Posts
Angalia alicho fanyiwa huyu mwanamke na hawa wanaume KIMUD ARTS CORDINA...
- Get link
- X
- Other Apps
By
editor
-
UHAKIKI WA DIWANI YA FUNGATE YA UHURU
- Get link
- X
- Other Apps
By
editor
-
UHAKIKI DIWANI: FUNGATE YA UHURU, MWANDISHI: MOHAMED SEI KHATIBU MCHAPISHAJI: MACMILLAN AIDAN, MWAKA: Tuanze uhakiki huu, kwa kuanza na : KIPENGELE CHA MAUDHUI Dhamira Hili ni wazo kuu au mawazo mbalimbali yanayojitokeza katika kazi ya fasihi. Na katika diwani hii kuna dhamira kuu na dhamira ndogondogo ambazo zimejitokeza, kwa kuanza tunaanza na; Dhamira kuu Dhamira kuu ni wazo kuu linalojitokeza katika kazi za fasihi, na katika diwani hii, wazo kuu ni ukombozi wa jamii, sasa tuanzekuangalia ukombozi huo wa jamii, namna unavyojadiliwa katika diwani hii: Ukombozi wa jamii Dhamira kuu inayojitokeza katika diwani hii ni ukombozi wa jamii, mwandishi amejadili ukombozi huo katika Nyanja mbalimbali kama vile ukombozi wa kisiasa, kiuchumi na kiutamduni. Ukombozi wa kisiasa Kwa kiasi kikubwa mwandishi amejadili ukombozi wa kisiasa, mwandishi anaona kuwa ili jamii iweze kujikomboa kisiasa, jamii hiyo haina budi kuondokana na matatizo ya kiungozi [uongozi mbaya] uongozi ambao hauw...
WALIOFAULU USAILI AJIRA SERIKALINI KUFUTWA
- Get link
- X
- Other Apps
By
editor
-

TUESDAY , 27TH DEC , 2016 Watu wote waliokuwa wamefanya usaili kwa ajili ya ajira serikalini kupitia Sekretarieti ya Ajira ya Utumishi wa Umma kabla ya ajira kusimamishwa, watafutwa ndani ya miezi 6 na kulazimika kuomba upya kipindi ajira hizo zitakapotangazwa tena.  Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Hilo limebainishwa na sekretarieti hiyo kupitia majibu kwa wadau mbalimbali kwa mwezi Desemba ambao wamekuwa wakiuliza maswali na kujibiwa kila mwezi kupitia tovuti yake, na kubainisha kuwa suala hilo litawahusu wale ambao walifaulu usaili lakini kabla hawajapangiwa vituo vya kazi au kupewa barua na waajiri wao, ajira zikasimamishwa ili kupisha uhakiki wa watumishi hewa. Taarifa hiyo imesema kuwa huo ni utaratibu wa kawaida wa sekretarieti hiyo, kwamba majina ya waliofaulu huhifadhiwa kwenye kanzi data (Database) kwa muda usiozidi miezi sita, na baada ya hapo majina hayo hufutwa. "Kwa mujibu wa Taratibu zetu za uendeshaji wa mchakato wa ajira majina ya waombaji kazi waliofaulu la...
BODI YA MIKOPO, SERIKALI KUFANYA UHAKIKI UPYA
- Get link
- X
- Other Apps
By
editor
-
 Serikali imesema inaanza uhakiki upya, kwa kupitia fomu zote za maombi zilizowasilishwa na wanafunzi kwenye bodi ya mikopo, baada ya kubaini kuwa idadi kubwa ya wanafunzi walioomba mikopo ya elimu kupitia bodi ya mikopo nchini wamejaza taarifa za uongo. Profesa Simon Msanjila ambaye ni Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia amesema haya wakati wa mahafali ya nne ya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mbeya , akisema serikali imeanza uhakiki mara moja kwa kupitia fomu zote zilizowasilisha kwenye bodi ya mikopo , na atakaye bainika kuwa amejaza taarifa zisizo sahihi atafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Katika mahafali haya wanafunzi zaidi ya 800 wanehitimu kozi mbalimbali zikiwemo za uhandisi, usanifu wa majengo, umeme na tehama. Awali Mkuu wa Chuo cha Sayansi na Teknolojia Mbeya Profesa Mark Mwandyosa ameandaa mhadhara ulioshirikisha wanazuoni na wasomi mbalimbali ,na kumtaka Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Joseph Msambichaka kufundisha watanzania sayansi ...
Kama leo hujacheka hiki kichekesho kitakutoa mbavu Angalia anachofanya h...
- Get link
- X
- Other Apps
By
editor
-
DUNIA IMEISHA ANGALIA ALICHO FANYIWA HUYU MTOTO WA TANGA NDANI YA BEGI ...
- Get link
- X
- Other Apps
By
editor
-