DALILI ZA KICHAA CHA MBWA
Kijue kichaa cha Mbwa KIJUE KICHAA CHA MBWA Na;- SHIRA S.MANGUBE IDARA YA AFYA – KINGA RRH – LIGULA MALENGO YA MADA: Kujua kichaa cha mbwa Jinsi ugonjwa unavyoenea Muda wa dalili kujitokeza (Incubation period) Kufahamu dalili zake kwa mtu Makundi 3 ya aina ya jeraha Kujua jinsi ya kuhudumia mtu aliyetafunwa na mbwa mwenye kichaa Kujua tiba kinga inayopaswa kutolewa kwa mtu aliyeumwa na mbwa anayehisiwa kuwa na kichaa Kujua mbinu zinazotumika kudhibiti ugonjwa wa kichaa cha mbwa UGOJWA WA KICHAA CHA MBWA NI NINI? Ugonjwa hatari unaoenea toka kwa wanyama kwenda kwa binadamu (zoonotic disease) husababishwa na virusi aina ya RNA kundi la Lyssavirus , familia ya Rhabdoviridae. Kifo ni 100% kama mtu aliyeumwa na mbwa hatapatiwa tiba kinga JINSI UGONJWA WA KICHAA CHA MBWA UNAVYOENEA KWA TANZANIA MBWA NDIYE MWENEZAJI MKUU WA UGONJWA HUU KWA BINADAMU NA KWA WANYAMA WENGINE KAMA NG’OMBE NK JINSI UGO...