Posts

MUME ASAKWA NA POLISI TUHUMA ZA KUUA MKE BAADA YA KUNYIMWA TENDO LA NDOA

Image
  Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Fausta Silayo (22), mkazi wa kijiji cha Samanga wilayani Rombo mkoa wa Kilimanjaro ameuawa kwa kuchomwa kisu na mume wake kwa madai ya kumnyima unyumba. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Simon Maigwa mwanamke huyo ambaye bado alikuwa uzazi wa mwezi mmoja alichomwa kisu Julai 23,2021 na kufariki dunia Julai 24,2021 wakati akipatiwa matibabu Hospitalini. "Chanzo cha tukio hili inadaiwa kuwa ni mtuhumiwa kunyimwa kushiriki unyumba Jeshi la polisi linaendelea na jitihada za kumtafuta mtuhumiwa wa tukio hilo ambaye inasemekana amekimbilia nchi jirani ili kumkamata na kumchukulia hatua za kisheria" ,amesema Kamanda Maigwa.

AKAMATWA AKIJITEKA NA KUJICHOMA CHOMA KUWATISHA NDUGU WAMTUMIE PESA ASIUAWE

Image
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP Justine Masejo *** Na Abel Paul Jeshi la Polisi Arusha  Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia kijana  mmoja Dickson Peter Mungulu  kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na kutaka ndugu zake wamtumie shilingi Milioni tatu ili aachiwe Inaelezwa kuwa kijana huyo amekutwa na majeraha sehemu ya shingo na mguu ambapo amekiri kujichoma na kitu chenye ncha kali yeye mwenyewe kwa nia ya kuaminisha wazazi wake pamoja na ndugu zake wengine kwamba alitekwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP Justine Masejo amesema kuwa tukio hilo limetokea Julai 25, 2021. "Siku ya tukio muda wa saa saa 9 na dakika 20 Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha lilipokea taarifa kutoka kwa mtu mmoja (jina limehifadhiwa) kuwa ndugu yake aitwaye Dickson Peter Mungulu ametekwa ambapo taarifa hizo walizipata kupitia ujumbe mfupi wa simu (SMS) uliotumwa kutoka kwa simu ya mhanga ukieleza kwamba ametekwa na ili aachiwe zinahitajika kiasi cha fedha Shilingi Mi...

VIDEO | Rose Muhando – Bado

Image

VIDEO | Diamond Platnumz Ft Focalistic , Mapara A Jazz & Ntosh Gazi – IYO

Image

Live : RAIS SAMIA ANAZINDUA CHANJO YA CORONA TANZANIA MUDA HUU

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano a Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Julai 28,2021 anatarajiwa kuzindua utoaji wa chanjo nchini ambapo pia atachoma chanjo hiyo…

Fahamu ambayo huambiwi kuhusu chanjo ya Johnson and Johnson

Image
Chanjo hii ni kati ya chanjo tatu zinazotolewa nchini Marekani. Hadi sasa nchi zaidi ya 30 zinatumia Johnson & Johnson kama chanjo ya dharula. Ni kweli awali Marekani ilisitisha chanjo hii lakini iliruhusiwa tena nchini baada ya kujiridhisha usalama wake.  Dar es Salaam.  Mengi yanazungumzwa mtandaoni kuhusu chanjo ya Johnson & Johnson ambayo ni moja ya chanjo zilizopendekezwa kutumika Tanzania. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto chanjo hiyo ya Johnson & Johnson mashuhuri kama Janssen ni miongoni mwa aina tano ya chanjo zilizopendekezwa kutumika Tanzania ikiwa pamoja na Moderna, Pfizer, Sinopharm, na Sinovac.  Julai 24, Tanzania ilipokea dozi ya chanjo ya Johnson & Johnson dozi zaidi ya milioni moja kutoka kwa Marekani kama msaada kupitia mpango wa chanjo kwa nchi za kipato cha chini ujulikanao kama Covax. Serikali imesema imelenga kuchanja asilimia 60 ya watu na kwamba itakuwa ni hiari ya mtu kuchanja ama la.  H...

Serikali Yasitisha Matamasha, Ibada za Mazishi Dakika 30

Image
Serikali ya Tanzania imesitisha rasmi matamasha, sherehe na mikusanyiko na masharti kwa watakaolazimika kuwa na kibali maalumu kutoka kamati maalum ya Mkoa husika.   Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi ameagiza idadi ya watu wanaokwenda kuwaona wagonjwa hospitali ipungue, waruhusiwe ndugu wawili tu asubuhi, na wengine wawili wataingia mchana au jioni. Hatua hiyo inalenga kudhibiti maambukizi ya Virusi vya Corona.   “Wizara ya Afya imezuia mikusanyiko yote isiyokuwa ya lazima ikiwemo ya kidini na siasa, mpaka pale yatakapotolewa maelekezo mengine na endapo ikihitajika kufanyika mkusanyiko itabidi kitolewe kibali maalum   “Misiba yote ibada isizidi dakika 30 mpaka saa 1 na wahudhuriaji wawe wachache, hatujazuia kukaa misibani lakini mzingatie taratibu ikiwemo uvaaji Barakoa, unawaji mikono na kukaa umbali wa mita moja.   “Mahabusu wote wanaoingia gerezani kwa mara ya kwanza au Mtu aliyehukumiwa lazima apimwe kabla ya kuingia gerezani, lakini pia ndugu wata...