Posts

MAUMIVU : NAULI ZAPANDA TENA

Image
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli mpya leo Jumatatu Novemba 27, 2023, kwa safari za masafa marefu na mafupi. Kwa mujibu wa LATRA nauli hizo zimepanda baada kupitia maoni ya wadau wa usafiri ambapo yasafari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600. Kwa safari za kilometa 11 hadi 15 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 550 sasa itakuwa shilingi 700. Kwa kilometa 15 hadi 20 ambapo nauli ilikuwa shilingi 600 sasa itakuwa 800 huku kwa safari za kilometa 21 hadi 25 nauli imetoka 700 hadi shilingi 900. Safari ya kilometa 26 hadi 30 nauli ni shilingi 1100, safari ya kilometa 31 hadi 35 ni shilingi 1300 na kilometa 36 hadi 40 nauli ni 1400 Aidha nauli za wanafunzi zitaendelea kusalia 200 kwa safari za masafa mafupi

Matokeo ya Darasa la saba mikoa yote

 Angalia hapa matokeo ya Darasa la saba mikoa yote yaliyotangazwa Leo na baraza la mitihani Necta NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2023 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA TANGA MANYARA GEITA KATAVI NJOMBE SIMIYU SONGWE

MATOKEO YA DARASA LA SABA (7) 2023

Image
MATOKEO YA DARASA LA SABA (7) 2023  Matokeo ya Darasa la (7) Saba kwa Mwaka 2023 yatatangazwa Leo na katibu wa Baraza la mitihani Tanzania necta kuanzia majira ya saa 5 asubuhi ya leo November 23/2023.  Matokeo hayo ya Darasa la 7 yatakuwa hapa kuanzia majira ya saa 5 asubuhi pia unaweza kuangalia matokeo hayo ya Darasa la 7 ,2023 katika tovuti ya Baraza la mitihani necta Tanzania kuanzia majira ya saa 5. Na nusu ili kuona matokeo hayo ya kuhitimu elimu ya msingi Tanzania. Bofya >HAPA> kufungua matokeo ya Darasa la saba 2023 Matokeo hayo ya Darasa la saba kwa Mwaka 2023 yanatokana na mitihani ya kuhitimu darasa la 7 ambayo ilifanyika miezi miwili iliyopita ambapo WANAFUNZI watakaofaulu mtihani huo wataingia kidato Cha kwanza jaruary 2024 Je unahitaji kuona matokeo yote ya Darasa la 7 kwa WANAFUNZI walio fanya mtihani 2023 usikae mbali na tovuti hii tutaweka punde yatakapotangazwa na Baraza la mitihani Necta ambalo ndilo yenye dhamana ya kutangaza matokeo hayo 

Tahadhari ! Mvua kubwa yaja

Image
  Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA), imetoa tahadhari ya uwepo mvua kubwa kwa muda wa siku tano kwenye maeneo machache ya mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia pamoja na Visiwa vya Pemba na Unguja kuanzia Novemba 21-25, 2023. TMA imetoa angalizo kwa Wananchi kuendelea kuchukua tahadhari, ambapo athari zinazoweza kujitokeza ni Mafuriko kuathiri maeneo machache, athari kwa usafirishaji, baadhi ya barabara kutopitika na vifo vinaweza kujitokeza kutokana na mafuriko pamoja na kuathirika kwa baadhi ya Shughuli za Kiuchumi.

Hii ndio tiba ya uhakika ya ugonjwa kisukari!

Image
  Hadi sasa Hospitalini hakuna dawa ambayo imefanikiwa kuondoa moja kwa moja ugonjwa kisukari zaidi wagonjwa kupewa dawa za kushusha sukari pamoja na kusitiziwa kufuata kanuni  fulani fulani za lishe.  Jina langu ni Wini, nafanya shughuli zangu pande za Kakamega nchini Kenya, binfasi nilisumbuliwa sana na ugonjwa kisukari hadi kufikia hatua ya kukatwa kidole changu cha mkono.  Hiyo haikutosha bado niliendelea kusumbuliwa hapa na pale na ugonjwa huko hadi siku ambayo nilikutana na mtu anayekwenda kwa jina la African Doctors ambaye nilipata kumfahamu kupitia tangazo fupi kwenye gazeti.  Wakati huo nikiwa sina cha kufanya kuhusu ugonjwa huo baada ya kutumia fedha nyingi, niliamua kipiga namba ambayo niliikuta pale gazetini ambayo ni +254 769404965. Baada ya mazungumzo ya muda baina yangu na yeye, nilimuomba niweze kuonana naye ofisi kwake, alinijibu hilo halina shida. Nilijipanga na baada ya wiki moja nilifunga safari na kwenda kuonana naye, tulizungumza kwa undani...

Nimemfumania mke wangu na house boy!

Image
  Hakuna kitu kinauma kama mke wako ambaye unamtunza kwa kumgharamikia kila kitu ili aweze kuishi vizuri na kupendeza unasikia anatembea na mwanaume mwingine nje ya ndoa.  Jambo hilo limewahi kunikuta tena mbaya zaidi mke wangu alikuwa anatembea na mfanyakazi wangu wa ndani wa kiume (house boy) ingawa nilikuwa namuuliza kila mara na yeye akikanusha hilo.  Mimi naitwa Judika mkazi wa Moshi, Tanzania, nimemuoa huyu mke wangu miaka mitatu iliyopita, tulifungua ndoa na kufanya harusi ya gharama kubwa zaidi ya Sh200 milioni kutokana familia yangu na yake ni watu wenye uwezo mkubwa kiuchumi.  Tulianza kuishi pamoja katika nyumba ambayo tayari nilikuwa nimeinunua, mwanzoni mwa ndoa yetu maisha yalikuwa ni mazuri yaliyotaliwa na upendo, ukarimu na ucheshi wa kila mmoja wetu.  Kutokana mke wangu na mimi ni watu wa kwenda kazini asubuhi na kurudi jioni tulikubaliana kwamba tuweke wafanyakazi wawili, wa kike (house girl) kwa ajili ya kazi za ndani kama kupika na usafi, huk...

Wezi ameiba kwangu na kushindwa kuondoka!

Image
  Genge hatari sana lilivamia eneo letu na likuwa linaua na kuiba mali za watu, idadi kubwa ya maafisa wa polisi ilipelekwa katika eneo hilo, huko Nakuru lakini bado hali iliendelea kuwa mbaya kabisa.  Ukosefu wa usalama katika eneo letu ulipata kuangaziwa na vyombo vya habari vya eneo hilo, kwa wakati huo, familia yangu ilikuwa na wasiwasi sana, wazazi wangu walikuwa wakinihimiza nihamie eneo hilo.  Jioni moja, mama yangu alinipigia simu na kuniambia amepata njia ya jinsi familia yangu na mimi tutaweza kuwa salama, alisema kupitia African Doctors, mganga wa kienyeji, tutalindwa na kuwa salama.  Habari hiyo ilisikika kama muziki masikioni mwangu kwani hali ilikuwa inazidi kuwa mbaya katika eneo letu, nilimpigia  African Doctors na nikauliza ikiwa kweli anatoa huduma hiyo, alinihakikishia kupitia dawa zake, familia yangu inaweza kuwa salama.  Nilikwenda kumuona siku iliyofuata na akanifanyia matambiko  ya ulinzi, alisema kuanzia siku hiyo hakuna jambazi...