Posts

30 Job Opportunities, Internship at University of Dodoma, Personal Secretaries III

Image
  The University of Dodoma welcomes applications for Internship Programme for the position of  Personal Secretaries and Systems Administrators for a period of Twelve (12) months with possible extension upon satisfactory performance as per Guidelines and Procedures on Voluntary and Temporary Employment of the University of Dodoma, 2020.  POST: PERSONAL SECRETARY III (30 POSITIONS) EMPLOYER: THE UNIVERSITY OF DODOMA  DUTIES AND  RESPONSIBILITIES: •       Typing confidential and open matters. •       Taking care of all office facilities under custody; •       Answering correspondences involving routine matters; •       Checking office registers to ensure that they are well maintained; •       Receiving and directing visitors; •       Keeping minutes/records of meetings; •       Taking dictations by shorthand/hati mkato; • Recei...

Wakurugenzi Wanane Kikaangoni

Image
  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Selemani Jafo anakusudia kuwasilisha majina manane ya wakurugenzi katika Mamlaka ya Uteuzi kwa hatua zaidi baada halmashauri zao kupata hati chafu. Jafo alisema haya muda mfupi baada ya CAG kuwasilisha hati za ukaguzi kwa rais Samia suluhu Hassan leo hii katika Ikulu ya Chamwino. "Kwakuwa Wakurugenzi wa Halmashauri Mamlaka yao ya Uteuzi ni Mhe. Rais, nitawasilisha majina yao ili wachukuliwe hatua kwa kadiri atakavyoona inafaa‘ amesema Jafo. Jafo amewataka watendaji wote katika Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuendelea kuchapa kazi kwa uadilifu kwa lengo la kuwatumikia wananchi.

SIKU /TAREHE MUHIMU KWA MWANAMKE KUSHIKA MIMBA NA JINSIA YA MTOTO

Image
Leo napenda nizungumzie jambo moja, nalo ni namna wanavyoweza kui-pin point siku ile ya kilele (i.e fruitful/productive/fertile day), hapa nina maana ya siku ile ambayo wao wanaiita siku ya 14.   Ikumbukwe kuwa wanawake wanatofautiana katika suala zima la urefu wa MENSTRAL CYCLE, yaani idadi ya siku kati ya period ya kwanza hadi ile ya pili inayofuatia. Kundi kubwa la wanawake wana fall kwenye range ya siku 22-35. Japo walio-normal wana siku 28. Vile vile kuna wengine huwa na menstral cycle mbili, yaani fupi na ndefu. Hivyo walio na menstral cycle fupi, mathalani wale wenye siku 22, huwa vilevile wana kipindi kifupi sana cha kutokwa na damu (period), yaani damu inaweza kukatika ndani ya siku 2 tu! Na wale wenye siku 35 au zaidi huwa wana kipindi kirefu sana cha kutokwa na damu (period) ambapo wengine huwachukua hata siku kati ya 5 hadi 8.   Hivo basi, kama wewe ni mwanaume inakubidi umwelewe vizuri mwenzi wako juu ya hayo niliyoyasema hapo juu ili ikusaidie kui-pin p...

Idadi ya vifo vinavyosababishwa na homa ya Lassa yaongezeka hadi 42 nchini Nigeria

Image
  Idadi ya vifo katika janga la homa ya Lassa, ambayo ilienea kutoka kwa mnyama kwenda kwa binadamu nchini Nigeria imeongezeka hadi 42. Kulingana na taarifa iliyotolewa na Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Nigeria (NCDC), watu 6 zaidi walifariki kutokana na janga hilo. Hivyo basi, idadi ya watu waliofariki kutokana na janga hilo tangu mwezi Januari imeongezeka hadi 42. Wakati huo huo, kesi 191 ziligunduliwa katika majimbo ya Edo, Ondo, Kaduna, Taraba, Ebonyi, Plateau na Bauchi kufuatia janga hilo lililoathiri nchi. Homa ya Lassa, ambayo inaonekana katika nchi nyingi za Kiafrika kama Mali, Togo, Ghana, Liberia na Sierra Leone, iligundulika kwa mara ya kwanza Nigeria mnamo mwaka 1969 katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa nchi. Serikali ya Nigeria ilitangaza hali ya "dharura" nchini kutokana na homa ya Lassa mnamo mwaka 2019. Wakati watu 129 walifariki mnamo mwaka 2019 kwa janga la homa ya Lassa, ambayo maambukizi yake yalionekana kuongezeka kati ya mwezi Novemba na Mei h...

Job Opportunity at St. Constantine’s International School - Teaching vacancies

Image
  TEACHING VACANCY St. Constantine’s International School (SCIS) is a co-educational, day and boarding British-style, international school, currently serving over 500 students from over 30 different countries. It is a Round Square School. Round Square schools are based on Kurt Hahn’s principles: Internationalism, Democracy, Environmentalism, Adventure, Leadership and Service. It is second oldest international school in Tanzania and now the largest international school in northern Tanzania. SCIS is currently looking to hire qualified, outstanding, primary and secondary school teachers commencing 1st August 2021. The applicant must have at least a bachelor of Education degree. With three years of teaching experience. HOW TO APPLY To apply, email your CV and a cover letter, of no more than one page, that details why you would be a great addition to our school, to  hr@scis.sc.tz Only short-listed candidates will be contacted. If an exceptional candidate is found, St. Constantine’s...

CHANZO MKALIMANI KUBORONGA CHATAJWA

Image
  Dar es Salaam.  Mkalimani ambaye alikuwa akifanya kazi ya kukalimani hotuba za viongozi mbalimbali wakati wa kuagwa mwili wa Hayati Rais John Magufuli amezua gumzo mtandaoni baada ya kukosea kutafsiri sehemu kadhaa za baadhi ya hotuba za viongozi ikiwemo Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa. Mkalimani huyo alikuwa akalimani lugha ya Kiingereza kwenda lugha ya Kiswahili katika shughuli hiyo iliyohudhuliwa na wananchi na viongozi mbalimbali iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Machi 22, 2021. Licha ya kuwa alifanya vizuri katika kutafsiri hotuba zilizotolewa na marais tisa wa nchi za Afrika lakini alijikuta katika wakati mgumu wakati wa kukalimani sehemu ya hotuba ya Ramaphosa ambayo alikuwa akiisoma kwa Kingereza. Katika hotuba hiyo Ramaphosa amesikika akisema “... I say we were honoured because President Magufuli was not a traveller, he didn't like travelling very much…” Hata hivyo, mkalimani akatafsiri kwa Kiswahili kuwa “...ni ​ lijisikia kuheshimiwa sana ...

Job Opportunity at China Dasheng Bank Ltd - Translator

Image
  China Dasheng Bank Ltd is a fully -fledged commercial bank approved by the central Bank of Tanzania. It is the first bank in Tanzania established jointly by Chinese state -owned and private companies. The Bank has one branch located at ground floor, extelecoms house, Samora Avenue. Also, the Bank Head office is located at mezzanine floor, extelecoms house, Samora Avenue. China Dasheng Bank invites suitable applicants to fill the following posts: Job title : Translator Responsible to : Finance and Administration. Duties and Responsibilities Provide translation and interpretation services to the Board of Directors and the Management. Attend key meetings as needed to provide both verbal interpretation as well as translation of supporting materials for the Bank. Ensure there is clear understanding of all meaning, intent and explanation on certain topic to the team. Translate from English to chines or chines to English for a variety of business documents. Review material translated by...