Posts

Dairy Farm Workers Urgently needed for Job in Canada (Apply Now)

Image
Full Job Description No degree, certificate or diploma No experience Specific Skills Operate and maintain farm machinery and equipment Work Site Environment Outdoors Wet/damp Odours Dusty Hot Cold/refrigerated Transportation/Travel Information Own transportation Work Conditions and Physical Capabilities Fast-paced environment Work under pressure Repetitive tasks Handling heavy loads Physically demanding Attention to detail Ability to distinguish between colours Sound discrimination Standing for extended periods Walking Bending, crouching, kneeling Tight deadlines Overtime required Work Location Information Rural area Remote location Personal Suitability Effective interpersonal skills Flexibility Team player Judgement Organized APPLY NOW

Farm worker wanted in Canada, Apply Now

Image
Full Job Description No degree, certificate or diploma Will train Equipment and Machinery Experience Tractor Specific Skills Plant, cultivate and irrigate crops Harvest crops Fertilize and spray crops Examine produce for quality and prepare for market Work Site Environment Outdoors At heights Hot Work Conditions and Physical Capabilities Fast-paced environment Work under pressure Repetitive tasks Handling heavy loads Physically demanding Attention to detail Hand-eye co-ordination Ability to distinguish between colours Combination of sitting, standing, walking Standing for extended periods Walking Bending, crouching, kneeling Tight deadlines APPLY NOW

Athari zitokanazo na kumlaza mtoto mdogo kifudifudi

Image
Unafahamu nini kuhusu suala la kumlaza mwanao? Maana Mapokeo tuliyo yapokea enzi na enzi ni kuwa ukitaka mtoto wako alale bila kushtuka basi alalie tumbo. Bado watu wengi wanaendelea kufanya hivyo hata sasa hivi unaposoma makala haya. Je madaktari wanasemaje kuhusu suala hili? Sayansi inashauri kuwa ni hatari kumlaza mtoto kwa tumbo. Visa kadhaa vya watoto kupoteza maisha vimehusishwa na watoto kulalia tumbo. Kuanzia mwaka 1992 Madaktari wa watoto nchini Marekani walipendekeza kuwa watoto wachanga walale chali ( walalie Mgongo) ili kuepuka vifo vya ghafla vya watoto. Kifo cha ghafla hutokea pale ambapo mtoto mchanga anakutwa amefariki akiwa usingizini. Tangu pendekezo hilo la madaktari idadi ya vifo vya ghafla vya watoto imepungua zaidi ya nusu ya vifo vyote vya watoto vinavyotokea wakiwa usingizini. Ni vizuri kuhakikisha kuwa kila mtu anayekusaidia kulea mtoto anajua jinsi ya kumlaza mtoto chali. Muhimu Hata hivyo kuna baadhi ya watoto unaweza kushauriwa na daktari iwapo mwa...

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020

Necta examination result s form six 2020 Bofya HAPA kuona majina yote

Wanachokiwaza wanaume juu ya mitindo ya nywele za wanawake

Image
Baadhi wamesema wanawake waachwe wafanye wanachokitaka licha ya kuona kuwa ni kiashiria cha kutokujiamini. Kwa wanaume, kuwa na nywele asilia ni kuukubali uzuri wako na kujiamini. Hata hivyo, hayo ni maoni binafsi kutoka kwa wadau. Dar es Salaam.  “Tangu niwe na mpenzi wangu, niseme ukweli tu kuwa sijawahi kuona nywele zake. Karibia kila wiki anakua na nywele mpya, leo rasta, kesho wigi, sijawahi kushika kichwa chake nikakutana na nywele zake, ” anasema Kennedy Bundala mkazi wa Morogoro. Katika mfululizo wa makala  zilizopita tulielezea mambo mbalimbali yanayohusu nywele asilia ikiwemo namna ya kuzitunza na madhara kwa wanaotengeneza nywele za dawa. Hata hivyo, ni mara chache sana kusikia hisia au kuwaona wanaume wakijadili masuala ya nywele za wanawake kwa kina. Je, wanaume wanawaza nini juu ya nywele za Wanawake ambao ni wake, wapenzi, mama na hata dada zao? Bundala, ambaye amekuwa na mpenzi wake kwa mwaka mmoja na nusu sasa bila mafanikio ya kuwahi kuziona ...

Msichana mwenye sifa hizi huwa hakiwii kuolewa

Image
     Kuolewa ni heshima kwa mwanamke. Heshima hiyo inaenda mbali zaidi hadi kuwagusa wazazi wa binti ambaye ataolewa. Wazazi wanatembea kifua mbele pindi binti yao anapoolewa, tena wanafurahia zaidi binti huyo anapoolewa akiwa angali bado hajazaa. Wanamshukuru Mungu kwa binti yao kujitunza. Wanamshukuru binti kwa kuwapa heshima katika familia yao na ndiyo maana siku ya sherehe ya kuagwa (send off) wazazi wanafurahi sana kuagana na binti yao kwa heshima. Hali hiyo huwa inaleta shauku kubwa kwa warembo wengi kutamani kuingia kwenye ndoa. Wengi wanaguswa na rekodi za wanawake wenzao ambao wamejitunza na hatimaye kuwaletea heshima wazazi wao. Kinyume chake, wengi wamejikuta wakijilaumu kwa kushindwa kuleta heshima katika familia zao. Binti umri unaenda, anatamani kuingia kwenye ndoa lakini hapati wa kumuoa. Au mwingine inatokea, anatamani kuolewa lakini anaishia kupigwa mimba na kuachwa. Badala ya kuleta heshima, analeta aibu katika familia yake kutokana na mila na desturi ze...

Matumizi ya lugha ya kiswahili

Matumizi ya lugha ya Kiswahili  ni kama ifuatavyo. 1. Kiswahili hutumika katika kufundishia shule za msingi isipokuwa lugha ya Kiingereza hufundishwa kama somo. 2. Kiswahili hutumika katika vyombo vya habari, mfano redio na runinga. 3. Kiswahili hutumika katika nyanja mbalimbali za kiserikali, mfano Mahakama ya mwanzo na ya kati. 4. Pia Kiswahili hutumika kama somo katika shule za sekondari hadi chuo kikuu. 5. Kiswahili hutumika katika shughuli za michezo mbalimbali. 6. Kiswahili hutumika katika nyumba za ibada kutolea mawaidha na mahubiri, mfano kanisani na msikitini. 7. Pia Kiswahili hutumika katika shughuli za kibiashara kama lugha ya mawasiliano miongoni mwa watu. 8. Kiswahili hutumika katika shughuli za kiofisi.