Love story mama mdogo
SIMULIZI YA MAMA MDOGO SURA YA ........14.......  ILIPOISHIA: Usiku mama mdogo alianzisha tena mazungumzo na baba Jamal kuhusu kumpeleka Jamal shule. Alimsifia Jamal kwamba amebadilika sana na kwamba sasa ni mtoto mzuri, hana kiburi, anajituma katika kazi na ameacha kabisa mambo ya mapenzi. Hivyo alisisitiza kwamba apelekwe shule ili akasome kwa faida yake na mdogo wake. Baada ya kufikiria sana baba Jamal alikubali na kumtaka mama yake mdogo aende shule ya Sekondari ya Jitegemee ili akatafute nafasi na kisha Jamal aanze kusoma mara moja. INAPOENDELEA: Siku iliyofuata baba Jamal alikwenda kazini kama kawaida yake. Jamal aliamka saa tatu siku hiyo, kwani hakupata usingizi vizuri usiku kutokana na kuwa na mawazo mengi. Alikwenda sebuleni na kumwita mama yake mdogo aliyekuwa chumbani. Mama mdogo alipofika tu alimrukia Jamal shingoni na kumbusu shavuni. “Jamal kazi nimemaliza.” Alitamka mama mdogo huku akimwangalia Jamal. “Kweli mama mdogo? Mbona siamini, umetumia m...