Posts

MAREKANI YA FANYA SHAMBULIO MIFUMO YA KOMPYUTA YA SILAHA ZA IRAN

Image
Marekani imefanya mashambulizi ya mtandao kwenye mifumo ya silaha za Iran na kuiharibu kabisa. Tukio hilo limefanywa siku chache baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutangaza kuachana na mashambulizi ya anga katika nchi hiyo yenye lengo la kulipiza kisasi. Jumanne iliyopita Iran iliitungua ndege ya Marekani isiyokuwa na rubani kwa madai kuwa ilipita katika anga lake jambo ambalo lilipingwa na Rais Trump na kudai kuwa ilikuwa katika anga la kimataifa. Gazeti la Washinton Post limeripoti leo June 23, kwamba nchi hiyo imeharibu mifumo ya kompyuta inayodhibiti roketi na mitambo ya kurushia makombora ya Iran. Kwa mujibu wa gazeti la New York Times, tukio hilo ni kulipiza kisasi kufuatia mashambulizi mawili yaliyofanywa na Iran ikiwamo lile la kuteketezwa kwa meli ya mafuta kwenye Ghuba ya Oman. Trump ameahidi kuiwekea Iran vikwazo vipya zaidi kuanzia kesho Jumatatu.  Lakini Iran nayo imeionya Marekani kuwa shambulizi lolote dhidi yake litawafanya washirika wa Marekani walioko ...

MKUU WA MAJESHI ETHIOPIA APIGWA RISASI

Image
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amefahamisha kuwa mkuu wa majeshi Seare Mekonen alipigwa risasi baada ya kuzuka machafuko Jumamosi jioni katika taifa hilo la Pembe ya Afrika. Hata hivyo hali ya mkuu huyo wa jeshi haijulikani. Kwa mujibu wa mwandishi wa shirika la habari la AFP,  Abiy alizungumza kupitia kwenye televisheni ya taifa akiwa amevaa mavazi rasmi ya kijeshi baada ya kutokea jaribio la mapinduzi katika jimbo la Amhara lakini maelezo zaidi hayakutolewa kuhusiana na lengo la mashambulio hayo katika jimbo la pili lenye watu wengi zaidi nchini Ethiopia linaloongozwa na Rais wa kikanda Ambachew Mekonen. Ubalozi wa Marekani ulitoa tahadhari baada ya kusisikia milio ya bunduki katika mji mkuu wa Addis Ababa, na pia vurugu karibu na mji mkuu wa jimbo la Amhara, Bahir Dar. Serikali ya Ethiopia imesema jaribio hilo la kuipindua serikali ya kikanda kaskazini mwa nchi hiyo lilishindikana. Ofisi ya Waziri Mkuu Abiy Ahmed imelaani jaribio hilo la mapinduzi katika ujum...

Invitation To Apply For Admission Into Undergraduate Degree Programmes Academic Year 2019/2020

Image
A renowned and highly ranked University in Africa, the University of Dar es Salaam stands as the most prestigious University in Tanzania. It is a comprehensive University that caters for the entire Eastern and Southern African region, offering a wide range of academic disciplines at both undergraduate and postgraduate levels. The University of Dar es Salaam is home to most qualified and internationally acknowledged scholars in Africa. By this announcement , applications are now open   to qualified candidates from Tanzania, the Eastern and Southern African region and beyond, who wish to pursue undergraduate degree programmes for the academic year 2019/2020.   Attachment : 2 0190622_021437_UDSM_Invitation to Apply for admission into Undergraduate Degree Programmes.pdf

TATIZO LA UDATA / ULIMI KUSHIKWA - ANKYLOGLOSSIA

Image
Ulimi kushikwa ni hali inayotambuliwa  kwa mtoto wakati wa kuzaliwa, hali hii hupelekea ulimi wa mtoto kuwa na uhuru kidogo wa miendo inayotakiwa kama binadamu wa kawaida Mtoto mwenye Ulimi ulioshikwa huwa na utando ama ukuta mpana ulio chini ya ulimi na unashikamanisha ulimi kwenye sakafu ya kinywa. Mtu mwenye tatiazo la ulimu kifungoni huwa na tatizo la kutoweza kutoa ulimi nje yam domo, pia huathiri ulaji wa mtoto. Wakati mwingine tatizo la ulimi kushikwa halisababishi tatizo llote lile, tatizo hili huhitaji matibabu ya upasuaji ili kuuweka ulimu kuwa huru Dalili Dalili za ulimi kifungoni ni kama vile Ugumu katika tendo la kuinua ulimi kutoka katika sakafu ya kinywa Kushindwa kutoa ulimi nje ya kinywa Ulimi kuonekana una umbo la moyo ama umegawanyika kama ukitolewa nje                                                  ...

