Posts

Korea Kaskazini yarusha kombora Kubwa zaidi

Image
Taifa la Korea Kaskazini limefanyia majaribio kombora lake la masafa marefu lililoruka juu zaidi na kombora hilo tayari limeonekana kuhatarisha usalama duniani kulingana na waziri wa maswala ya ulinzi nchini Marekani James Mattis. Jaribio hilo la kombora mapema siku ya Jumatano lilianguka katika maji ya Japan. Liliruka kwa urefu wa kilomita 4,500 na kusafiri umbali wa kilomita 960 kulingana na jeshi la Korea Kusini. Ni jaribio la hivi karibuni ambalo limezua hali ya wasiwasi, Mara ya mwisho kwa taifa hilo kulifanyia jaribio kombora lake ni mwezi Septemba, Wakati huo, kombora lake la mwisho lilikuwa la sita la nguvu za kinyuklia mwezi huo. Korea Kaskazini imeendeleza mpango wake wa kinyuklia pamoja na ule wa utengenezaji wa makombora licha ya shutuma kutoka kwa jamii ya kimataifa. Baraza kuu la usalama la umoja wa mataifa linatarajiwa kukutana katika kikao cha dharura ili kuzungumzia hatua hiyo ya hivi karibuni. Bwana Mattis amesema kuwa kombora hilo liliruka juu ikil...

Nafasi za kazi leo November 29

Image
2 Job Opportunities at Mohammed Enterprises Tanzania limited (METL) 2 Job Opportunities at Bondeni Flowers Limited Job Opportunities at Jubilee Life Insurance, Agents Job Opportunity at Management Sciences for Health (MSH), Senior Technical Advisor Job Opportunity at THPS, National EID Laboratory Mentor Nafasi zingine za Ajira Ingia  www.ajirayako.co.tz  

CHIMBUKO LA KISWAHILI NA WASWAHILI

CHIMBUKO LA  KISWAHILI NADHARIA MBALIMBALI KUHUSU CHIMBUKO LA KISWAHILI Kiswahili ni lugha ya kiarabu.waasisi wa nadharia ni kama vile stignd,Reusch na Knappert wanaodai kwamba Kiswahili ni mojawapo wa kati ya lahaja ya kiarabu.vile vile wanasema kuwa utamaduni wa waswahili ni utanzu wa waharabu USHAIDI UNAOTOLEWA 1.        Wanasema kwamba lugha ya Kiswahili imekopa maneno mengi ya kiarabu kama vile a.buibui b.daima-milele c.fahamu-elewa d.katibu-mwandishi        2.lugha ya Kiswahili imefungamana na mafunzo ya dini ya kiislamu.wao hutumia majina                                                mengi ya kiislamu kama vile        ...

KOREA KASKAZINI :TUTASHAMBULIA ENEO LOLOTE MAREKANI

Image
Haki miliki ya picha REUTERS Image caption Kombora hilo lililorushwa nyakati za giza alfajiri siku ya Jumatano lina uwezo mkubwa kushinda kombora lolote lile a taifa hilo Korea Kaskazini imesema kuwa imefanikiwa kulifanyia majaribio kombora lake la masafa marefu ambalo linaweza kufika eneo lolote la Marekani. Runinga ya kitaifa nchini humo imesema kuwa Pyongyang sasa imefanikiwa kuafikia azimio lake la kuwa taifa lenye nguvu za kinyuklia. Kombora hilo kwa jina Hwasong-15 ambalo imesema ndio kombora lenye uwezo mkubwa lilirushwa katika giza mapema siku ya Jumatano. Lilianguka katika maji ya Japan lakini liliweza kuruka juu zaidi ya kombora jingine lolote la taifa hilo . Kitengo cha habari cha taifa hilo KCNA kilisema kuwa kombora hilo liliruka katika kimo cha kilomita 4,475 na kusafiri kwa umbali wa kilomita 950 katika dakika 53. Kombora hilo lililofyatuliwa kwa mwinuko halikupitia katika anga ya Japan kama makombora mengine hapo awali na lilianguka kilomita 250 karibu na ...

E'TOO AHUSISHWA NA KUWAOKOA WACAMEROON WALIOKWAMA LIBYA ,

Image
Mshambuliaji nyota wa zamani wa FC Barceloma, Samuel Eto’o amehusishwa na kuwaokoa Wacameroon waliokuwa wamekwama nchini Libya na kuelezwa wamekuwa wakiuzwa kama watumwa. Imeelezwa kwamba Eto’o nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon kwamba amewalipia ndege. Lakini kumekuwa na taarifa nyingine, kuwa atatoa fedha kwa kila Mcameroon aliyeokolewa. Hata hivyo, Eto’o amekanusha suala hilo la kutoa fedha akisisitia upendo na hakusema chochote kuhusiana na yeye kuwaokoa au kuwalipia ndege. Kumekuwa na taarifa ya wahamiaji hasa Waafrika weusi, kuuzwa kama watumwa katika nchi hiyo ya Afrika Kaskazini ambayo imevurugika baada ya kuuwawa kwa aliyekuwa Rais wake wa muda mrefu, Muamar Ghadafi ambaye alikuwa kipenzi cha nchi nyingi za Afrika.

Past Exhibitions Mwana Hiti: More Than Just a Doll

Image
EXHIBITION OBJECTS ABOUT THE EXHIBITION The Mwana hiti: More than Just a Doll catalogue and exhibition are the result of study based on the Belgian private collection of Guibert Hairson. Initiation trunk figures, staffs of high-ranking members of the community, a fly whisk, container for medicinal and magical substances, a memorial post and throne-stool, spoons for the ceremonial preparation and food consumption, as well as more than forty hairpins, combs and hair decorations are brought together by one image – the mwana hiti. The mwana hiti appeared as a freestanding figure or image incorporated in objects used in ceremonies and on other important occasions that marked the lives of the Zaramo and neighbouring peoples. Depending on the context, the mwana hiti carried sacred, status, magical, or religious properties founded on the authority of the ancestors. The sculptural form and real life function of the mwana hiti motif reveals that it unites all male a...

Jiulize Maswali Haya ili Kujua kama Mpenzi Uliyenaye ni Sahihi

Image
  Inabidi kwanza wewe uwe ni mtu ulie sahihi  ndio utakapopata mtu sahihi , huwezi kupata mtu sahihi ikiwa wewe sio sahihi, au unaweza kupata mtu sahihi lakini wewe ukawa sio sahihi. ina maana kwamba lazima kwanza wewe uwe ni mwenye kujipenda ndipo utapenda na wengine Pia ujifunze  kuwa mtu mkamilifu ili uje kupata mtu alie mkamilifu. kwa hio inabidi uwe na maswali mengi kabla hujaanza kuchukua maamuzi ya kutafuta mtu sahihi.Jiulize  , umekamilika au ni tamaa tu inakupeleka kutafuta mtu wa kukukampani.? kama nia yako ni kupata mapenzi  tu , basi hapo bado  hujakamilika, lazima uwe na kazi kubwa ya kufanya ndani ya moyo wako kabla unahitaji kupata kazi ya kujifunza  kujipenda , na kujifunza majukumu ya kupenda wengine, uwe na hisia za kujisikia mkamilifu na usalama  za namba moja, yaani kupata na kutoa. jiulize maswali yafuatayo. 1. Je ni mtu anyethubutu kujali, na ni mtu mwenye huruma na uelewa na mtu wa kukubalika na anakubali ...