Posts

KWANINI WANAUME WENGI WALIOKO KWENYE NDOA HUFA MAPEMA NA KUWAACHA WAKE ZAO???

Image
        KWANINI WANAUME WENGI WALIOKO KWENYE NDOA WANAKUFA MAPEMA NA KUWAACHA WAKE ZAO? (Kwanini wajane ni wengi kuliko wagane??) 1. Umri mdogo wa kikomo cha maisha “life expectancy”  – Kama unafahamu hili jambo linaloitwa “life expectancy” utakubaliana na mimi kwamba umri wa mwanaume wa kuishi ni mdogo sana ukilinganisha na mke wake, hususani kusini mwa jangwa la sahara. Kwa hiyo wanawake wanapewa nafasi kubwa ya kuishi muda mrefu kuliko waume zao. 2. Ugumu katika kufunguka – Utakubaliana na mimi kwamba wanaume ni wagumu sana ten asana kufunguka na kushirikisha mambo yao, wao wako tayari wafe na tai shingoni wakijifanya hawaumii au hawasikii shida. Mkiwa na ishu kwenye ndo mkaitwa sehemu muyaongee yeye kamwe hamumpati, anakwambia mambo yetu tutasuluhisha wenyewe wakati ndani yanamla na kummaliza. Na kwa mtaji huu watakufa sana tu 3. Ugumu katika kusamehe  – Kusamehe sio tu kwa faida ya anayesamehewa bali pia kwa afya yaw ewe unayesamehe. ...

JE UNAIJUA ASILI YA UONGO WA KIMAPENZI? (A SECRET BEHIND CHEATING)

Image
JE UNAIJUA ASILI YA UONGO WA KIMAPENZI? (A secret behind cheating) Wako baadhi ya watu  wanaoamini kuwa kama ukweli  huuma basi uongo hauna budi kutumika katika baadhi ya maeneo au mazingira. Watafiti na waandishi mbali mbali wakekuwa wakijiuliza kwanini watu husema uongo? Na imefahamika kuwa uongo husemwa katika nyakati tofauti tofauti na kwa makusudi tofauti kabisa. Watu hudanganya ili kuficha makosa fulani makubwa wakihofia matokeo ya kile kilichofanyika,wengine hudanganya ili kumuepusha mwengine kutokufanya kitu kibaya, wako pia wanaodanganya ili tu kuficha hisia na matakwa yao yasijulikane na wengine, wakati wengine husema uongo ili kuficha na kuzifunika nafsi zao zinazohisi kufanya makosa. Kwa bahati mbaya uongo ni uongo tu ingawa wako wanaoamini pia kuwa kama uongo unasemwa kwa nia ya kumuonea mwingine huruma basi huo sio uongo mkubwa wala wenye athari bali ni ucheleweshwaji tu wakusema ukweli, kwa maana nyingine ni ukweli uliocheleweshwa tu. Wengi tunajua ...

SINGIDA WAICHIMBA MKWARA SIMBA

Image
  KOCHA Mkuu wa Singida United, Hemed Morocco, ametoa kauli ya kishujaa kwa kusema kuwa, licha ya Simba kuendelea kufanya usajili mkubwa, lakini hawaihofii wakikutana kwenye michuano ya Kagame inayotarajiwa kuanza leo Ijumaa jijini Dar. Simba ambayo inaendelea na usajili, hivi karibuni ilitangaza kumsajili Meddie Kagere kutoka Gor Mahia ya Kenya am­bapo kwenye Kagame, Simba na Singida zimepangwa kundi moja la C. Morocco alisema kwa mwaka huu wanataka kushinda kila kitu, hivyo wanaanza na Kagame. “Tunataka kushinda kila kitu, hayo ndiyo malengo yetu na ndiyo maana tuko watulivu katika usajili. “Tunataka kutumia mashindano ya Kagame kwa mambo matatu, kwanza kushinda kila mechi na kut­waa ubingwa, pili ni nafasi ya wache­zaji wetu kupata uzoefu wa mechi kubwa, na tatu ni kupata muungan­iko mzuri wa wachezaji wetu kabla ya kuanza kwa ligi. “Tupo kundi moja na Simba, wala hatuihofii, tumejipanga kupambana nayo na timu nyingine zote tutaka­zokutana nazo,” alisema ...

ROONEY ATIMKA EVERTON, AKIMBILIA MAREKANI

Image
KATANI: SPIKA HUJAWASHWA NA UPUPU, UNGEOMBA BIL 200 ZIRUDISHWE – VIDEO NTUYABALIWE: UKIWA NA NDOTO, OTA NDOTO KUBWA KUPINDUKIA ROONEY ATIMKA EVERTON, AKIMBILIA MAREKANI Breaking News: Aliyekuwa mshambuliaji wa Everton, Wayne Rooney (32) amesaini kandarasi ya miaka mitatu na nusu kuitumikia Klabu ya DC United inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Marekani.

FROM RUSSIA, STANDING TABLE IN FIFA WORLD CUP, JUNE 28

Image
WORLD CUP - GROUP A # TEAM GP W L PT 1. Uruguay 3 3 0 9 2. Russia 3 2 1 6 3. Saudi Arabia 3 1 2 3 4. Egypt 3 0 3 0 WORLD CUP - GROUP B # TEAM GP W L PT 1. Spain 3 1 0 5 2. Portugal 3 1 0 5 3. Iran 3 1 1 4 4. Morocco 3 0 2 1 WORLD CUP - GROUP C # TEAM GP W L PT 1. France 3 2 0 7 2. Denmark 3 1 0 5 3. Peru 3 1 2 3 4. Australia 3 0 2 1 WORLD CUP - GROUP D # TEAM GP W L PT 1. Croatia 3 3 0 9 2. Argentina 3 1 1 4 3. Nigeria 3 1 2 3 4. Iceland 3 0 2 1 WORLD CUP - GROUP E # TEAM GP W L PT 1. Brazil 3 2 0 7 2. Switzerland 3 1 0 5 3. Serbia 3 1 2 3 4. Costa Rica 3 0 2 1 WORLD CUP - GROUP F # TEAM GP W L PT 1. Sweden 3 2 1 6 2. Mexico 3 2 1 6 3. South Korea 3 1 2 3 4. Germany 3 1 2 3 WORLD CUP - GROUP G # TEAM GP W L PT 1. England 2 2 0 6 2. Belgium 2 2 0 6 3. Tunisia 2 0 2 0 4. Panama 2 0 2 0 WORLD CUP - GROUP H # TEAM GP W L PT 1. Japan 2 1 0 4 2. Senegal 2 1 0 4 ...

Jeshi la Zimamoto Kuzindua Kampeni Ya Ufungaji Wa Mifumo Ya Kugundua Na Kung’amua Moto Mashuleni

Image

Baba mzazi wa Michael Jackson, Joe Jackson afariki dunia

Image
Baba mzazi wa aliyekuwa Mfalme wa muziki wa Pop duniani Michael Jackson, Joe Jackson amefariki dunia  jana  mchana mjini Los Angeles nchini Marekani akiwa na umri wa miaka 89.   Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Joe Jackson alilazwa tangu mwezi Machi mwaka huu  na alikuwa na anasumbuliwa na Saratani. Joe Jackson ni moja Mameneja walioacha historia nchini Marekani kwa kuwameneji watoto wake katika kazi zao za muziki akiwemo marehemu Michael Jackson na Janeth Jackson.