Posts

Love story mama mdogo

Image
SIMULIZI YA MAMA MDOGO SURA YA ........14.......  ILIPOISHIA: Usiku mama mdogo alianzisha tena mazungumzo na baba Jamal kuhusu kumpeleka Jamal shule. Alimsifia Jamal kwamba amebadilika sana na kwamba sasa ni mtoto mzuri, hana kiburi, anajituma katika kazi na ameacha kabisa mambo ya mapenzi. Hivyo alisisitiza kwamba apelekwe shule ili akasome kwa faida yake na mdogo wake. Baada ya kufikiria sana baba Jamal alikubali na kumtaka mama yake mdogo aende shule ya Sekondari ya Jitegemee ili akatafute nafasi na kisha Jamal aanze kusoma mara moja. INAPOENDELEA: Siku iliyofuata baba Jamal alikwenda kazini kama kawaida yake. Jamal aliamka saa tatu siku hiyo, kwani hakupata usingizi vizuri usiku kutokana na kuwa na mawazo mengi. Alikwenda sebuleni na kumwita mama yake mdogo aliyekuwa chumbani. Mama mdogo alipofika tu alimrukia Jamal shingoni na kumbusu shavuni. “Jamal kazi nimemaliza.” Alitamka mama mdogo huku akimwangalia Jamal. “Kweli mama mdogo? Mbona siamini, umetumia m...

Mbinu mpya za kutongoza msichana akupende

Image
Katika makala hii tutaeleza mbinu mbalimbali za kuweza kuuteka moyo wa msichana yeyote yule uliyempenda Wanawake tunakumbana nao kila siku, kila wakati na kila saa. Lakini jiulize...Je, mimi hutumia njia sahihi kumtongoza mwanamke? Ukishajiuliza hilo swali kwanza tafakari halafu nikueleze hali halisi iliopo. Katika jamii yetu, wanaume wengi wanapata changamoto katika kuonyesha hisia zao kwa wanawake kwa njia sahihi. Hivyo, leo tumeamua kukuandalia makala hii ili kutoa mwongozo wa jinsi ya kumvutia mwanamke na kumfanya akupende na kukubali mapenzi yako. Tutazingatia hoja kumi na moja ambazo zitakusaidia kufikia lengo lako la kumtongoza mwanamke kwa njia ya kkuvutia 1.  Hakikisha una  Kuwa mwaminifu.  Mwanaume anapaswa kuwa mwaminifu katika nia yake ya kumtongoza mwanamke. Kusema ukweli ni muhimu sana katika uhusiano wowote na hasa katika hatua ya kumtongoza mwanamke. Kwa kufanya hivyo, mwanaume anaweza kuonyesha kwamba yeye ni mtu anayejali na anayeheshimu hisia za mwanamk...

DALILI ZA MWANAUME ASIYEKUPENDA

Image
  Unajua unaweza kuwa na mahusiano na mtu unayempenda sana ila yeye hakupendi kama vile umpendavyo lakini anashindwa kukwambia kuwa "sikupendi".   Unawakati mzuri sana wa kumtambua mtu ambaye hakupendi na pia kumtambua anayekupenda. Vilevile kukubaliana na hali halisi. Watu wengi hawapendi kutambua kwamba mtu anayempenda yeye hampendi,kwasababu ni maumivu makubwa sana moyoni. Unapokuwa kwenye mahusiano na mtu huyo nae inamuwia vigumu kukwambia "sikupendi" hufanya hivi katika kuzihurumia hisia zako juu yake.   Zifuatazo ndizo dalili za mtu ambaye hakupendi kwa dahati   1. Anapokuwa nawe inamuwia vigumu sana kukwambia neno NAKUPENDA mara kwa mara, utajikuta wewe ndio unakuwa mtumwa kwake kwa kumwambia nakupenda kila mara. Majibu yake baada ya neno hilo, mara nyingi atakwambia asante kwa kunipenda basi, na akikuhurumia sana atakwambia nakupenda pia ili kukuridhisha wewe na moyo wako.   2. Utajikuta una mawazo sana juu yake na kujiuliza "hivi kweli mtu huyu ananipe...

Nilimsaliti mke wangu akaondoka: Jinsi uchawi wa mapenzi ulivyomrudisha

Image
   Jina langu ni Hamadi Murimi, mwanamume ambaye maisha yake ni shuhuda wa ukweli kwamba kila chaguo tunalofanya katika maisha huturudia na wakati mwingine kuamua hatima yetu bila ya sisi hata kupenda.  Kwa muongo mmoja, nilibarikiwa kuwa na mwanamke mmoja mzuri ajabu sana ambaye kusema kweli alikuwa ni mwanga wa upendo na utulivu katika maisha yangu.  Hata hivyo, kutokana na udhaifu kama mwanaume kuna wakati nilipotoka na kutoka kwenye njia. Nilimsaliti, na kwa kufanya hivyo, nilivunja utakatifu wa ndoa yetu. Kubainika kwa uovu wangu huo ambao ulipelekea kupata watoto wawili nje ya ndoa, kuliashiria mwanzo wa anguko Siku ambayo mke wangu alifichua siri yangu ndiyo siku ambayo uaminifu wangu kwake ulianguka rasmi. Alikuwa amehuzunika, moyo wake ukiwa umepasuliwa kwa usaliti wangu, alivunja ndoa yetu na kuondoka katika nyumba tuliyojenga pamoja. Baada ya kuondoka kwake, nilighubikwa na majuto bila kujua ni kipi cha kufanya katika hali hiyo mbaya zaidi ambayo ilikuwa n...

