KUHUSU FURSA ZA KISWAHILI KATIKA NCHI ZA KIGENI, NA DR ANNE JABET KUTOKA CHUO KIKUU CHA VIRGINIA MAREKANI
Dr Anne Jabet Chuo kikuu cha Virginia USA Katika mahojiano mafupi yaliyo fanyika kwa njia ya barua pepe kati ya masheleblog na mkufunzi huyo kutoka chuo kikuu cha Virginia Marekani amabaye pia ni mjumbe wa CHAUKIDU, katika mahojiano yaliyo husu fursa mbalimbali katika lugha ya kiswahili katika nchi za kigeni Dk A. Jabet aliithibitishia mashelebog uwepo wa fursa mbalimbali za ajira na za kimasomo katika nchi za kigeni kwa wasomi wa lugha ya kiswahili Aidha alipo ulizwa kuhusu upatikanaji wa fursa hizo alijibu kuwa fursa hizo hutolewa, Na mhitaji hupaswa kuzitafuta katika mitandao hasa mtambo tafutizi wa Google. Je unaomba fursa za kazi au za kusoma uzamifu? inabidi kuangalia nafasi za kazi mtandaoni kisha kuomba kazi, kunazo kazi mbalimbali hasa za kufunza Kiswahili-umejaribu kuomba nafasi ya fulbright teaching assistant? kama ni nafasi ya kusima inabidi kijaza fomu kupitia idara unayotaka kusomea. natumaini nimejibu swali lako ndug mwandishi. Hayo nd...