Posts

WACHEZAJI BORA UEFA

Ni siku mbili zimepita toka tushuhudia ile fainali ya michuano ya klabu Bingwa Ulaya kwa mwaka 2016, fainali ambayo ilichezwa katika uwanja wa San Siro Milan Italia, hiyo ilikuwa fainali inayozihusisha timu kutoka nchi na jiji moja Hispania Atletico Madrid dhidi ya Real Madrid. Leo May 30 2016 shirikisho la soka barani Ulaya limetangaza majina ya wachezaji 18 kutoka timu mbalimbali barani Ulaya na kuwataja kama ndio wachezaji waliofanikiwa kuunda kikosi bora cha msimu wa 2015/2016 kwa UEFA, list ya wachezaji hao waliotajwa hakuna hata jina la mchezaji yoyote kutoka Ligi Kuu Uingereza. Ni vilabu vitano tu ndio vimefanikiwa wachezaji wake kutajwa katika list ya wachezaji 18 wa UEFA kwa msimu wa 2015/2016, Atletico Madrid na Real Madrid zimetoa wachezaji sita sita, wakati FC Barcelona imetoa wachezaji watatu, FC Bayern Munich imetoa wachezaji wawili na Paris Saint Germain imetoa mchezaji mmoja. ALL GOALS: Fainali ya FA CUP May 25 2016 Yanga vs Az Masshelephoto 0766605392

Mwaka jana ilikua hivi

http://www.pmoralg.go.tz/selection/mgawanyo_kwa_mchepuo.php

SONTAYO: BUSTED!!! IFEOMA CAUGHT WITH A INSURANCE BUSINESS ...

SONTAYO: BUSTED!!! IFEOMA CAUGHT WITH A INSURANCE BUSINESS ... : Ifeoma a 400 level Insurance Law student who is actually on scholarship in the University of Ghana Legon was caught with Mr Kwame of...

SONTAYO: BUSTED!!! IFEOMA CAUGHT WITH A INSURANCE BUSINESS ...

SONTAYO: BUSTED!!! IFEOMA CAUGHT WITH A INSURANCE BUSINESS ... : Ifeoma a 400 level Insurance Law student who is actually on scholarship in the University of Ghana Legon was caught with Mr Kwame of...

Cheki maajabu haya ya darasani

Class wonder: http://youtu.be/yOvAQEqNhRI

Bado,siku chache tu

Image
Kivumbi hichooo america

Picha ya mchezaji wa zamani wa simba

Image
Ni miaka minne tangu atutoke TUTA KUKUMBUKA DAIMA PATRICK MUTESA MAFISANGO