Posts

DALILI ZA MWANAUME ASIYEKUPENDA

Image
  Unajua unaweza kuwa na mahusiano na mtu unayempenda sana ila yeye hakupendi kama vile umpendavyo lakini anashindwa kukwambia kuwa "sikupendi".   Unawakati mzuri sana wa kumtambua mtu ambaye hakupendi na pia kumtambua anayekupenda. Vilevile kukubaliana na hali halisi. Watu wengi hawapendi kutambua kwamba mtu anayempenda yeye hampendi,kwasababu ni maumivu makubwa sana moyoni. Unapokuwa kwenye mahusiano na mtu huyo nae inamuwia vigumu kukwambia "sikupendi" hufanya hivi katika kuzihurumia hisia zako juu yake.   Zifuatazo ndizo dalili za mtu ambaye hakupendi kwa dahati   1. Anapokuwa nawe inamuwia vigumu sana kukwambia neno NAKUPENDA mara kwa mara, utajikuta wewe ndio unakuwa mtumwa kwake kwa kumwambia nakupenda kila mara. Majibu yake baada ya neno hilo, mara nyingi atakwambia asante kwa kunipenda basi, na akikuhurumia sana atakwambia nakupenda pia ili kukuridhisha wewe na moyo wako.   2. Utajikuta una mawazo sana juu yake na kujiuliza "hivi kweli mtu huyu ananipe...

Nilimsaliti mke wangu akaondoka: Jinsi uchawi wa mapenzi ulivyomrudisha

Image
   Jina langu ni Hamadi Murimi, mwanamume ambaye maisha yake ni shuhuda wa ukweli kwamba kila chaguo tunalofanya katika maisha huturudia na wakati mwingine kuamua hatima yetu bila ya sisi hata kupenda.  Kwa muongo mmoja, nilibarikiwa kuwa na mwanamke mmoja mzuri ajabu sana ambaye kusema kweli alikuwa ni mwanga wa upendo na utulivu katika maisha yangu.  Hata hivyo, kutokana na udhaifu kama mwanaume kuna wakati nilipotoka na kutoka kwenye njia. Nilimsaliti, na kwa kufanya hivyo, nilivunja utakatifu wa ndoa yetu. Kubainika kwa uovu wangu huo ambao ulipelekea kupata watoto wawili nje ya ndoa, kuliashiria mwanzo wa anguko Siku ambayo mke wangu alifichua siri yangu ndiyo siku ambayo uaminifu wangu kwake ulianguka rasmi. Alikuwa amehuzunika, moyo wake ukiwa umepasuliwa kwa usaliti wangu, alivunja ndoa yetu na kuondoka katika nyumba tuliyojenga pamoja. Baada ya kuondoka kwake, nilighubikwa na majuto bila kujua ni kipi cha kufanya katika hali hiyo mbaya zaidi ambayo ilikuwa n...

Ajabu kubwa, mama anataka kufanya mapenzi na mtoto wake

Image
  Kuna siku kulijitokeza kisa cha kushangaza mtandaoni baada ya kijana mmoja, Moses, 19, kudai kuwa mama yake bado anamchukulia kama mtoto mdogo, anasema kutokana na kuwa mtoto pekee na wa kiume analizimika kukubaliana na jambo hilo.  Moses anadai kuwa mama yake bado anataka kumnyonyesha angali tayari ni mtu mzima, mama yake hukasirika anapomkataa kila anapomvuta karibu ili kumpa titi zake laini. Anafichua kwamba mama yake, mwanamke wa makamo katikati ya miaka 49 hivi anaendelea kuvuka mipaka yake, mara nyingi humuomba kulala naye kitandani.  Baba yake aliondoka nyumbani wakati Moses akiwa na umri wa miaka minne tu, na tangu wakati huo mama yake ndiye aliyekuwa akimtunza na hadi sasa amekuwa mtu mzima ambaye siku sio nyingie naye atakuwa na familia yake.  Kijana huyo anahisi kuna kitu hakipo sawa kwa mama yake kwani kuna wakati anamuomba asitongoza wasichana akisema kwamba yey anamtosha na atampa chochote anachotaka kama mwanaume.  "Ananiambia 'nakupenda' kila s...

