Posts

Nafasi mpya za kazi Serikalini leo

Image
  Nafasi mpya za kazi kutoka Hospital teule ya Sengerema Advertisement  TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HOSPITALI TEULE SENGEREMA DC 08-08-2022

History and Geography Teacher Job at First Years Academy

Image
    Job Overview History and Geography Teacher  Dar es SalaamPosted 2 mins ago First Years Academy (FYA) Preschool, Primary and Lower Secondary At the First Years Academy, we ensure that our students achieve the highest standards of successful learning whether it be in academics, fine arts or our athletic programs. As you step into the school premises, you can feel the energy and excitement that can only exist where there is a high degree of motivation and commitment. We offer a modern and secure environment which makes it seem almost an extension of the home where ambience is congenial and there is immense creative freedom for both faculty as well as students. Enter one of our classrooms and we’re sure you’ll be impressed by the enthusiasm, confidence and creativity of our students. Candidates are required to have a minimum of three years experience with an International Curriculum Fluent in spoken and written English Digitally competent and possess relevan...

Balozi wa Marekani Aionya Afrika Kununua Mafuta Kutoka Urusi

Image
Linda Thomas Greenfield akiwa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni BALOZI wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Linda Thomas Greenfield, amesema kuwa Mataifa ya Afrika hayapaswi kununua mafuta kutoka katika nchi ya Urusi.   Akiwa katika mkutano mkuu na waandishi wa habari katika Mji Mkuu wa Uganda Kampala baada ya kumaliza mkutano na Rais Yoweri Museveni, katika mkutano huo Balozi huyo alisema kuwa nchi ya Urusi haijawekewa vikwazo kuuza bidhaa zozote za kilimo.   Lakini Afrika hairuhusiwi kununua mafuta ya Urusi kwa sababu ni kikwazo cha Umoja wa Mataifa na Marekani juu ya nchi hiyo. Linda Thomas Greenfield amesema Afrika inaweza kununua nafaka kutoka Urusi lakini siyo mafuta Balozi huyo wakati wa mkutano na Waandishi wa habari alinukuliwa akisema:   “Nchi ikijihusisha na Urusi ambapo kumewekewa vikwazo, basi inavunja vikwazo vyetu vilivyowekwa na Umoja wa Mataifa, Tunazionya nchi za Afrika zisivunje vikwazo hivyo, ikiwa zitaenda kinyume na kuvunja vikwazo hivyo basi hatua dh...

NAFASI ZA KAZI SERIKALINI ZILIZOTANGAZWA LEO

Image
  1. TANGAZO  LA NAFASI ZA KAZI WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI 04-08-2022 2.  TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MJNUAT 03-08-2022 Advertisement  TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI 04-08-2022  TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MJNUAT 03-08-2022

Nafasi za Kazi 10 NMB Bank Plc, Management Trainee

Image
Management Trainee (10 Position(s)) Job Location : Head Office, Hq Job Purpose: A future of endless opportunity awaits you…. NMB Bank Plc is looking to hire graduates for its Management Trainee Program for the year 2022-2024. Who we are Harnessing the power of a vast network, deep rooted local presence, NMB Bank PLC. is the largest and most profitable Bank in Tanzania. With a 3,482-strong employee base; a Balance sheet size over TZS 8.7 Trillion as of December 2021, and a geographical footprint that touches every corner of the Country, NMB plays a key role in helping its clients’ growth and advancing Tanzania’s Social Economic Development Agenda. We support our clients holistically through the delivery of retail, corporate banking services and agri financing, including a full range of lending products; customized services for corporations and government entities, including trade finance, treasury, and specialized cash management services. We aim to deliver for our customers, clients, a...

Wafungwa Kuanza Kupewa Likizo, Wakimbizi nao Watajwa Kuhusika

Image
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni akitembelea Gereza Mkoani Kigoma WADAU wa Mahakama mkoani Kigoma wameazimia kwa pamoja kuanza kutekeleza adhabu mbadala kwa wafungwa ikiwemo kutoa likizo kwa lengo la kuwawezesha wafungwa kuandaa maisha nje ya kifungo na kuishi karibu na familia zao wakiendelea kufanya kazi za maendeleo.   Adhabu mbadala kwa wafungwa ikiwemo kupewa likizo itahusisha wafungwa wenye vifungo chini ya miaka mitatu hatua itakayosaidia kupunguza msongamano wa wafungwa gerezani. Wafungwa kupata likizo kurejea uraiani Mkurugenzi Msaidizi idara ya huduma za Uangalizi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Nsanze, amesema hatua hiyo itasaidia wafungwa kuzoeana na familia zao na kujiongezea kipato na kutoka vifungoni wakiwa tayari na mahusiano mazuri na familia. Wafungwa wanatakiwa pia kufanya kazi za kijamii Kwa upande wake Afisa Mhifadhi Wakimbizi wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR Mkoa wa Kigoma Rehema Msami, ambao wameratibu vikao vya kuwakutanisha wad...

Dawa 6 zinazopunguza nguvu za kiume na hutumiwa sana

Image
Chanzo cha picha, Getty Images Dakika 43 zilizopita Tafiti mbalimbali zimegundua dawa ambazo zina athari kubwa juu ya nguvu za kiume na hutumiwa mara kwa mara. Hapa chini ni dawa zinazopaswa kuepukwa na wanaume, ili wasipoteze nguvu zao za kiume.  Maisha ya kitandani ni moja ya mahitaji makubwa ya mwanadamu, lakini wakati mwingine huja na changamoto. Sababu mbalimbali zinaweza kusababisha vikwazo hivi, lakini baadhi ya sababu zinahusishwa na aina sita ya dawa kama ilivyotangazwa na Shirika la Habari la ANI, ambalo lilitayarisha taarifa maalum juu ya mada hii. Dawa ya kutuliza maumivu Watu wengi hawasiti kutumia dawa za kutuliza maumivu hata kwa maumivu wanayohisi ni madogo. Lakini, je, unajua kwamba dawa zilezile za kutuliza maumivu zinaathiri uanaume wako na kuufanya usiwe na matokeo mazuri kitandani? Dawa za kutuliza maumivu huzuia kuundwa kwa seli za uzazi na huvuruga homoni nyingi ambazo ni muhimu katika kufanya tendo la ndoa kati ya wanaume na wanawake. Dawa ya kuzuia ...