Jinsi ya kufanya ili Mwanamke amsahau mpenzi wake wa zamani ili aje kwako

Naamini hii hali ishawahi kukutokea wakati mmoja au mwengine, kuna mwanaume flani ambaye umependezwa naye lakini bado fikra zake ameziweka kwa mpenzi wake wa zamani. Ama umeanza kuchumbiana na mwanaume halafu baadae ukagundua kuwa huyu mwanaume mara kwa mara anamtaja mpenzi wake wa zamani katika maongezi yenu. Leo kama Daktari Mapenzi tumeamua kukomesha hili janga kwa kuja na mbinu madhubuti ambazo zitamzingiti mwanaume kama huyu ili aweze kukufikiria wewe pekeake na wala si mwingine. Karibu ndugu mdau wetu, #1 Mpe muda. Wakati mwingine ni bora zaidi kumpa mwenzako time ili aweze kusahau matukio ya awali. Mwanaume ambaye ameachana na mpenzi wake wa zamani kwa kawaida inaweza kuchukua muda mrefu kabla kurudi kawaida. So iwapo kweli unampenda mwanaume flani basi mpe muda anaouhitaji ili aweze kumsahau mpenzi wake wa zamani. Hilo si jambo baya kufanya. Kumpa muda wa kufikiria kunasaidia kwa kuwa atakuwa anapoteza mawazo yake ya zamani na huyo mpenzi wake. Hakikisha unamkaa mba...