Posts

Waliochaguliwa kujiunga Na kidato cha tano kutoka Mlambai secondary 2020

S2836.0043.2019 EVANCE EFREIM KIMARIO KISARIKA SECONDARY SCHOOL PCB Boarding School MOSHI DC - KILIMANJARO 2 S2836.0048.2019 GEMIN DISMAS KISHEO ARUSHA TECHNICAL COLLEGE - ARUSHA ODCS - COMPUTER SCIENCE Technical College ARUSHA CC - ARUSHA 3 S2836.0020.2019 KATARINA FILBERT MOSHY MHONDA TEACHERS COLLEGE BTCPE - STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA MSINGI Diploma College MVOMERO DC - MOROGORO 4 S2836.0052.2019 GILBARTI PROCHES MROSSO TANZANIA PUBLIC SERVICE COLLEGE (TPSC) - TABORA BTCHRM - HUMAN RESOURCE MANAGEMENT Other College TABORA MC - TABORA 5 S2836.0012.2019 GEMA FELIX SHAYO TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY (TIA) - DAR ES SALAAM BTCPSAF - PUBLIC SECTOR ACCOUNTING AND FINANCE Other College TEMEKE MC - DAR ES SALAAM 6 S2836.0013.2019 GENOVEFA FELIX KAVISHE INSTITUTE OF ACCOUNTANCY ARUSHA (IAA) - ARUSHA BTCAC - ACCOUNTANCY Other College ARUSHA DC - ARUSHA 7 S2836.0023.2019 LILIAN ERICK MARANDU TANZANIA ...

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO 2020

Bofya >> hapa  <kutazama majina yote

DAWA ZA UZAZI WA MPANGO ZINAATHIRI VIPI MZUNGUKO WA HEDHI

Image
Kwanza kabisa tuangalie udhibiti wa hormone katika mzunguko wa hedhi, yaani hormone zipi zinahusika na mzunguko wa hedhi na zinafanya vipi kazi.Kama inavyoonekana katika mchoro huu. Katika ubongo kuna tezi ya hipothalmas inayozalisha hormone ya Gonadotropini hii hormone inachochea tezi ya pituitari ambayo nayo ipo kwenye  ubongo kuzalisha hormone zifatazo 1.hormone chochezi ya mayai (FSH) ambayo huchochea kukua na kupevuka kwa mayai na kuchochea mfuko wa mayai (ovari) kuzalisha hormone za uzazi estrogen na progesterone. 2.Hormone ya lutea ambayo huchochea kuachiliwa kwa yai kutoka kwenye mfuko wa mayai (Ovulation). Baadae estrogen na progesterone ambazo zinakazi kubwa katika mzunguko zinapokuwa zimezalishwa kwa kiasi cha kutosha zinafanya sasa tezi ya hipothalmus isizalishe tena Hormone ya gonadotropin na kuzuia mzunguko mzima.  Pindi unapokaribia hedhi estrogen na progesterone zinashuka kiwango ili kuruhusu Hipothalmus izalishe tena gonadotropi...

HISTORIA YA BURUNDI

Historia ya Burundi ni ndefu sana, nimeielezea vizuri kwenye kitabu changu ambacho huenda mwezi ujao kikawa tayari (Inshallah). Jiandae kusoma uchambuzi yakinifu kuhusu siasa zetu za ndani na za nje hasa eneo la maziwa makuu. Leo nitaeleza machache lakini mengi utayapata kwenye kitabu. Jiandae.!! Baada ya kupata uhuru mwaka 1962 Burundi iliendelea kuwa chini ya utawala wa kifalme kwa miaka minne (1962-1966). Baada ya hapo ilitawaliwa na marais (Watutsi) kwa karibu miaka 30. Licha ya kwamba wahutu ni wengi (majority population) lakini serikali ya kikoloni iliwanyima nafasi ya elimu na kuwapendelea zaidi watutsi. Hivyo watutsi ambao ni wachache walifaidi fursa nyingi za ajira na madaraka kwa sababu ya kuwa na elimu nzuri. Hali hii ilisababisha Wahutu kuamua kudai madaraka kwa nguvu ya mtutu. Mwaka 1965 wahutu walifanya jaribio la mapinduzi lakini halikufanikiwa. Mwaka 1972 walifanya jaribio jingine likafeli na kusababisha mauaji ya zaidi ya watu 100,000. Mwaka 1988 walijaribu te...

Makosa yanayoweza kukosesha pesa YouTube

Image
Hautakiwi kuweka maudhui yanayokinzana na sera za YouTube ikiwemo video za chuki, ukatili wa kijinsia na uchochezi. Pamoja na hayo ni maudhui yanayochochea ngono na ubaguzi wa rangi, kabila na Taifa. Unatakiwa kujiunga na mfumo wa malipo wa Youtube ili kupata pesa. Dar es Salaam.  Hakuna furaha kwa mtengeneza maudhui kama kupata tija ikiwemo fedha kutokana na kazi yake pale inapokubaliwa vizuri na wadau wa mtandaoni. Mtandao wa YouTube umekuwa ni moja ya majukwaa muhimu ya mtandaoni ambayo watengeneza maudhui wakiwemo wanamuziki hutumia kutangaza kazi zao na kuwafikia watu wengi duniani ili kujipatia kipato.  Hata hivyo, baadhi ya watengeneza maudhui wa Youtube hawafaidiki na jukwaa hilo kwa sababu wanashindwa kufuata masharti ambayo mtandao huo umeweka.  Kulipwa na mtandao huo unatakiwa kwanza ukubali na kufuata sera  ya malipo ya mtandao huo ( YouTube monetization program ) ambayo inakuhitaji uwe na walau wafuasi 1,000 kwenye chaneli yako. Hata b...

CORONA KUBADILI TARATIBU ZA WANACHUO UDSM :

Image
 Serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam imewataka wanafunzi wote wa UDSM watakapofungua chuo rasmi Jumatatu, Juni Mosi, kuhakikisha wanavaa barakoa (mask) muda wote wanapokuwa darasani na viunga vya chuo. Mbali na hilo, wanachuo hao pia wametakiwa kuhakikisha wanapowasili chuoni ni lazima watumie vitakasa. "Kila mwanafunzi utakapowasili chuoni utakutana na vitakasa mikono vya aina mbili vya kukanyaga kwa miguu na vya  automatic ukiweka mikono inatoa sabuni na maji. Kila mwanafunzi atatakiwa kunawa mikono kila anapotoka sehemu moja kwenda nyingine,hususani anapoingia darasani na kutoka nje. Kumbuka vitakasa mikono vitawekwa maeneo yote ya kuingilia na kutoka madarasani na sehemu zote za mikusanyiko." ilisema sehemu ya taarifa hiyo ya kwa wanafunzi. Aidha kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa baada ya kikao kilichoshirikisha uongozi wa serikali ya wanachuo na Wizara ya Elimu, jana Jumanne, Mei 26 kikao hicho kimeafiki pia kupunguza muda wa masomo kutoka wiki...

MAGAZETI YA LEO 25/5/2020

Image
KWA HABARI