Posts

Aibiwa Figo Yake Akiwa Amelazwa Hospitali, Polisi Yatoa Tamko

Image
Muhammad Kabanda, mkazi wa kijiji cha Gangu nje kidogo ya jiji la Kampala NI RAHISI mno kusikia habari za watu kupoteza mali, pesa, marafiki au hata wapenzi wao, lakini ni jambo la kustaajabisha sana kusikia kwamba mtu anaweza akapoteza kiungo cha mwili wake, tena cha ndani katika njia tatanishi.   Ndio hali iliyompata mwanaume mmoja kutoka taifa jirani la Uganda ambaye sasa analilia haki baada ya kugundua kwamba figo yake moja haipo tena alipolazwa hospitalini.   Kulingana na jarida la Daily Monitor, Muhammad Kabanda, mkazi wa kijiji cha Gangu nje kidogo ya jiji la Kampala anasemekana alitembelea kituo cha hospitali cha Old Kampala mnamo Septemba 24, 2022 kufuatia ajali ya bodaboda kwenye barabara ya Lukuli.   Kijana huyo mwenye umri wa miaka 25 alikuwa na majeraha mabaya kichwani ambapo alitakiwa kulipia mamilioni ya fedha kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji.   “Lakini operesheni hiyo ilipofanyika nilishtuka baada ya kugundua kuwa nilichanjwa chale mpya upande wa kusho...

MWALIMU AKATWA MKONO KWA KUTUNGA SWALI LENYE UTATA

Image
  Mnamo mwaka wa 2010, mkono wa profesa mmoja nchini India ulikatwa na watu wenye msimamo mkali baada ya kushutumiwa kwa kuutusi Uislamu katika mtihani alioutunga. Mwezi uliopita, serikali ililipiga marufuku kundi lenye utata la Kiislamu la Popular Front of India (PFI), ambalo wanachama wake walikuwa wamefanya shambulio hilo. BBC ilisafiri hadi Kerala ili kuunganisha tukio hilo baya na matokeo mengine. Onyo: Makala haya yana maelezo ambayo baadhi ya wasomaji wanaweza kuhuzunika. TJ Joseph anakumbuka vyema shambulio la miaka 12 iliyopita. Ilikuwa asubuhi ya Julai yenye mvua. Prof Joseph, ambaye wakati huo alikuwa mwalimu wa lugha ya Kimalayalam mwenye umri wa miaka 52 katika chuo cha eneo hilo, alikuwa akiendesha gari nyumbani akiwa na mama yake na dada yake baada ya Misa ya Jumapili huko Muvattupuzha, mji wa kupendeza katika jimbo la kusini la Kerala kwenye kingo za mto unaoitwa Kerala . Takriban mita 100 kutoka kwa nyumba yake kwenye njia yenye majani mengi, inayote...

Mpenzi wangu alinisingizia nimembaka mdogo wake!

Image
  Jina langu ni Jamal kutokea Kakamega, katika maisha yangu nimejifunza kuwa mtu ambaye unamuamini sana ndiye anaweza kukufanyia jambo paya sana maishani ingawa kuna watu wazuri pia.  Mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana kiasi kwamba tulinza mipango ya kufunga ndoa kwa siku za usoni lakini yote yalikuja kuwa na mwisho mbaya kwangu jambo ambalo kamwe siwezi kuja kulisahau.  Hiyo ni baada ya mpenzi wangu kunisingia kuwa nimembaka mdogo wake ambaye alikuja kututembelea na ilikuwa ni utaratibu wake wa kila muda kuja kututembelea.  Basi nilikamatwa na kufikishwa mahakamani kisha kufunguliwa mashtaka ya ubakaji, rafiki zangu na ndugu zangu walikuja kunitoa kwa dhamana na kuweza kurejea nyumbani.  Tangu wakati huo maisha yangu yalikuwa yenye msongo wa mawazo sana kwa sababu mtu niliyemuamini ndiye kanifanyia mambo ya ajabu, nilifikia hatua hadi nikawa najutia uamuzi wangu wa kuwa naye katika maisha. Rafiki yangu Haruni alikuja kunitembelea nyumbani kun...

Dadeschools Student Portal Login | Dadeschools net login

Image
Dadeschools-Student-Portal-Register – Advertisement – Contents   1 Dadeschools Student Portal Login | Miami-dade county public schools login Guide 2 Dadeschools Student Portal Online Registration Facing difficulty accessing Dadeschools Student Portal Login | dadeschools net login page? Or you currently don’t know how to get started using the student portal? If so you have come to the right place. Here we have all tips, tricks and information on how you can easily get started In today’s world, students all over the world are increasingly relying on digital tools to access learning materials and services. Dade schools Student Portal is a digital learning portal for school districts across the country. It’s a one-stop point for parents and students to register for school and access different school materials and information in the comfort of their homes . The Dadeschools Student Portal is an online portal that allows parents ...

Nairobi University how to apply online application Nairobi University www.uonbi.ac.ke

Image
  University of Nairobi www.uonbi.ac.ke How to Apply There are two categories of students at the University of Nairobi: Government Sponsored Students Self  Sponsored Students Application process for Government Sponsored Students The Kenya Universities and Colleges Central Placement Service (KUCCPS) is the state corporation that coordinates the placement of Government-Sponsored Students to Kenyan universities and colleges. KUCCPS undertakes the selection of undergraduate students for admission to higher learning institutions for Government sponsorship. KUCCPS placement criteria a) Only candidates who apply for placement will be considered for placement in the respective programmes applied b) Candidates must meet the minimum admission requirement approv...

Bei ya Vifurushi vya Azamtv -Azam Tv Tanzania

Image
    Many families in Sub-Saharan Africa are progressively switching to DTH (Direct-To-Home) systems for their news and entertainment needs. Tanzania is an example of a Sub-Saharan African nation that has abandoned terrestrial entertainment in favor of satellite as its main source of broadcasting technology. Today, more than 56% of Tanzanian homes have access to satellite TV, and AZAM TV, the top operator in the nation, provides entertainment to 81 % of those homes. Powered by Eutelsat, AZAM TV has expanded to 1.4 million homes and cemented its position as Tanzania’s go-to broadcaster. Before becoming the top national operator and choosing Eutelsat as their provider, AZAM TV had to overcome a number of obstacles. Let’s explore how AZAM rose to prominence in Tanzanian broadcasting from being a new competitor in a highly competitive sector. The Bakhresa Group, one of the top industrial houses in Tanzania, East Africa, includes AZAM TV. The Bakhresa Group owns a...

Kerala Psc Thulasi Login Guide Step By Step : Kpsc Thulasi 2022

Image
Contents hide 1 How To Login To Kerala Psc Thulasi 1.1 Step 1 1.2 Step 2 1.3 Step 3 1.3.1 HOW TO RESET A PASSWORD AND USER ID OF KERALA PSC PROFILE. How To Login To Kerala Psc Thulasi Here is step by step on Kerala Psc Login My Profile Step 1 Visit the official kerala psc login Thulasi official website at ” https://thulasi.psc.kerala.gov.in/thulasi/index.php ” website page Step 2 On the homepage you will find a login form, enter your user id and password, then complete the captcha code on the page. Step 3 Select the login button to access your Kerala Psc profile. On the page, check for different tab such as my profile, my application, confirmation, etc. Select the service you wish to use for the page then log out once done. HOW TO RESET A PASSWORD AND USER ID OF KERALA PSC PROFILE. If you forgotten you login password, you can reset your password. Click the “Forgot password?” link in the registration pa...