya bofya HAPA

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MLAMBAI SEC

  NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA CSEE 2024 EXAMINATION RESULTS S2836 MLAMBAI SECONDARY SCHOOL DIVISION PERFORMANCE SUMMARY SEX I II III IV 0 F 1 3 8 11 0 M 4 4 7 8 2 T 5 7 15 19 Bofya <HAPA> kuangalia matokeo yote

MAJINA YOTE WALIOITWA USAILI AJIRA ZA UALIMU MIKOA YOTE

Image
  Call for Interview  WALIOITWA KWENYE USAILI MIKOA MBALIMBALI KADA ZA UALIMU 11-01-2025  WALIOITWA KWENYE USAILI MIKOA MBALIMBALI KADA ZA UALIMU 11-01-2025  WALIOITWA KWENYE USAILI MIKOA MBALIMBALI KADA ZA UALIMU 11-01-2025  WALIOITWA KWENYE USAILI MIKOA MBALIMBALI KADA ZA UALIMU 11-01-2025  WALIOITWA KWENYE USAILI MIKOA MBALIMBALI KADA ZA UALIMU 11-01-2025  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAJINA YA NYONGEZA 10-01-2025  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KADA ZA UALIMU WA MASOMO YA AMALI NA BIASHARA 10-01-2025

MASWALI YA USAILI AJIRA ZA UALIMU 2025

Image
Maswali ya interview ya ualimu (Usaili Wa Walimu) Na Majibu Yake, Usaili wa ualimu ni hatua muhimu katika kupata ajira ya ualimu. Kujiandaa vizuri kwa maswali yanayoweza kuulizwa ni muhimu sana. Hapa tunaangazia maswali 35 ya kawaida yanayoulizwa kwenye usaili wa walimu pamoja na vidokezo vya jinsi ya kuyajibu. Maswali and Jumla Kwa nini unataka kuwa mwalimu? Eleza shauku yako ya kufundisha na kusaidia wanafunzi kukua Taja uzoefu wowote uliopata ambao ulikuvutia kwenye taaluma ya ualimu Ni sifa gani muhimu zaidi kwa mwalimu? Taja sifa kama uvumilivu, ubunifu, uwezo wa kuwasiliana vizuri, na kujali wanafunzi Eleza kwa mfano jinsi ulivyoonyesha sifa hizo Eleza mbinu zako za usimamizi wa darasa Jadili mbinu kama kuweka matarajio wazi, kuwa mfano mzuri, na kutumia nidhamu chanya Toa mfano wa jinsi ulivyotumia mbinu hizo kwa mafanikio Thank you for your support Ungetumia mbinu gani kufundisha mada ngumu? Eleza mbinu kama kutumia vifaa vya kuona na kugusa, kufanya mazoezi ya vitendo, na kufu...

WAOMBAJI AJIRA ZA UALIMU WAITWA USAILI 2025

Image
 

KUFANYA MAZOEZI KIPINDI CHA UJAUZITO JE NI SALAMA?

Image
1. UMUHIMU WA MAZOEZI KIPINDI CHA UJAUZITO 2. MAZOEZI YA MAMA MJAMZITO 3. JINSI YA KUFANYA MAZOEZI UKIWA NA MIMBA Kufanyaa mazoezi ni jambo ambalo binadamu wengi hulifanya mara kwa mara ikiwa ni mpango wa kimaisha au hulifanya mara moja moja. Mazoezi ni kitendo cha kuushughulisha mwili kwa njia mbalimbali. Mazoezi yaliyojipatia umaarufu ni kama kutembea, kukimbia, kushiriki michezo mbalimbali na hata watu hutumia vifaa maalumu vya mazoezi kuishughulisha miili yao. Hivi karibuni vituo vingi tuu vya mazoezi ambavyo vilikuwa maarufu kwenye nchi zilizoendelea vinaanza pia kuonekana barani Afrika. Mazoezi ni mazuri kwa afya ya mwili na akili. Na pia mazoezi yanahusishwa kabisa kisayansi kwenye jedwali la kupata afya bora. Ikiwa ni kawaida kabisa watu wa umri wowote ule kushiriki katika mazoezi, huwa inazua mjadala mara kwa mara ni kwa namna gani wajawazito wafanye mazoezi. Kwanza kabisa je wanaruhusiwa kisayansi kufanya mazoezi? Waandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya DW waliwahi kuya...

Kwa nini visa vya saratani ya uume vinaongezeka ulimwenguni na nini kifanyike ili kuzuia?

Image
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Saratani ya uume si ya kawaida, hata hivyo inaonekana kuongezeka kwa kiwango cha kutisha katika miaka ya hivi karibuni. Mwaka 2018, João, mwenye umri wa miaka 63, alianza kugundua maumivu kwenye uume wake. "Nilianza kutembelea kliniki ili kujua ni nini, lakini madaktari wote waliniambia ni kutokana na ngozi ya ziada na kunipatia dawa ," anakumbuka mzee huyo mwenye umri wa miaka 63. Licha ya dawa hiyo, dawa hiyo ngozi iliendelea kuvimba. Hii ilianza kumuathiri João na ndoa yake na mkewe hususan maisha ya ngono. "Tulikuwa kama ndugu," anakiri. Kwa miaka mitano, João (sio jina lake halisi) alitembelea wataalamu wengi ambao walimuandikia dawa zaidi na kuagiza afanyiwe uchunguzi wa kina kubaini ni nini kinachoendelea katika uume wake. "Hakuna kitu kilichoweza kutatuliwa," alisema. Kisha, mnamo 2023, waliweza kupata utambuzi: João alikuwa na saratani ya uume . "Kwa familia yanguk ilikuwa kitu kibaya sana, has...