Posts

Mambo ya kuzingatia kabla ya kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi

Image
    Mapenzi ni moja ya mahitaji muhimu ya wanadamu, kila mmoja wetu ahahitaji kupenda na kupendwa, hapo hamna majadiliano ndio jinsi tulivyoumbwa. Katika enzi za mababu zetu, watu walikuwa wanaishi kwa raha, amani na upendo japokuwa walikuwa wanachagulia wake au waume wa kuishi pamoja kama mke na mume, enzi hizo zimepitwa na wakati siku hizi watu wanajitafutia wenza wao wenyewe, ila siku hizi watu ndio hawana amani, ndoa zinavunjika kila siku na wanaobakia kuteseka zaidi ni watoto ambao wanaishia kuishi bila mama na baba. Ukweli ni kwamba inachukua muda mrefu kumfahamu mtu vizuri, kikubwa zaidi watu wanabadilika jinsi wanavyokuwa, hela zinaongezeka au kupungua na wanajikuta wanavutiwa na watu wa aina tofauti. Kwa wale ambao hawajabahatika kupata wenza wao kuna mambo ya msingi ya kuzingatia kabla hujajizamisha katika dimbwi la mapenzi, ukizingatia mambo haya, hata kama mtu uliyenaye atabadilika , uwezekano wa kuvumiliana na kuweza kuishi pamoja ni mkubwa zaidi. 1. ni lengo (amb...

Siri 5 Mwanamke Hapaswi Kumwambia Mumewe Hata kwa Bahati Mbaya

Image
  NDOA ni muhimu, na huwa muhimu kwasababu ni kitu kinachowaunganisha mume na mke na kuanzisha familia, na huleta baraka nyingi kama vile watoto na nyinginezo nyingi.   Hatahivyo siku hizi, ndoa nyingi huishia kuvunjika kutokana na sababu moja au nyingine, hususan kutokana na ugomvi ndani baina ya wanandoa.   Bila shaka haipaswi kuwa siri baina ya wanandoa, lakini kuna baadhi ya vitu ambavyo mwanamke hapaswi kumwambia mume wake, hata kama wanapendana kiasi gani.   Katika jamii nyingi za kiafrika kuna msemo usemao, maskio yasiposikia , moyo hauwezi kukasirika. Na kama tunataka amani ndani ya familia lazima kutakuwa na matukio magumu , na mwanamke anapaswa kusaidia katika utatuzi wa mambo hayo.   Yafuatayo ni mambo 5 ambayo mwanamke hapaswi kumwambia mume wake: 1. Idadi ya wanaume uliojamiana nao kabla ya kuoana na mume wako Hupaswi kumfahamisja mpenzi wako wa kiume au mume wako ni wanaume wangapi ulikutana nao kimwi kabla ya kuishi naye.   Swababu ni kwamba ...

Job Opportunities at Dar es salaam Independent School, Mathematics and Science Teacher

Image
We need a very experienced Mathematics and Science Teacher to join our well established Middle School Team Immediately. ALL TEACHERS APPLYING FOR POSITIONS AT DIS should have At least five years teaching experience. Experience of Cambridge Curriculum. Evidence of students’ achievement Computer skills A degree in Education is necessary. All certificates attached should be certified. Please deliver your applications to the school office in Mikocheni OR send via the email address below. The applications should be addressed to Lightness Kileo, The Human Resource Officer. E mail:   dis@dis.ac.tz   Tel: 022 2781515 MOBILE 0772 111228 CLOSING DATE FOR APPLICATIONS is  17th SEPTEMBER 2021

NAFASI YA KAZI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Image
  The University of Dar es Salaam invites applications from suitably qualified, competent, experienced, dynamic and motivated Tanzanians to be considered for immediate employment to fill the post of Principal of the University of Dar es Salaam College of Health and Allied Sciences (UDSM-MCHAS) READ MORE >>>

10 Job Opportunities at MBARALI District Council, Data Entry Clerks

Image
  Data Entry Clerks (10 Posts) at MBARALI District Council September, 2021. Mbarali District is one of the seven districts of Mbeya Region, Tanzania. It is bordered to the north by Iringa region and east by Njombe region. To the south the district is bordered by Mbeya Rural District and to the west by Chunya District. The deadline for submitting the application is  14 September 2021.

LEO JUMANNE SEPTEMBA 7, 2021

Image

Madhara yatokanayo na matumizi ya mirungi katika mwili wa mwanadamu

Image
    Mirungiu ni  mmea ambao una majina mengi kulingana na eneo husika ambao unatumika , mfano wapo wanaita  gomba, miraa, kazi, mgokaa, kolombo, mirungi na majina mengine kama hayo. Ulaji wa mirungi ulianzia Ethiopia, ukaenea hadi nchi za Afrika Mashariki, Yemen, Zimbabwe, Zambia, Malawi na hata Afrika kusini. Mirungi ilionekana kuwa ni moja ya madawa ya kulevya hivyo ikakatangazwa na umoja wa mataifa UN na kupigwa marufuku mwaka 1971 kwasababu ya ufanano wa kemikali iitwayo amphetamine. Yafuatayo ndiyo madhara ya kutumia mirungi. Mtumiaji wa mirungi yupo katika hatari ya kupata vidonda vya tumbo. Kupungukiwa msukumo wa kufanya tendo la ndoa (low sex drive) na pia kuwahi kumaliza haraka na kutoweza kudumu kwenye tendo la ndoa kwa muda mrefu. Ukosefu wa haja kubwa (constipation) .     Utumiaji wa muda mrefu husababisha ini kushindwa kufanya kazi,pia meno kubadilika rangi, kudhoofika,fizi kuuma na harufu mbaya mdomoni . Upungufu wa usingizi. Humpelekea mlaji ...