Posts

kategoria za virai katika uchanganuzi wa kisintakisia, kubali au kata hoja hii kwa kutumia mifano maridhawa

Dhana ya kategoria ni pana na imejadiliwa na watalaam mbalimbali ambao wamegawanyika katika pande kuu mbili ambazo ni kundi la wanamapokeo na wanausasa. Neno kategoria ni neno lenye asili ya kigiriki lenye maana ya uarifu(prediction) yaani sifa kuu ya kiima. Wanasarufi mapokeo wanaziona kategoria za kisarufi kuwa ni sifa zinazoambatanishwa kwenye aina za maneno. Kategoria hizo ni kama vile kategoria za nafsi, kategoria za njeo, kategoria ya hali, kategoria ya jenda/jinsia, kategoria ya uhusika na kategoria ya ngeli. Kwa mujibu wa wanausasa wanasema kategoria ni dailojia mbalimbali katika uundaji wa tungo . katika mkabala huu wa kisasa umeonekana kuwa kuna kategoria kuu mbili ambazo ni: I)kategoria ya kileksika(neno) II)kategoria ya virai Kwa mujibu wa swali tutajikita Zaidi katika kuelezea kategoria ya virai. kabla ya kutazama kategoria ya virai ifuatayo ni nmaana ya virai kama ilivyofasiliwa na watalaam mbalimbali: Massamba na wenzake(2009), wanaon kuwa kira...