Ajabu kubwa, mama anataka kufanya mapenzi na mtoto wake

Image
  Kuna siku kulijitokeza kisa cha kushangaza mtandaoni baada ya kijana mmoja, Moses, 19, kudai kuwa mama yake bado anamchukulia kama mtoto mdogo, anasema kutokana na kuwa mtoto pekee na wa kiume analizimika kukubaliana na jambo hilo.  Moses anadai kuwa mama yake bado anataka kumnyonyesha angali tayari ni mtu mzima, mama yake hukasirika anapomkataa kila anapomvuta karibu ili kumpa titi zake laini. Anafichua kwamba mama yake, mwanamke wa makamo katikati ya miaka 49 hivi anaendelea kuvuka mipaka yake, mara nyingi humuomba kulala naye kitandani.  Baba yake aliondoka nyumbani wakati Moses akiwa na umri wa miaka minne tu, na tangu wakati huo mama yake ndiye aliyekuwa akimtunza na hadi sasa amekuwa mtu mzima ambaye siku sio nyingie naye atakuwa na familia yake.  Kijana huyo anahisi kuna kitu hakipo sawa kwa mama yake kwani kuna wakati anamuomba asitongoza wasichana akisema kwamba yey anamtosha na atampa chochote anachotaka kama mwanaume.  "Ananiambia 'nakupenda' kila s...

Inauma sana: Mtoto wangu kaenda chuo kikukuu katumbukia katika umalaya na dawa za kulevya

Image
  Mtoto wangu Baraka alijiunga na chuo miezi michache iliyopita na kama unavyojua ni furaha ya kila mzazi kuona mtoto wake akifaulu na kupanda ngazi za juu kimasomo, mafanikio yake yamekuwa ya kusisimua sana kwangu. Hata hivyo, miezi mitatu baada ya kujiunga na chuo kikuu, nilianza kupigiwa simu na marafiki zake kwamba alikuwa anafanya umalaya na kutumia dawa za kulevya na hata kujihusisha na magenge hatari.  Nilidhani ni uvumi lakini baada ya kupigiwa simu uongozi wa chuo kuwa mwanangu amekuwa mlevi wa kupindukia, nilijua hali ni mbaya huko tena sana.  Nilijaribu kumtafuta lakini alikataa kupokea simu yangu na hata ya baba yake, mume wangu alienda chuoni kwake ila alikataa kukutana naye kwa sababu alikuwa amelewa sana kiasi kwamba hawezi kuongea na mtu yeyote.  Mwanangu alikuwa mvulana mzuri katika miaka yake yote ya ujana na kwa hivyo sikuelewa kwa nini alikuwa amebadilika na kuwa mwtu wa hovyo kiasi hicho, kwa kweli sikuweza kupata jibu zuri la jambo hilo kwa hara...

Nimemtafutia mpenzi wangu kazi sasa kanizidi mshahara

Image
  Jina lagu Abigail, nilikutana na mchumba wangu akiwa hana kazi, mimi nilikuwa na kazi kwa hiyo nikawa namsaidia kifedha huku tukitafuta ramani za yeye kupata chochote cha kufanya kupata kipato na kuendesha maisha yetu. Nilijaribu kumuombea kazi ofisini kwetu lakini hakufanikiwa na kila sehemu alikokuwa anapeleka barua hakufanikiwa. Ilifika kipindi hadi alipokuwa anaishi kwa ndugu zake ikawa shida maana alionekana kama mzingo.  Isingekuwa rahisi kipindi kile kukubali aje kuishi na mimi maana hatukuwa tumeoana. Hivyo familia yangu lazima ingeleta shida maana imekuwa yenye kufuata maadili kwa sana.  Ili kuepuka kukaa bila kazi ilibidi nianzishe mradi wa kufuga kuku wa mayai nje ya mji, na vyeti vyake akawa msimamizi. Ndani ya miaka mitatu, pesa iliyoingia kwenye kuku ni zaidi ya mshahara wangu.  Hata hivyo, ukweli ni kwamba mafanikio haya hajakuja kwa bahati mbaya, nasema hivyo kwa sababu kabla ya kuingia katika ufugaji wa kuku niliamua kwenda kwa Kiwanga Doctors amba...