Posts

Hekima itakayokusaidia kuolewa mapema

Image
Kama ndoto zako ni kuolewa na mwanaume wa ndoto zako basi unatakiwa kujifunza kuwa lugha nzuri kwa watu wanaokuzunguka.  Unatakiwa kuwa na lugha nzuri kwa sababu wapo baadhi ya watu humtasfiri mtu kutokana na kile amabacho unakizungumza.  Wanaume wengi hushusha thamani ya mwanamke hususani suala la mwanamke huyu kutamka matusi mengi kwenye kinywa chake.  Hivyo ikiwa una nia njema ya kutaka kuolewa unapaswa kuwa na heshima sana hususani kwenye suala la uzungumzaji.  Ijenge thamani zaidi kwa kuzungumza lugha yenye kukujengenea taswira chanya kwa wale wanakusikiliza.   Jifunze kuwa mnyenyekevu kwenye suala la kuzungumza, lugha yako nzuri ndiyo itakayowafanya watu wengine waone thamani yako.  Na: Benson Chonya

Misri: Nge waua watatu na kujeruhi mamia huko Aswan

Image
  Nge waliosambaa kusini mwa Misri wamewauma watu watatu hadi kufa baada ya dhoruba kali kuwakimbizika katika makazi yao na kuwaleta mitaani na majumbani. Takriban watu 450 zaidi walijeruhiwa kwa kuumwa na nge hao, afisa wa wizara ya afya alisema. Mji wa Aswan kusini mwa Misri ndio ulioathirika zaidi na uvamizi wa nge hao, ambapo mvua kubwa ya mawe pamoja na radi katika eneo karibu na Mto Nile ilishuhudiwa siku ya Ijumaa. Kawaida mvua kubwa ikinyesha nge husombwa kutoka kweye maficho yao na kuzagaa mtaani kama ilivyo kwa nyoka, ambao pia husombwa na maji kutoka kwenye mashimo yao. Mamlaka nchini humo zimechukua hatua ambapo mpaka sasa dozi za ziada za kuzuia sumu zimetolewa kwa vituo vya matibabu katika vijiji vilivyo karibu na milima na jangwa, afisa wa afya aliliambia shirika la habari la Al-Ahram. Madaktari waliokuwa wanaendelea na shughuli za kutoa chanjo sasa wamelaziika kuelekeza nguvu kutibu watu walioumwa na nge, afisa huyo aliongeza. Watu wamehimizwa kupunguza kutembea mit...

MIKOA 11 KUKOSA UMEME KWA SAA 12 KESHO JUMATATU

Image
  Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawafahamisha wateja wake kuwa, Jumatatu Novemba 15, 2021 kutakuwa na matengenezo ya njia ya kusafirisha umeme wa kilovolti 220 kutoka Kidatu hadi Iringa kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni. SABABU: Kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme katika gridi ya Taifa. Kutokana na matengenezo hayo kutakuwa na upungufu wa umeme kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mbeya, Njombe, Ruvuma, Singida, Shinyanga, Mwanza, Mara, Tabora, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Tunawaomba radhi watejawetu kwa usumbufu utakaojitokeza. Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika, toa taarifa dawati la dharura la wilaya kwa msaada zaidi au Kituo cha Miito ya Simu Makao Makuu:+255 222 194 400 na +255 768 985 100.

Vijana Washindwa Kuoa Kisa Makahaba, Diwani Alia Uhaba wa Condom

Image
  JESHI la Polisi wilaya ya  Kisarawe  limesema vijana wanashindwa kuoa mapema kwa sababu huduma ambayo walipaswa kupatiwa na wake zao baada ya kuoa wamekuwa wakiipata kwa bei nafuu kutoka kwa wadada poa wanaofanya biasahra ya ngono wilayani humo.   Kauli hiyo imetolewa na  Kamanda wa Polisi  wilaya ya Kisarawe, Eva Steshen wakati wa ziara iliyofanywa na kamati ya UKIMWI iliyobaini kuwepo kwa madanguro wilayani humo.   Aidha, madiwani wa halmashauri ya wilaya hiyo wamesema kufuatia kuibuka kwa vikundi vya wasichana wanaojihusisha na uuzaji wa miili yao wilayani humo, wameanzisha mpango wa kuwapatia elimu ya ujasiriamali na mikopo kama mitaji itakayowawezesha kuachana na vitendo hivyo badala ya kuwafukuza.   Kwa upande wake,  Diwani wa Kata wa Kibuta  wilayani  Kisarawe  mkoani  Pwani Mhandisi Mohamed Kilumbi,  amesema kuwa Kata ya  Mbuyuni  wilayani humo inakabiriwa na upungufu mkubwa wa  Condom  n...

Mambo wasiyoyapenda wanaume kutoka kwa wanawake katika mahusiano ya kimapenzi

Image
Bila kuwachosha nizame moja kwa moja kwenye mada yetu hii ambayo inazungumzia mambo  wasiyoyapenda wanaume kwa wapenzi au wake zao. Mambo hayo ni: Wivu wa kupindukia Mwanamke mwenye wivu wa kupindukia humfanya mwanaume kukosa amani kwani hata awapo kazini kwake mwanamke atataka kumfuatilia na kumnyima uhuru. Hawa wenye tatizo hili huachwa na wanaume wao haraka kwani wengi hawapendi kuonewa wivu wa hivyo, wengine huuita wivu wa kijinga. Kujipamba kupitiliza Mwanamke kama mwanamke ni mapambo na ili awe mwanamke anao ulazima wa kuhakikisha anaonekana smati kwa kujipamba lakini si kama wafanyavyo wanawake wa siku hizi. Wanaume wengi wamejikuta wanachukizwa na hali ya mwanamke kujipamba kupitiliza. Yaani unakuta mwanamke anajipamba utadhani siku hiyo ni siku yake ya kufunga ndoa, hilo ni tatizo na husababisha hata mwanaume kuogopa kuongozana naye. Sasa je, kama unatoka na mume au mpenzi wako, unajipamba hivyo kumfurahisha nani hasa? Mbona ukiwa nyumbani unakuwa wa kawaida tu? Matumizi m...

WATUPWA JELA KWA KUFANYA NGONO BARABARANI

Image
  WAPENZI wawili Hafashimana Paskari (29) mkazi wa Kijiji cha Migeshi, Rwaramba nchini Uganda na mwanadada Muhawenimana Colodine Mukamurenzi (24)  mkazi wa Kijiji cha Nyakinama wamehukumiwa kifungo cha miezi 30 jela baada ya kunaswa kwenye video wakishiriki tendo la ndoa katikati ya barabara inayotumiwa na watu wengi mchana kweupe.   Tukio hilo limetokea Jumanne ya wiki iliyopita Novemba 2, 2021 katika Barabara Kuu ya Kisoro-Bunagana maeneo ya Kisoro Pharmacy katika wilaya ya Kisoro nchini humo, ambapo  Paskari ambaye alikuwa dereva wa bodaboda lakini kwa sasa ni mbeba mizigo alionekana akijivinjari na bibie bila kujali umati wa watu wanaowamshuhudia . Taarifa iliyotolewa awali na Elly Maate, ambaye ni Msemaji wa Polisi wa Mkoani Kigezi anasema kuwa, walibaini mwanamke huyo ni raia wa Rwanda ambaye kwa sasa anaishi nchini Uganda na kwamba watuhumiwa hao walikamatwa kesho yake Novemba 3, baada ya video zilizorekodiwa na camera kusambaa mitandaoni zikiwaonyesha wakifan...

NAFASI ZA INTERSHIP BRAC TANZANIA

Image