Posts

SERIKALI YAGHARAMIA MASHABIKI KUIONA YANGA SOUTH

Image
  Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu. Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo katika juhudi za hamasa kuendelea kuunga mkono michezo nchini hususani katika mashindano ya kimataifa, imeamua kugharamia jumla ya mashabiki 55 watakaosafiri kuelekea nchini Afrika Kusini, kwenda kuishangilia klabu ya Yanga katika mchezo wa pili wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Marumo Gallants, utakaopigwa Mei 17, 2023 kwenye uwanja wa Royal Bafokeng uliopo katika mji wa Rustenburg nchini humo. Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Saidi Yakubu alipokuwa anazungumza na vyombo vya habari   Mei 13,  2023, katika ukumbi wa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ambapo amesema kuwa msafara huo wa hamasa utaongozwa na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Hamis Mwinjuma. “katika hii safari, Serikali imesaidia Yanga kupeleka baadhi ya mashabiki 55 ambao wataondoka leo jumapili ta...

DALILI ZA MWANAUME ASIYEKUPENDA

Image
Mwanaume anaanza kuonyesha hasira na kuhamaki kwa kila unachokifanya hata kama ni kitu kidogo. Hii ni kwasababu penzi limempungua au kumuisha na hivyo anakosa uvumilivu kwako. Anaweza kukupayukia hata ukiwa katikati ya watu, hatojali unavyojisikia kwa yeye kufanya hivyo. Utashangaa na kujiuliza mbona mwanzoni aliweza kunivumilia? Jibu ni kwamba penzi limepoa au kuisha Dalili ya pili Kwa kawaida mwanaume anavyompenda mwanamke huwa na kiu ya kumfurahisha, hufanya vitu kuhakikisha mpenzi wake anatabasamu na anajisikia murua. Kila siku kiu ya mwanaume ni kuona mwanamke anatamani kuendelea kuwa ndani ya penzi hilo. Mapenzi yakiisha vitu hivi vyote vinapeperukia mbali. Dalili ya tatu Mapenzi ya mwanaume yanapokwisha kwa mpenzi wake anakosa kabisa kuwa na muda naye. Mwanzoni mlikuwa mnakuwa na muda wa pamoja sasa hapati tena muda huo na kila ukiuliza visingizio kibao, mara kazi, ubize, mara safari, kuumwa au kuchoka n.k. Yaani inakuwa bora atumi...

Deezy Feat. Laylizzy - Soldado

Image
Artista&Título : Deezy Feat. Laylizzy - Soldado Ano :2022 Download : Mediafire Formato : Mp3 Qualidade : 320Kbps Tamanho : - Gostaria de expressar minha mais sincera gratidão pela sua visita ao meu site. É uma honra e um prazer ter vocês aqui. Estou muito satisfeito em saber que vocês estão aproveitando as atualizações diárias de música que compartilho no Mozambeam. Meu objetivo é trazer o melhor conteúdo musical para todos vocês e espero que estejam gostando do que encontram por aqui. Agradeço por dedicarem um tempo do seu dia para visitar o site e espero que voltem sempre para conferir as novidades. Continuarei trabalhando duro para trazer as melhores músicas para vocês. Obrigado mais uma vez pela sua visita e espero que continuemos juntos nesta jornada musical. DOWNLOAD MP3

Artista&Título:Tyla & Ayra Starr – Girl Next Door

Image
Tyla & Ayra Starr – Girl Next Door Artista&Título : Tyla & Ayra Starr – Girl Next Door Ano :2022 Download : Mediafire Formato : Mp3 Qualidade : 320Kbps Tamanho : - Gostaria de expressar minha mais sincera gratidão pela sua visita ao meu site. É uma honra e um prazer ter vocês aqui. Estou muito satisfeito em saber que vocês estão aproveitando as atualizações diárias de música que compartilho no Moçambique. Meu objetivo é trazer o melhor conteúdo musical para todos vocês e espero que estejam gostando do que encontram por aqui. Agradeço por dedicarem um tempo do seu dia para visitar o site e espero que voltem sempre para conferir as novidades. Continuarei trabalhando duro para trazer as melhores músicas para vocês. Obrigado mais uma vez pela sua visita e espero que continuemos juntos nesta jornada musical. DOWNLOAD MP3

Sslowli Villanova, XD, M3nhoca, Suraia Eduardo - Wanuna

Image
Artist & Title : Sslowli Villanova, XD, M3nhoca, Suraia Eduardo - Wanuna Year : 2022 Download : Mediafire Format : Mp3 Quality : 320Kbps Tamanho : - Gostaria de expressar minha mais sincera gratidão pela sua visita ao meu site. É uma honra e um prazer ter vocês aqui. Estou muito satisfeito em saber que vocês estão aproveitando as atualizações diárias de música que compartilho no masshele.co.tz Meu objetivo é trazer o melhor conteúdo musical para todos vocês e espero que estejam gostando do que encontram por aqui. Agradeço por dedicarem um tempo do seu dia para visitar o site e espero que voltem sempre para conferir as novidades. Continuarei trabalhando duro para trazer as melhores músicas para vocês. Obrigado mais uma vez pela sua visita e espero que continuemos juntos nesta jornada musical. DOWNLOAD MP3

Tanzia Benard Membe afariki Dunia

Image
  #TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam. Taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo na baadaye kufariki. Kwa taarifa zaidi endelea kuwa nasi #RIPMembe  Credit ITV

TRUMP AKUTWA NA HATIA UNYANYASAJI KINGONO

Image
  E. Jean Carroll akiondoka katika mahakama ya Manhattan mjini New York, Mei 9, 2023, baada ya Baraza la Mahakama kumpata na hatia Donald Trump kwa kumnyanyasa kingono mwandishi huyo wa habari wa zamani. Baraza hilo lenye wajumbe tisa, wanaume sita na wanawake watatu, lilifikia uamuzi wake baada ya saa tatu ya mashauriano, mara ya kwanza Trump kumtaka awajibishwe kwa madai yaliyoenezwa kwa miaka mingi kutoka kwa wanawake waliomtuhumu kutaka kutenda nao ngono bila ridhaa yao. Donald Trump Baraza hilo la mahakama lilitupilia mbali madai ya E.Jean Carrol, ambaye hivi sasa ana umri wa miaka 79, kwamba Trump alimbaka katika chumba cha kubadilishia nguo katika duka la Bergdorf Goodman mjini New York wakati fulani mwaka wa 1996. Lakini liliamua kuwa alimnyanyasa kingono, na kuomba alipwe fidia ya dola milioni 2 kwa madai hayo. Liliomba Caroll alipwe fidia nyingine ya dola milioni 3 kutokana na madai yaliyotolewa mara kwa mara hadharani na Trump kwenye mitandao yake ya kijamii kuwa madai y...