Posts

Jinsi nilivyopata zabuni ya Ksh15 milioni kutoka Wizara ya Afya kwa urahisi tu!

Image
  Hujambo ndugu msomaji?, bila shaka wewe ni mzima. Jina langu ni Raya, Leila, mmiliki na wakala wa kampuni ya usafi ambayo pia huwaunganisha waajiri na wafanyikazi wa majumbani ili kuwapatia ajira.  Asubuhi moja nilipokuwa nikisoma gazeti, macho yangu yaliangukia tangazo la umma kutoka kwa wizara ya afya. Walikuwa wakitafuta kampuni ya kufanya huduma zao za usafi. Zabuni hiyo ilikuwa ya thamani ya Ksh15 milioni.  Marafiki zangu waliokuwa na mashaka, walitupilia mbali fursa hiyo, walidai kwamba zabuni kama hizo hutolewa kwa watu wachache tena ndani ya wizara pekee. Walakini, mimi niliona fursa nzuri na niliamua kutupa karata zangu kuona kipi nitapata.  Kwa kushangaza, mmoja wa wafanyakazi wangu alinishauri kwamba nitafute msaada kutoka kwa Kiwanga Doctors ambao ni wataalamu wa kuwasaidia watu katika matatizo na changamoto mbalimbali kupitia dawa zao za asilia.  Alisifia huduma zao na kusema zingeweza kuongeza kiwango changu cha bahati katika kuwania zabuni. Niki...

Mguu mkavu wa binadamu wakutwa ndani ya Bucha!

Image
  Kutokama na Sofia Mutola ambaye ni mwanamke mchapakazi na anayetamani mambo makubwa, mrembo huyu anamiliki msururu wa mabucha huko Dagoretti, kaunti ya Nairobi nchini Kenya maarufu kwa wengi kama Ndonyo Kichinjio. Miaka minne iliyopita, alianza biashara yake na tangu mwanzo na akaikuza na kuwa biashara yenye mafanikio, alikuwa na wateja waaminifu ambao wangekuja kutoka maeneo mbalimbali kama Ngong, Kinoo, Kangemi, Kilimani na Kileleshwa ili tu kumnunulia nyama kwake.  Kusema kweli alikuwa nyama ya ubora, wengi waliisifia bucha yake kwa kuuza nyama yenye mafuta yenye ubora, hilo lilifanya wateja kumiminika kwa wengi katika biashara yake kwa muda wote  Sofia pia alikuwa amewekeza katika biashara ya matatu zilizokuwa zikipita katikati ya jiji la Nairobi - Kiambu ili kuongeza fedha zake na kweli aliweza kufanikiwa sana katika upande huo.  Hata hivyo, mambo yalianza kwenda mrama, biashara yake ilianza kupata hasara, licha ya eneo la kimkakati la bucha zake karibu na mac...

How Do I Submit Assignments To myUnisa 2023

Image
  How Do I Submit Assignments To myUnisa 2023 How Do I Submit Written Assignments To myUnisa 2023 Students who have completed their registration process and have downloaded the study materials using the myUnisa portal can likewise use the myUnisa portal to submit their assignments. Students are remembered that assignment submission must be done on or before the submission deadline date. With the myUnisa portal, you can submit both written and multiple-choice assignments for formal courses online. In case there is a consistent problem with the Unisa servers two days prior to the due date, Unisa automatically extends the due date for a week. Students are to bare in mind that the automatic extension of one assignment does not imply an extension of the follow-up assignments, you must therefore continue with your study programme as initially planned.   How Do I Submit Multiple-Choice Assignments To myUnisa 2023? Submitting a multiple-choice assignment...

