Posts

Job Opportunity at Total, Administration Officer

Image
  ADMINISTRATION OFFICER   Workplace location DAR ES SALAAM-HAILE SELASSIE RD(TZA) Job Description Manage office leases and house rents for expatriates and upcountry employees. To ensure that office premises are in good state i.e. overall housekeeping is well maintained through liaison with service providers. To ensure that all services are provided on a regular basis and provide good value; process and ensure that all office‐running related bills are paid on time. Services such as Water, Electricity, Waste collection, Hygiene and Sanitation etc. Generally, ensure smooth running of the office, Monitor and manage office supplies, like stationery and other consumables to ensure their effective and efficient operation. To coordinate arrangements for the meetings, visits, conferences, related to the company. In charge of all visas, work permit, resident permits and other government requirement for expatriates and their families. To provide administrative assistance to senior ...

Job Opportunity at Coca-Cola Kwanza, Syrup Room and Water Treatment Team Leader

Image
   Job Title:  Syrup Room and Water Treatment Team Leader Closing Date: 2021/01/18 Reference Number: CCB210108-2  Function Manufacturing Company Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type: Permanent Location – Country Tanzania Location – Province Not Applicable Location – Town / City Mbeya Job Description Coca-Cola Kwanza Ltd has an exciting opportunity in Manufacturing Department. We are looking for a talented individual with the relevant skills and experience for a Syrup Room and Water Treatment Team Leader position, to be based in Mbeya. The successful candidate will report directly to the Manufacturing Manager. Key Duties & Responsibilities The Syrup Room and Water Treatment Team Leader will be responsible in monitoring the syrup and water treatment plant; Ensure good operational control and equipment maintenance in his/her process area (syrup and water treatment plant) in order to supply syrup and treated water to customers as per daily operational plan. Provide l...

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI YA JANUARY 9/2021

Image

WhatsApp na Facebook zawalazimisha watumiaji kuwasilisha taarifa zao binafsi

Image
  CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES WhatsApp inawalazimisha watumiaji wake kukubali iwasilishe maelezo yao binafsi kwa Facebook ikiwa wanataka kuendelea kutumia huduma hiyo. Kampuni hilo inawaonya watumiaji kupitia taarifa zinazotolewa kwenye simu zao zinazosema "unahitajika kuruhusu agizo hili ili kuendelea kutumia WhatsApp" - au wafute akaunti zao. Lakini Facebook, ambayo inamiliki WhatsApp, imesema watumiaji wa mtandao huo waliyopo Ulaya na Uingereza hawataathiriwa na muongozo huo na watahitajika kukubali masharti mapya. Hatua hiyo imeungwa mkono na baadhi ya watu wakisema ni ushindi kwa wasimamizi wa faragha wa EU. Muda wa mwisho wakukubali mabadiliko hayo mapya katika maeneo hayo ni Februari 8, na baada ya hapo "utahitajika kukubali agizo hilo ili kuendelea kutumia WhatsApp", kampuni hiyo ilisema katika taarifa zinazowasilishwa kwa watumiaji. Sehemu ya sera ya faragha ya kimataifa ya awali ambayo ilikuwa inawasihi watumiaji kukubali maelezo yao kuwasilishwa kwa Fa...

Jinsi yakujua kama mwanamke uliyempenda yuko single

Image
#1 Muulize swali lisilo moja kwa moja.  Kumuuliza mwanamke swali fiche kama iwapo ana boyfriend ni muhimu sana. Kama ataona swali limekuja bila lengo flani basi atakwambia ukweli. So unaweza kumuuliza swali kama, “Sasa itakuwaje boyfriend wako akuache mahali kama hapa pekeako?” Kumuuliza hivi atakujibu kiukweli wala hatohisi unashambulia himaya yake. Bora tu swali kama litokee kama utani na utulivu haitakuwa shida. #2 Mwambie kuwa “boyfriend” wake bila shaka anampenda.  Unaweza kusema neno kama hili ama ukatamka kitu kingine kama hiki. Ukimtajia kuhusu kitu ambacho boyfriend wake anapenda kumhusu, unaweza  kujua iwapo ana mmoja. Anaweza hata kukuambia, “Mimi sina boyfriend” #3 Mwambie kuwa yeyote anaye kuwa naye amebahatika.  Hii kando ya kuwa ni mbinu ya kujua iwapo ana boyfriend, pia ni mstari ambao hufanya kazi vizuri wakati unapotongoza. Hapa una uhakika kuwa utapata majibu mawili, “Sina boyfriend” ama “Ndio, ni kweli amebahatika.” #4 Muulize kama yuko pekeake. ...

Job Opportunities At ABC primary and nursery school

Image
ABC Capital School Nursery and Primary JOB ADVERTISEMENT TEACHERS NEEDED Job Description ABC PRIMARY AND NURSEY SCHOOL IS LOOKING FOR THE COMPETENT TEACHERS WITH THE FOLLOWING QUALIFICATION BELOW: SCIENCE AND MATHEMATICS TEACHER Bachelor degree in science with education or its equivalent Certificate in advanced level Secondary School Experience in teaching science and mathematics subject for at least two years Fluency in speaking English language FRENCH TEACHER Bachelor degree in arts with education (specialized in lan­guage) or its equivalent Certificate in advanced level secondary school or its equiva­lent Experience in teaching French language for at least two years Fluency in speaking French language NURSERY TEACHER Bachelor degree in early childhood education Certificate in advanced level Secondary School Fluency in speaking English language SEND YOUR APPLICATION TO: DIRECTOR ABC PRIMARY AND NURSERY SCHOOL P. O. BOX 12346 DAR ES SALAAM Email:  abccapitalschool@gmail.com The de...

UTAFITI: Mbuzi anavutiwa zaidi na binadamu anaetabasamu

Image
  Wanasayansi wamebaini kwamba mbuzi anavutiwa na binaadamu wanaotabasamu, Utafiti huo umeelezea kwa kina namna ambavyo wanyama huwa wanatambua hisia za watu zaidi ya ilivyokuwa inafikiriwa awali. Watafiti wamewaonesha mbuzi picha za mtu mmoja, moja iliyomuonyesha akiwa amekasirika na nyingine mtu huyo akiwa na furaha. Katika jarida la Open Science, watafiti wameeleza kwamba mbuzi hao walifanikiwa kuifuata picha ya mtu aliye na furaha. Matokeo hayo yanadhihirisha kwamba uwezo wa wanyama kutafsiri hisia za binadamu sio mdogo ikilinganishwa na mbuzi ambao wameishi na kufugwa kama mbwa au farasi. Badala yake inaonekana kuwa wanyama wanaofugwa kwa chakula kama mbuzi pia wanaweza kutambua hisia usoni mwa binaadamu. Watafiti wamebaini kwamba mbuzi wanapenda zaidi watu wanaotabasamu na kuzifuata picha za watu wenye furaha kabla ya kutambua picha za watu waliokasirika, pia walitumia pua zao zaidi kuzitambua vizuri picha za watu wanaotabasamu. Lakini picha hizo za muonekano wa furaha ziliwa...