Inauma sana: Mtoto wangu kaenda chuo kikukuu katumbukia katika umalaya na dawa za kulevya

Image
  Mtoto wangu Baraka alijiunga na chuo miezi michache iliyopita na kama unavyojua ni furaha ya kila mzazi kuona mtoto wake akifaulu na kupanda ngazi za juu kimasomo, mafanikio yake yamekuwa ya kusisimua sana kwangu. Hata hivyo, miezi mitatu baada ya kujiunga na chuo kikuu, nilianza kupigiwa simu na marafiki zake kwamba alikuwa anafanya umalaya na kutumia dawa za kulevya na hata kujihusisha na magenge hatari.  Nilidhani ni uvumi lakini baada ya kupigiwa simu uongozi wa chuo kuwa mwanangu amekuwa mlevi wa kupindukia, nilijua hali ni mbaya huko tena sana.  Nilijaribu kumtafuta lakini alikataa kupokea simu yangu na hata ya baba yake, mume wangu alienda chuoni kwake ila alikataa kukutana naye kwa sababu alikuwa amelewa sana kiasi kwamba hawezi kuongea na mtu yeyote.  Mwanangu alikuwa mvulana mzuri katika miaka yake yote ya ujana na kwa hivyo sikuelewa kwa nini alikuwa amebadilika na kuwa mwtu wa hovyo kiasi hicho, kwa kweli sikuweza kupata jibu zuri la jambo hilo kwa hara...

Nimemtafutia mpenzi wangu kazi sasa kanizidi mshahara

Image
  Jina lagu Abigail, nilikutana na mchumba wangu akiwa hana kazi, mimi nilikuwa na kazi kwa hiyo nikawa namsaidia kifedha huku tukitafuta ramani za yeye kupata chochote cha kufanya kupata kipato na kuendesha maisha yetu. Nilijaribu kumuombea kazi ofisini kwetu lakini hakufanikiwa na kila sehemu alikokuwa anapeleka barua hakufanikiwa. Ilifika kipindi hadi alipokuwa anaishi kwa ndugu zake ikawa shida maana alionekana kama mzingo.  Isingekuwa rahisi kipindi kile kukubali aje kuishi na mimi maana hatukuwa tumeoana. Hivyo familia yangu lazima ingeleta shida maana imekuwa yenye kufuata maadili kwa sana.  Ili kuepuka kukaa bila kazi ilibidi nianzishe mradi wa kufuga kuku wa mayai nje ya mji, na vyeti vyake akawa msimamizi. Ndani ya miaka mitatu, pesa iliyoingia kwenye kuku ni zaidi ya mshahara wangu.  Hata hivyo, ukweli ni kwamba mafanikio haya hajakuja kwa bahati mbaya, nasema hivyo kwa sababu kabla ya kuingia katika ufugaji wa kuku niliamua kwenda kwa Kiwanga Doctors amba...

Wananchi watakuwa kushirikiana na serikali kupinga ukatili

Image
  Na John Walter -Babati  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Mhe. Daniel Sillo amewataka Wananchi kushirikiana kwa karibu na Serikali katika kupiga vita dhidi ya ukatili wa Kijinsia ikiwemo Ubakaji na Ulawiti Watoto kwa kisingizio cha kujipatia mali au utajiri. “Hakuna utajiri au mali zinazopatikana kwa njia ya kufanya ukatili hivyo niwasihi ndugu zangu wana Dareda na Watanzania kwa ujumla kufanya kazi kwa bidii na ambayo haivunji sheria na taratibu za nchi kwani utajiri wa halali na wa amani unapatikana kwa kufanya kazi tu nasi vinginevyo” Alisema Mhe. Sillo “Tabia hii si asili yetu na si mila na destuli ya Watanzania tunapaswa kushirikiana kwa pamoja katika kupiga vita vikali vitendo hivi”Alisema Mhe. Sillo  Akizungumza leo Julai 7, 2024 wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Dareda katika muendelezo wa kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za Wananchi wa Jimbo hilo amewataka Wananchi kuendelea kushirikiana kwa karibu na Se...

Mume alitaka kuniacha sababu ya unene ila sasa ananitamani ajabu!

Image
  Baada ya kuzaliwa kwa watoto wangu watatu, mwili wangu ulipata mabadiliko makubwa. Nikiwa na umri wa miaka 35 tu, nilijikuta nikipambana na uzito kupita kiasi na ngozi iliyolegea na kunifanya nijihisi mzee zaidi kuliko nilivyokuwa.  Licha ya jitihada zangu za kurejesha mwili wangu uwe kama nilivyokuwa kabla ya ujauzito kupitia mazoezi na matibabu ya ngozi, hakuna kitu kilichoonekana kufanya kazi kati ya hivyo.  Jambo baya zaidi ni kwamba mume wangu alianza kujitenga nami huku akionyesha kutofurahishwa na mwili na sura yangu na hata kuona haya kuongozana nami kwenye mikusanyiko ya watu. Hali hiyo ulivunja ujasiri wangu na kuniacha nikijihisi sitakiwi na kutopendeza. Siku moja nikiwa kazini, sikuweza kujizuia baada ya kuona mmoja wa wenzangu alivyokuwa mrembo na mwenye kujiamini. Nilipomuuliza siri yake, alifichua kwamba alitumia dawa za urembo kutoka kwa Kiwanga Doctors ambap pia walimpa dawa za mitishamba kuboresha mwonekano wake. Nikiwa nimekata tamaa ya kupata suluhu,...