Contact us

  E-mail Adress ,  info.masshele@gmail.com Phone  +255766605392               +255626208512 Skype  :   live:.cid.e92b7c1ab30891fe For Advertising Offer   Contact us,   info.masshele@gmail.com Phone  +255766605392/+255626208512 Skype : live:.cid.e92b7c1ab30891fe We offer Banner advertising Your Company review Articles advertising/ sponsored post Direct link promotion 

Nimeteseka sana na mpenzi ila nimepata tulizo la moyo

Image
  Hapa duniani ni matarajio ya kila kijana awe wa kike au wa kiume atakapofikisha umri wa utu uzima ataweza kumpata mchumba mwema na kufunga naye ndoa. Nilidhamiria kupata mume atakayenipenda na kunithamini kila wakati na chochote kile kisije kikatutenganisha maishani mwetu, japo hayo yote hayakuweza kutimia kwa urahisi.  Kwa sasa nasema kama nisingeweza kukutana na wataalam, African Doctors wanaotatua mengi katika mahusiano na ndoa, basi nisingeweza kufikia ndoto zangu. Kabla sijasimulia safari yangu ya kumpata mchumba wangu kwa usaidizi wa African Doctors, ningependa utakapomaliza kusoma utembelee tovuti hii; www.african-doctors.com ili kufahamu mengi.  Nilipofikisha miaka18 nilianza kupata hamu ya kuwa kwenye uhusiano, nilimpata kijana mmoja kwa jina la James ambaye tulisoma naye katika moja wapo wa vyuo vikuu nchini Kenya. Urafiki wetu ulikua kwa haraka sana na kufikia kuwa wapenzi wenye kupendana sana.  Hata hivyo, sikuweza kugundua kuwa James hakuwa mwaminifu h...

JE: Kumwaga mbegu za kiume mara kwa mara husaidia kuzuia saratani ya tezi dume?

Image
Linapokuja suala la afya ya wanaume, saratani ya kibofu cha mkojo inachukua nafasi kubwa. Ni aina ya pili ya saratani inayogunduliwa kwa wingi kwa wanaume duniani kote, ikifuatiwa na saratani ya mapafu. Kwa sababu tezi dume ni kiungo cha uzazi ambacho kazi yake kuu ni kusaidia kuzalisha mbegu za kiume – yaani majimaji ambayo hubeba manii wakati wa mshindo. Watafiti kwa muda mrefu wamekuwa wakijiuliza kuhusu athari za mambo ya ngono kwenye saratani ya tezi dume. Je, kumwaga mbegu za kiume hukulinda dhidi ya hatari ya  Tafiti za Kisayansi CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Kuna ushahidi wa kuunga mkono swali hili. Utafiti uliofanywa katika kipindi cha miaka 33 iliyopita ulionesha kuwa tafiti saba kati ya 11 – ziliona kuna manufaa ya kumwaga mbegu dhidi ya saratani ya tezi dume. Vile vile, kumwaga manii kunaweza kuogeza kinga ya mwili ya kibofu na kupunguza hatari ya maambukizi – ambayo ndiyo chanzo cha kukuwa kwa saratani. Kumwaga mbegu za kiume pia kunaweza kupunguza shughuli za mfumo w...

KIMBUGA HIDAYA KUSABABISHA MVUA KUBWA NA UPEPO MKALI

Image
 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya Tanzania umeendelea kuimarika na kusogea kuelekea maeneo ya pwani ya Nchi ambapo hadi kufika saa tatu usiku wa tarehe 02 Mei 2024 kilikuwa umbali wa takriban Kilomita 402 Mashariki mwa pwani ya Mtwara.   Taarifa ya TMA imesema nguvu ya kimbunga HIDAYA imeendelea  kuimarika na kuwa kubwa zaidi hadi kufikia usiku huo kasi ya upepo katika kimbunga iliongezeka na kufika kilometa 110 kwa saa ambapo inatarajiwa kuendelea kuimarika zaidi katika kipindi cha saa 24 kutoka muda huo.  “Mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa baharini bado inaonesha uwezekano mkubwa wa Kimbunga “HIDAYA” kuendelea kusogea karibu kabisa na pwani ya Tanzania na kuendelea kuwepo hadi tarehe 06 mwezi Mei 2024 ambapo kinatarajiwa kupungua nguvu baada ya tarehe 6 Mei 2024” ——— imeeleza taarifa ya TMA.   Uwepo wa kimbunga “HIDAYA” karibu na pwani ya Tanzania unataraj...