Posts

LEKSIKOGRAFIA NININI?

Katika kulijibu swali hili tutaanza na kutoa fasili mbalimbali kwa mujibu wa wataalamu.Kidahizo kwa mujibu wa TUKI (2001) ni neno  linaloingizwa katika kamusi ili lifafanuliwe kwa kupatiwa maelezo yanayohusu taarifa za kisarufi, maana, matumizi, etimolojia, semi mbalimbali za lugha nakadhalika. BAKIZA (2010) Kidahizo ni neno  linalochapishwa kwa hati zilizokoza, na pengine kutiwa rangi, kwenye kamusi ambalo taarifa zake zinafafanuliwa. Kutokana na fasili hizi tunaweza kusema kuwa kidahizo ni umbo la msingi linaloingizwa katika kamusi ambamo maumbo mengine yanatokana nalo. Leksikografia kwa mujibu wa Mdee (2010) akimnukuu Wiegand (1984) ni kazi ya kisayansi ya kutunga kamusi. Wikipedia wameifasili  leksikografia kuwa ni kazi ya kisayansi na kisanaa ya kutunga kamusi inayojumuisha uorodheshaji wa msamiati wa lugha inayotungiwa kamusi pamoja na maelezo ya kufafanua neon lililoorodheshwa kadri ya watumiaji wa kamusi iliyotungwa. Kutokana na fasili hizi tunaona kuwa leks...

VIDEO | NAS B FT TWENTY PERCENT 20% - MAUMIVU

Image

AUDIO | Rich Mavoko - HAPPY | Download

Image
(Leak) DOWNLOAD

VIDEO | Rayvanny - Chombo

Image

RANGI ZA MKOJO NA MAANA ZAKE

Image
Mkojo unakuwa na rangi mbali mbali.Ni wazi kuwa kila rangi inaashiria kitu Fulani katika miili yetu. Katika picha hii ina rangi mbali mbali za mkojo na chini ni maana ya kila rangi. 1.HAKUNA RANGI/ANGAVU Unakunywa maji mengi sana 2.RANGI YA MAJANI MAKAVU YA NGANO Uko sawa kiafya 3.NJANO ANGAVU Uko sawa kiafya 4.NJANO ILIYOKOZA WEUSI Uko sawa lakini jitahidi kunywa maji ya kutosha. 5.RANGI YA ASALI Mwili wako haupati maji ya kutosha 6.KAHAWIA ILIYOKOZA WEUSI Uenda una tatizo la ini Uenda hunywi maji ya kutosha.Jitahidi kunywa maji ya kutosha sasa na endapo itaendelea mwone Daktari 7.WARIDI YENYE WEKUNDU Je umekula matunda au vyakula vyenye rangi hivi karibuni? Kama hapana inawezekana kuna damu kwenye mkojo Yawezekana una matatizo ya Figo au sehemu nyingine za mfumo wa mkojo. Yawezekana umeathiriwa na madini ya zebaki au risasi.Inashauriwa kumwona daktari 8.MACHUNGWA Yawezekana hunywi maji ya kutosha Inaweza kuwa u...

MAPISHI YA LEO MKATE WA TAMBI

Image
LEO kwenye safu hii ya mapishi tunajifunza jinsi ya kupika mkate wa tambi ambao una ladha nzuri na rahisi kuutengeneza. MAHITAJI -Tambi pakti moja -Tui la nazi kikombe kimoja -Sukari nusu kikombe cha chai -Maziwa ya unga nusu kikombe -Samli kijiko kimoja cha supu -Zabibu robo kikombe -Iliki robo kijiko cha chai KUTAYARISHA NA KUPIKA Katakata tambi kisha zichemshe kidogo tu katika maji yanayochemka na uzichuje (zisiive sana). Chukua tui la nazi lichemshe, pamoja na vitu vyote vingine, koroga vicha-ngan-yike katika moto. Weka tambi kisha koroga vizuri ziache ziive. Chukua samli paka kwenye kikaango chako cha kupikia chenye shimo kisichokuwa na mkono au tumia trei ya keki iliyo nzito. Tambi zikikaribia kukauka, mimina katika kikaango au trei ya keki. Didimiza kwa mwiko kuzisawazisha zijifunge katika duara. Ukishafanya hatua hiyo, paka samli kidogo juu yake. Baadaye choma katika oven au jiko la mkaa lenye moto wa wastani. Acha kwa dakika 20 hadi zika...

COASTAL UNION KUMTAMBULISHA NYOTA WAKE MPYA, ALI KIBA SIKU HII

Image
Msanii wa Bongo Fleva, Ally Saleh Kiba ‘Ali Kiba’. UONGOZI wa Coastal Union ndani ya siku hizi mbili unatarajia kufanya utambulisho wa nguvu kwa nyota wake wapya wa kikosi hicho akiwemo msanii wa Bongo Fleva, Ally Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ ili watu wajue kuwa Kiba si msanii wa kuimba pekee bali yupo pia kwenye masuala ya soka. Coastal Union kwa sasa inaendelea na usajili wake na tayari imeshawanasa nyota kadhaa, lengo likiwa ni kujiimarisha kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara. Hivi karibuni gazeti hili la Championi,  liliripoti kuhusiana na ishu ya Ali Kiba kutua ndani ya kikosi cha Coastal Union baada ya mwenyewe kuridhia kutaka kuitumikia timu hiyo, kilichokuwa kikisubiriwa ni kusaini mkataba. Mwenyekiti wa klabu hiyo, Steven Mguto, amesema wanahitaji kujiandaa zaidi ndipo waweze kumtambulisha nyota wao huyo mpya. “Unajua Ali Kiba ni mtu maarufu san kutokana na kazi yake ya muziki, hivyo usajili wake unahitaji kuwa wa wazi zaidi ili watu wajue kuwa si kwamba anaimba tu bali w...