Mume Wangu ananitesa. Ona Vitu Nilivyopata kwa Gari lake
.jpeg)
Mimi na mume wangu tumeishi maisha mazuri na ya amani hadi mwezi jana ndipo alipoanza kubadilisha mienendo yake. Kwa wiki nne sasa amekuwa akirejea nyumbani usiku na wakati ninapomuuliza anasema kazi imekuwa nyingi. Nimekuwa nikishangaa imekuaje kazi yao imebadilika na kuwa nyingi tofauti na ilivyokuwa hapo awali. Maajabu, juzi aliporudi usiku nilienda kuchungulia gari lake punde tu aliposhuka na niliona maajabu. Kwa kweli niliyoyaona yalinifedhehesha mno. Kwenye kiti cha nyumba kulikuwa na suruari nyekundu ya msicha na chini ya kiti hicho kulikuwa na mpira ya kufanyia mapenzi. Tabia mbaya na ya aibu; sikusema lolote na ilipofika asubuhi nilienda nikachukuwa vitu hizo zote mbili na nikamuonyesha ndipo ugomvi ulipozuka nyumbani. Bwananagu karibu aniuwe kwa kisu nikatorokea mlango wa nyuma. Nilisafiri hadi nyumbani kwetu kwa mamangu mzazi nikamuelezea yaliyojiri na hakuamini. Alinikaribuisha na kuniambia nisijali. Siku ya pili m...