Facebook kuingiza sokoni pesa mpya ya kidigitali

Image
Mtandao wa kijamii wa Facebook umetangaza kuingiza sokoni pesa mpya ya kidigitali sokoni. Tangazo hilo kutoka Facebook linasema pesa hiyo mpya ya kidigitali itayoingizwa sokoni mwaka 2020 itaitwa “Libra”.Pesa hio pia itakubalika katika mifumo ya malipo kama vile Visa na Mastercard. Taarifa hiyo inasema baada ya kuingizwa sokoni pesa hiyo ya kidigitali itaanzishwa pia pochi ya kidigitali ya kuhifazia pesa hio iitwayo “Calibra”. Taarifa hiyo inasema huduma hiyo kwa watumiaji itawezesha kuokoa pesa pia matumizi na kutumiana pesa miongoni mwao. Katika taarifa hiyo ya Facebook imekumbushia kwamba pesa hiyo ya kidigitali na pochi ya kidigitali vitaweza kutumiwa katika na mtu yeyote ambaye kwenye simu yake ana program tumizi za  Facebook Messenger, WhatsApp au “Calibra”.

Auawa kwa kupigwa chuma baada ya kufumaniwa na mke wa Mtu Kishapu - Shinyanga

Image
Mwanaume aitwaye Shija Mahoiga (45) mkazi wa kijiji cha Igaga "A" wilayani Kishapu mkoani Shinyanga ameuawa kwa kupigwa kwa kutumia kipande cha chuma na Raphael Martine ( 34) baada ya kumfumania akiwa amelala na mke wake. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga,ACP Richard Abwao aliyoitoa kwa vyombo vya habari,tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa Juni 21,2019 majira ya saa tisa alfajiri katika kitongoji cha Mwasele "B" mji mdogo wa Mhunze kata ya Kishapu wilaya ya Kishapu. “Raphael Martine mkazi wa Mhunze – Kishapu alivunja mlango na kumshambulia mgoni wake Shija Mahoiga kwa kutumia kipande cha chuma, sehemu za kichwani, miguuni, mikononi na kwenye mbavu za kushoto”,ameeleza Kamanda Abwao. “Chanzo cha tukio ni wivu wa kimapenzi baada ya mtuhumiwa kumfumania Shija Mahoiga akiwa amelala na mke wake aitwaye Maria Kija ambaye nae amejeruhiwa na amelazwa katika hospitali ya Jakaya – Kishapu”, ameongeza. Kamanda Abwao ame...

NAFASI ZA KAZI NANE ASSISTANT LECTURERS CHUO CHA ST JOHN’S DODOMA

Image
ASSISTANT LECTURERS (8 Posts) St John’s University of Tanzania (SJUT) is owned by the Anglican Church of Tanzania (ACT). SJUT is a relatively young but dynamic university aspiring to become a global player in the provision of higher education. SJUT is committed to a culture of quality, excellence and absolute integrity in the context of Biblical values. The University is seeking to recruit and bring onboard suitable individuals to provide effective management and contribute to the realization of the aspirations of the University. The main campus known as Chief Mazengo is located at Kikuyu area in Dodoma, about 3.5km southwest of the town centre. For further information, please visit our website at www.sjut.ac.tz. The University invites applications from suitably qualified candidates to fill the following positions: SCHOOL OF PHARMACY AND PHARMACEUTICAL SCIENCES (SOPH) Job Title: ASSISTANT LECTURERS (8 Posts) –– Re-advertised Assistant Lecturer in Pharmacokinetics (1 P...