Posts

Showing posts from October, 2024

HAYA HAPA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024

Image
  Matokeo ya Darasa la Saba 2024 Baraza la mitihani Tanzania NECTA  limetangaza matokeo ya kuhitimu Darasa la Saba  hivi leo. Bofya hapa kuona matokeo ya shule zote >>>HAPA>> AU FUNGU MKOA HUSIKA HAPA CHINI NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2024 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA TANGA MANYARA GEITA KATAVI NJOMBE SIMIYU SONGWE

MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI AJIRA ZA UALIMU 2024

Image
  Hii hapa Orodha ya Majina ya WALIOITWA KWENYE usaili ajira za ualimu 2024 masomo yote Call for Interview  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MWALIMU DARAJA LA III A & B ELIMU MAALUM, MWALIMU DARAJA LA III B & C SOMO LA BIASHARA 16-10-2024  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MWALIMU DARALA III B & C KIFARANSA, KILIMO, SOMO LA LISHE, SOMO LA BIASHARA, SOMO LA USHONAJI NA FUNDI SANIFU MAABARA YA SHULE DARAJA LA II 16-10-2024  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MWALIMU DARAJA LA III B FASIHI YA KIINGEREZA 15-10-2024  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MWALIMU DARAJA LA III B KIINGEREZA 15-10-2024  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MWALIMU DARAJA LA III C HISABATI , FIZIKIA NA MWALIMU DARAJA LA III B HISABATI 15-10-2024  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MWALIMU DARAJA LA III B FIZIKIA 15-10-2024  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MWALIMU DARAJA LA III C KEMIA, SHULE YA MSINGI, ELIMU MAALUMU, URAIA NA KILIMO 15-10-2024  TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI...

AJALI MOSHI KILIMANJARO , KADHAA WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA

Image
Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha usiku huu wa Ijumaa Octoba 18,2024 baada ya Bus dogo la abiria aina ya Costa linalofanya Safari zake kati ya Arusha na Moshi Kilimanjaro kugongana Uso kwa uso na lori la Mafuta. Ajali hiyo imetokea katika daraja la Kikavu lililopo Kwasadala barabara kuu ya Moshi Arusha majira ya saa tatu usiku kilometa chache kabla ya kufika Moshi Mjini. Bado tunaendelea kufuatilia taarifa hizi kutoka mamlaka husika, endelea kukaa karibu na Mitandao yetu ya kijamii ili kupata taarifa hii kiundani zaidi. HABARI KAMILI WATU 14 wamefariki Dunia na wengine kujeruhiwa baada ya gari aina ya Costa walilokuwa wakisafiria kutoka Moshi kwenda Arusha kugongana na lori la mizigo eneo la mto kikavu wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.  Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo, Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa, Nurdin Babu alisema kuwa, ajali hiyo imetoa usiku wa kuamkia Oktoba 19 mwaka huu ambapo gari ya abiria aina ya Cos...

Methali 600 za Kiswahili

Orodha ya Methali za kiswahili na maana zake Zifu atazo ni baadhi ya methali za Kiswahili pamoja na maana, zile zisizokuwa na maana zitaongezewa maana muda unavyozidi kuyoyoyoma. Karibuni: [Mwalimu KIRISITOFA] 1.  Aanguaye huanguliwa. MAANA: Anayetendea mwingine jambo fulani huenda akatendewa jambo lilo hilo na mja mwingine. 2. Asiye sikia la mkuu, huvunjika guu: MAANA: Anayepuuza maagizo ya wakubwa wake hupata madhara. 3. Abebwaye hujikaza. MAANA: Anayesaidiwa sharti atie bidii ili apate heri na fanaka. 4. Adhabu ya kaburi aijuae maiti. MAANA: Aliyefikwa na shida fulani ndiye tu anayeelewa ugumu wa shida hiyo. 5. Adui aangukapo, mnyanyue. MAANA: Usiwe na mazoea ya kulipiza kisasi au kuwatendea wenzako maovu. 6. Adui mpende. MAANA: Tendea wema hata wale wasiokupenda. 7. Adui  wa  mtu ni mtu. MAANA: Ibilisi hawezi kuja kutudhuru mwenyewe bali anawatumia marafiki zetu wa karibu. 8. Afadhali ya Musa kuliko ya Firauna. MAANA: Ni heri uliyoyazoea na unayofahamu kuliko yale usi...