Posts

MASWALI YA USAILI AJIRA ZA UALIMU 2025

Image
Maswali ya interview ya ualimu (Usaili Wa Walimu) Na Majibu Yake, Usaili wa ualimu ni hatua muhimu katika kupata ajira ya ualimu. Kujiandaa vizuri kwa maswali yanayoweza kuulizwa ni muhimu sana. Hapa tunaangazia maswali 35 ya kawaida yanayoulizwa kwenye usaili wa walimu pamoja na vidokezo vya jinsi ya kuyajibu. Maswali and Jumla Kwa nini unataka kuwa mwalimu? Eleza shauku yako ya kufundisha na kusaidia wanafunzi kukua Taja uzoefu wowote uliopata ambao ulikuvutia kwenye taaluma ya ualimu Ni sifa gani muhimu zaidi kwa mwalimu? Taja sifa kama uvumilivu, ubunifu, uwezo wa kuwasiliana vizuri, na kujali wanafunzi Eleza kwa mfano jinsi ulivyoonyesha sifa hizo Eleza mbinu zako za usimamizi wa darasa Jadili mbinu kama kuweka matarajio wazi, kuwa mfano mzuri, na kutumia nidhamu chanya Toa mfano wa jinsi ulivyotumia mbinu hizo kwa mafanikio Thank you for your support Ungetumia mbinu gani kufundisha mada ngumu? Eleza mbinu kama kutumia vifaa vya kuona na kugusa, kufanya mazoezi ya vitendo, na kufu...

WAOMBAJI AJIRA ZA UALIMU WAITWA USAILI 2025

Image
 

KUFANYA MAZOEZI KIPINDI CHA UJAUZITO JE NI SALAMA?

Image
1. UMUHIMU WA MAZOEZI KIPINDI CHA UJAUZITO 2. MAZOEZI YA MAMA MJAMZITO 3. JINSI YA KUFANYA MAZOEZI UKIWA NA MIMBA Kufanyaa mazoezi ni jambo ambalo binadamu wengi hulifanya mara kwa mara ikiwa ni mpango wa kimaisha au hulifanya mara moja moja. Mazoezi ni kitendo cha kuushughulisha mwili kwa njia mbalimbali. Mazoezi yaliyojipatia umaarufu ni kama kutembea, kukimbia, kushiriki michezo mbalimbali na hata watu hutumia vifaa maalumu vya mazoezi kuishughulisha miili yao. Hivi karibuni vituo vingi tuu vya mazoezi ambavyo vilikuwa maarufu kwenye nchi zilizoendelea vinaanza pia kuonekana barani Afrika. Mazoezi ni mazuri kwa afya ya mwili na akili. Na pia mazoezi yanahusishwa kabisa kisayansi kwenye jedwali la kupata afya bora. Ikiwa ni kawaida kabisa watu wa umri wowote ule kushiriki katika mazoezi, huwa inazua mjadala mara kwa mara ni kwa namna gani wajawazito wafanye mazoezi. Kwanza kabisa je wanaruhusiwa kisayansi kufanya mazoezi? Waandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya DW waliwahi kuya...

Kwa nini visa vya saratani ya uume vinaongezeka ulimwenguni na nini kifanyike ili kuzuia?

Image
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Saratani ya uume si ya kawaida, hata hivyo inaonekana kuongezeka kwa kiwango cha kutisha katika miaka ya hivi karibuni. Mwaka 2018, João, mwenye umri wa miaka 63, alianza kugundua maumivu kwenye uume wake. "Nilianza kutembelea kliniki ili kujua ni nini, lakini madaktari wote waliniambia ni kutokana na ngozi ya ziada na kunipatia dawa ," anakumbuka mzee huyo mwenye umri wa miaka 63. Licha ya dawa hiyo, dawa hiyo ngozi iliendelea kuvimba. Hii ilianza kumuathiri João na ndoa yake na mkewe hususan maisha ya ngono. "Tulikuwa kama ndugu," anakiri. Kwa miaka mitano, João (sio jina lake halisi) alitembelea wataalamu wengi ambao walimuandikia dawa zaidi na kuagiza afanyiwe uchunguzi wa kina kubaini ni nini kinachoendelea katika uume wake. "Hakuna kitu kilichoweza kutatuliwa," alisema. Kisha, mnamo 2023, waliweza kupata utambuzi: João alikuwa na saratani ya uume . "Kwa familia yanguk ilikuwa kitu kibaya sana, has...

Sms za mapenzi na mahaba za kutuma usiku (sms za usiku) -text za usiku

Image
  Karibu usome sms za mahaba za kumtumia mpenzi wako usiku ambaye Yuko mbali nawe. Kwa kutambua umuhimu wa mapenzi hapa nimekuorodheshea sms mbalimbali za mahaba za kumtumia yule umpendaye ambaye Ni mpenzi wako. "Nakupenda kuliko chochote Mume wangu" Nakupenda zaidi ya chochote mke wangu" My love ❤️ usiku mwema mayazo yangu yapo juu yako Naona ulivyolala mpenzi natamani ningelala karibu yako usiku nikuamshe na mabusu ule tunda lako Najikuta nimekumis zaidi usiku huu my love Kila ukifika usiku naikumbuka penzi lako Natamani tungelala wote nikufunikw mpenzi Mungu akulinde kipenzi changu ulale salama Ungekuwa hapa usiku huu kusingekuwa na haja ya taa kipenzi "Kama Ni mweupe"  Kila nikikuwaza najikuta nimeloa my hubby Nimemic juice yako my love  My beb utajisikiaje Kama nikilala pembeni yako na nguo nyepesi  Nafikiria uzuri wako my love mpaka nipitiwe na usingizi Jana sikupitiwa na usingizi nilikuwa nawaza utundu wako  Ndoto inayoweza kunishtua zaidi nikuota wewe u...