Posts

UNAOGOPA KUTOFAUTIANA NA FAMILIA YAKO? TAZAMA FILAMU YA MULAN

Image
  Inamhusu binti aliyelazimika kuingia vitani kwa kuigiza kuwa ni mwanamume. Siri yake inapofichuka, analazimika kupigana vilivyo ili arudi uwanjani. Je, atafanikiwa? Atakubalika? Atapona na kurudisha heshima ya familia yake?  Dar es Salaam.  Ulingoni… Baada ya kikosi chao kuzidiwa na kunasa katika mtego wa adui Bori Khan, ni mpiganaji mmoja tu ndiyo hajanasa katika mtego huo.  Ni Hua Mulan ambaye mahesabu yake yanamuonyesha kuwa dakika chache zijazo, wenzake wote watarudishwa nyumbani ndani ya majeneza. Anachokifanya Mulan ni kuokota kofia za wenzake walioaga dunia kwenye mapigano hayo na kuzipanga kwenye mawe. Kisha anaelekeza mshale kwa maadui zake nao wanahisi kuwa wanashambuliwa na kundi la watu waliojificha nyuma yao. Pale wanapoingia katika mtego wa Mulan na kuamua kuhamisha mwelekeo wa mizinga yao, wanajikuta wanapigana na wanajeshi hewa na kuupiga mlima uliojaa barafu na hivyo kusababisha tetemeko linalowasomba wote na kuwafunika na theruji. Subiri kwanza! H...

Swahili language instructor from tanzania, editor and swahili teacher availlable

 Please contact , gmail info.masshele@gmail.com

Kampuni ya uchapishaji, Uhariri

 Je unahitaji kampuni ya uchapishaji kuchapa Kitabu chako? Je unahitaji kuhaririwa Kitabu chako? Wasiliana +255766605392 info.masshele@gmail.com

NAFASI ZA KAZI YA MUDA TUME YA UCHAGUZI NEC

Image
  AJIRA ZA UCHAGUZI 2020 National Electoral Commission (NEC) NAFASI ZA KAZI TUME YA UCHAGUZI (NEC) 2020 New FORM FOUR and Above Government Jobs 2020 | National Electoral Commission (NEC) Temporary Jobs 2020 Updates The Background on the National Electoral Commission of Tanzania In 1991 the then President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Ali Hassan Mwinyi appointed a commission under the Chairmanship of the late Chief Justice of Tanzania, the Honourable Francis L. Nyalali. The task of that Commission was to collect public opinion as to whether or not to continue with the one – party system. Following the recommendations by the Nyalali Commission, Article 3 of the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977 was amended to make Tanzania a multi – party state. The Political Parties Act, (No. 5 of 1992) was enacted to provide for the registration of Political Parties. The Elections Act, (No.1 of 1985), the Local Authorities (Elections) Act, (No. 4 of 1979) an...

The Devil All The Time: Filamu inayogonganisha vichwa vya wapendanao

Image
Visasi, vitimbi vya kukata na shoka na sekunde za kushikilia pumzi yako ni kati ya vitu utakavyovikuta kwenye filamu hii. Kama wewe ni muoga wa filamu zenye mauaji, hii siyo kwa ajili yako. Dar es Salaam.  Kwenye kumbukizi yake ya kuzaliwa, Arvin Russell (Tom Holland) anakabidhiwa bastola na Earskell ambaye ni babu yake. Bastola hiyo iliwahi kumilikiwa na baba yake ambaye alijiua baada ya mke wake (Mama Arvin) kufa kwa ugonjwa wa saratani na hivyo kuchukuliwa na babu yake Earskell aliyeishi na mkewe Emma pamoja na Lenora. Mkanda unaanza kukolea baada ya Lenora kujihusisha kimapenzi na Mchungaji Preston Teagardin na kwa kuwa kitanda hakizai haramu, Lenora anapata ujauzito. Ebo, Mchungaji Preston anaukana ujauzito huo na kumshauri autoe. Arvin ambaye anashikwa na hasira, anamtafuta Mchungaji huyo na kumuua baada ya kufuatilia mienendo yake kwa muda mrefu na kumuona mchungaji Preston akiendelea kufukuzia mabinti wengine. Unapitwaje na filamu hii ambayo bado inafuka moshi kwenye mtanda...

JINSI YA KUTOKA NJE YA MWILI KWA NJIA RAHISI KUTOKA NJE YA MWILI

Image
Sote hutoka nje ya mwili pale tunapoenda usiku kulala, pale unapokuwa umetoka huhisi labda unaota lakini ndio unakuwa muda mwingine unaexperience ulimwengu wa nje ya mwili na ndipopale ukikutana na cha kukustua au kukuogopesha basi huwa ukirudi bado unahisi kuogopa na kutamani kujificha ikiwa umeota upo kwenye eneo zima lina rangi ya brown na unapaa au kuanguka huku unakuta kitu kama utando unakufuata nyuma yako basi hapo hapo jua kuwa umetoka nje ya mwili na unasurvey ulimwengu wa roho JIFUNZE HIVI ILI UWEZE KUTOKA KIRAHISI: wakati unaingia kulala usiku, zima taa lala ukiwa umenyooka vema na utulie bila kujigusa wala kujikuna popote panapowasha au kugusa popote panapoleta hisia au kuchezesha chezesha macho.  Imagine mwili mwingine ukijitengeneza kutoka ndani ya mwili wako  weny e rangi ya kijivu  pale tu ikifikia sehemu unajiona umetulia tuli kabisa ndio uanze kuimagine hivyo endelea kuimagine hadi uhisi mwili wako umeanza kuelea kwenda juu...

Kiswahili ni kiarabu?

MANENO YA KISWAHILI YENYE ASILI YA KIARABU بسم الله الرحمن الرحيم Kiswahili ni miongoni mwa lugha  kuu za Afrika iliyo na wazungumzaji wnaokadiriwa kufikia milioni 100. Lugha hii adhimu imo kwenye familia ya Lugha za kibantu tawi la Sabaki. Kiswahili ni lugha ya Taifa kwa mataifa manne ya Afrika Mashariki na Kati: Tanzania,Kenya,Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC). Aidha Kiswahili ni Lugha Rasmi katika visiwa vya Komoro pia huchukuliwa kuwa ndio Lingua Franka ya Afrika. Chimbuko na Asili ya Kiswahili ni mambo yanayobishaniwa na wanaisimu(wataalamu wa lugha) hadi leo.Kati ya hao wanaisimu wapo wanaodai Kiswahili asili yake ni Pijini na Krioli huku wengine wakikazia asili ya Kiswahili kuwa ni Lugha ya vizalia, mbali na wale wanaodai Kiswahili ni Kibantu hali kadhalika wale wanadai Kiswahili ni Kiarabu hasa. Sababu kuu iliyowasukuma baadhi ya wanaisimu kudai asili ya Kiswahili ni Kiarabu, ni msamiati wa Kiswahili kusheheni maneno mengi yenye asili ya Kiarabu.Ja...