Posts

JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIUME NA WAKIKE

Image
Katika urutubishaji yai la mwanamke linabeba chromosome X yani XX. Na mbegu ya mwanaume inabeba chromosome XY. Chromosome X kutoka kwa mwanamke ikikutana na Y kutoka kwa mwanaume mtoto wa kiume hupatikana. Chromosome X kutoka kwa mwanamke ikikutana na X kutoka kwa mwanaume mtoto wa kike hupatikana Fahamu sifa za chromosomes X na Y za mwanaume. Ili uweze kufanikiwa kuchagua mtoto wa kiume au wa kike lazima ujue sifa za chromosomes hizi zinazoamua jinsia ya mtoto. Sifa za chromosomes Y • Zina spidi  kubwa sana kwahiyo kama yai lipo tayari zenyewe  zitawahi kwenda kurutubisha • Zina maisha mafupi sana kulinganisha na X Sifa za chromosomes X • Zina spidi ndogo sana • Zina maisha marefu kulinganisha na Y Baada ya kujua sifa za chromosome ambazo ndo zinatusaidia kuamua jinsia twende moja kwa moja kwenye jinsi ya kupata mtoto wa jinsia unayotaka Mambo ya kuzingatia katika suala la kuamua jinsia ya mtoto amtakaye: • Lazima mwanamke ajue mzunguko wake (menstrual cycle)siku ya...

Fanya hivi ukutane na muujiza wa kupata kazi au ajira kwa wepesi!

Image
   Jina langu ni Zakayo wa Arusha, Tanzania mwaka jana nikaona kazi zimetangazwa katika shirika kubwa, na wanataka coordinator, mtu mwenye uzoefu, nikaomba ile kazi kwa moyo mmoja.  Nikawa nasubiri majibu, baada ya wiki 3, wakanipigia simu, kwamba kuna usaili, atakiwa kufika  bila kukosa, nilifurahi sana nikaona huu ndio mwanzo wa kuipata hiyo kazi.  Siku ya usaili, nikawahi mapema, walisema saa mbili, mimi nikafika saa moja na nusu, nikapokelewa, nikakaa mapokezi kwenye viti vya wageni. Nikatulia hapo kungoja kifuatacho.  Ghafla akaingia mama mmoja safi, kavaa kibosi, kwa kweli alikuwa na muonekano wa Kibosi. Akaomba kitabu cha mahudhurio. Nilivyomwona, nikaanza kuhisi namfahamu, nikawa nawaza, akafika pale akanisalimia, nikasimama nikampa mkono. Akanisalimia kwa uchangamfu, huku akitabasamu, akaniuliza umefikaje fikaje hapa.  Nikasubiri, muda ukafika ingawa walichelewa sana kutuita kuingia kwenye usahili. you're worthy. Basi, nikapata ile kazi. Nikas...

WALIOITWA KWENYE USAILI LEO UTUMISHI

Image
  Call For Interview  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAJINA YA NYONGEZA MKURANGA DC 18-11-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MDAs NA LGAs 18-11-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE 17-11-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA MTWARA MIKINDANI 17-11-2022  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HAI DC 17-11-2022

NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI SERIKALINI LEO

Image
  Advertisement  TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI UDOM 17-11-2022  TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CBE 15-11-2022

Mbinu sahihi ya kuwakabili wezi

Image
  Jina langu ni Ibra kutokea Nairobi nchini Kenya, ni kijana ambaye nimejikita katika biashara ndogo ndogo hapa jijini kwa miaka zaidi ya 10 sasa  Katika biashara zangu hizi nimewahi kupitia changamoto nyingi sana kiasi kwamba nilitaka hadi kuachana na kazi yenyewe licha ndio ilikuwa inaniingizia kipato. Changamoto yangu kubwa ilikuwa ni wizi ambao ulikuwa unafanywa na vijana wasio na kazi ambao pia hawataki kujishughulisha kivyovyote vile. Kila mara nilikuwa nikija asubuhi katika kibanda changu cha biashara muda wa asubuhi nilikuwa nakuta kimevunjwa na kuibiwa kila kitu. Hilo lilikuwa linanichanganya sana maana ilikuwa inanibidi nianze kutafuta fedha nyingine kwa ajili ya kuanza upya. Mwisho wa siku nilichoka hali hiyo na kuanza kutafuta suluhisho ya kudumu, ndipo nilikutana na mtu anayeitwa Dr. Kiwanga kupitia mitandao ya kijamii. Huyu ni mtu ambaye anaweza kuwadhibiti wezi kwenye biashara yako, ukipata tiba yake hakuna mwizi atajaribu kugusa biashara yako hata kidogo. Nilip...

Hii ndio dawa ya matapeli wote, ukitapeliwa tumia hii!

Image
  Jina langu ni Mami wa Dar es Salaam, Tanzania, wakati naanza kazi, nilifurahi, nilihitaji chumba kipendeze, nivae nguo safi niwe sawa na wengine maana maisha ya wewe kila siku nyuma tu wala haipendezi.   Basi, mwisho wa mwezi mshahara ukaingia kwenye akaunti yangu ya Benki Nilipanga kwenda kununua vitu vingi vya ndani na nguo kidogo. Siku moja nilikutana na mama mtu mzima naye anaenda sehemu ninayoelekea, yule mama nilipanda naye gari moja, konda akaanza kudai nauli  alipofika kwa yule mama kumbe hakuwa na fedha ya nauli.  Ghafla ugomvi ukaanza, masikini yule mama alilalamika haoni walet yake, na pochi imechanika. Hata hivyo, Konda akawa mkali, akimrushia yule mama maneno.Yule mama alikaa kimya, kwa aibu na fedhea.  Konda akasema, utashukia njiani , mama akasema, nitashuka hakuna shida. Konda akaendelea kukusanya kwa wengine huku akimuita yule mama Tapeli. Watu wengi waliongea, na kusema kuwa matapeli wamekuwa wengi siku hizi. Wengine walimtetea yule mama...

What Is A Pass Mark At Unisa? www.unisa.ac.za

Image
  What Is A Pass Mark At Unisa? What Is A Pass Mark At Unisa Examination? An examination (exam) is an educational assessment intended to measure the students (test-takers) knowledge, skill, aptitude, physical fitness, or classification in many other topics. In every academic year, Unisa always conducts an examination to put their students into a test at the end of every semester to know their academic performance during and after an examination has been conducted. Within the exam period, students are expected to pass an average mark after their exams have been graded. In the year 2023, UNISA requires an average pass mark of 50% from every student. One paper is scheduled to be written at the end of the semester. The examination paper is a CLOSED-BOOK paper with about 60% multiple choice questions and 40% written questions. The type of questions is similar (take note not the same) to those in the three assignments.   Unisa Semester Exams Date For ...