Posts

HABARI MPYA :SUGU AHUKUMIWA JELA MIEZI MITANO

Image
Taarifa zilizotufikia muda huu hapa  MASSHELE BLOG  ni kwamba Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemhukumu miezi mitano jela Mbunge wa Mbeya Mjini  (CHADEMA) , Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘ Sugu ’. Sugu amehukumiwa pamoja na Katibu wa CHADEMA   Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,  Emmanuel Masonga  baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli. Hukumu hiyo imetolewa na   Hakimu Mkazi Mfawidhi , Michael Mteite ambapo amesema ameridhishwa na ushahidi wa upande wa mashtaka.

RED SEA: Archaeologists Discover Remains Of Egyptian Army From The Biblical Exodus

Image
The discovery of the remains of a large Egyptian army at the bottom of the Gulf of Suez, 1.5 km offshore from the modern city of Ras Gharib, has been announced this morning by Egypt’s Antiquities Ministry. The team of underwater archaeologists was in search of ancient shipwrecks and artifacts from the Stone and Bronze Age trade in the Red Sea when they came across a huge pile of human bones dated back to the 14th century BC. The team of underwater archaeologists was in search of ancient shipwrecks and artifacts from the Stone and Bronze Age trade in the Red Sea when they came across a huge pile of human bones dated back to the 14th century BC. Over 400 different skeletons have been discovered by the team of scientists lead by Professor Abdel Muhammad Gader from the Faculty of Archaeology at Cairo University. The discovery also includes hundreds of weapons and pieces of armor, the remains of two war chariots, dispersed over an area of nearly 200 square meters. According ...

KISWAHILI NIKIARABU?

KWA KUWA MSAMIATI MWINGI ULIOPO KATIKA LUGHA YA KISWAHILI UNATOKANA NA LUGHA YA KIARABU NI DHAHIRI KUWA LUGHA HII INATOKANA NA KIARABU. JADILI.   Katika kujadili swali hili tutaanza na utangulizi kwa kueleza  maana ya asili, maana ya msamiati na baada ya hapo tutaangalia jinsi kigezo cha msamiati kinavyotumiwa kudai kuwa  Kiswahili ni kiarabu  na tutaonesha udhaifu wake na mwisho tutakanusha madai haya kwa kuonesha kuwa Kiswahili ni kibantu na sio kiarabu. Mjadala kuhusu asili ya Kiswahili umejadiliwa na wataalam mbalimbali na wametumia vigezo mbalimbali kuthibitisha madai yao. Wapo wanaodai kuwa Kiswahili ni kiarabu, wanaoshadidia dai hili, kigezo kimojawapo wanchokitumia ni kigezo cha msamiati, kwamba lugha ya Kiswahili ina msamiati mwingi wa kiarabu na kwa hiyo kwa kuwa Kiswahili kina msamiati mwingi wa kiarabu basi pia Kiswahili ni kiarabu, kwa kweli dai hili halina mashiko. Kabla hatujaanza kufafanua kwamba kwa nini dai hili halina mashiko...

Riwaya: SIKU YANGU- Sehemu ya 01 na 02

Image
  Mtunzi: YOZZ PIANO MAYA Ilisikika sauti ya mwanamke akilia kwa sauti kali sana ndani ya sekunde chache.....kisha sauti hiyo ikatulia kimya....baada ya sekunde kumi ikasikika sauti ya mtoto mchanga akilia.....baada ya dakika kumi kupita,,zikasikika sauti zikisikika zikisema"sukuma kwa nguvu....usibane mapaja utamuuwa mtoto...ghafla ikasikika sauti ikisema ""mama weee... baada ya sekunde tatu hivi ikasikika sauti tena ya mtotochanga akilia....mwanamke huyo aitwae Rose alijifungua watoto mapacha wote wa kiume.walipishana dakika kumi za kuzaliwa...Rose alifurahi sana..Akamshukuru Mungu kwa kujifungua salama...baada ya masaa mawili kupita alikuja mumewe aitwae SEBA....alifurahi sana akasema,nitakupa zawadi mke wangu..nakuahidi nitakununulia gari...Rose alifurahi sana kusikia kauli hiyo ya mumewe.. *************** kesho yake majira ya saa nne za asubuhi.. madaktari walimruhusu Rose kwenda nyumbani..kutokana Rose alikuwa na nyonga pana sana hivy...