Posts

Showing posts from March, 2023

Hii dawa ndio iliyonitoa Jela baada ya kufungwa kwa kosa la uongo!

Image
  Ukweli ni kwamba sio kila aliyejela ametenda kosa, wapo wengi wamefungwa vifungo virefu jela kwa mambo ya kusingiziwa na kufungwa kutokana pengine waliofanya hivyo walitoa rushwa ambayo ni adui ya haki. Nasema jambo hilo nikiwa na ushahidi wa kutosha na uzoefu kwa sababu niliwahi kupitia hilo, nilifungwa kwa kosa la kusingiziwa kuwa nimevunja duka la mtu na kuiba kitu kitu ambacho hakikuwa kweli. Asubuhi moja nikiwa katika eneo langu la kazi nilishangaa Polisi wakija na kunikamata, nilishtuka na nilipouliza tatizo ni nini hasa?, waliniambia kuwa nitaenda kujieleza huko mbele ya safari, basi nilifikishwa kituo cha Polisi na baada ya siku mbili, nilifikishwa Mahakamani na kufunguliwa mashtaka ya wizi. Nilikana mashtaka yote yaliyonikabili, niliambiwa kuwa nimeiba fedha na mali katika duka lile ambalo kiukweli nilikuwa na muda mrefu tangu niende hapo kupata huduma, siwezi kusahau jinsi ambavyo nilipitia maumivu makali kihisia. Kwangu maisha yalikuwa ni magumu sana maana sikuweza kup...

Unaweza kupata kazi kwa urahisi kupitia mtu huyu!

Image
  Siku zote huwa nasema hakuna kitu ambacho kimekuwa kikiwasumbua vijana wengi kwa sasa kama kupata ajira, bila ajira ni vigumu kwa kijana kuweza kuendesha maisha yake na kuwa mtu mwenye mafanikio. Siku zoye imekuwa ikiaminika kuwa mtu aliyeenda shule kusoma hadi elimu ya juu amekuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kupata kazi, lakini kadiri miaka ambavyo imekuwa ikienda suala la ajira limekuwa changamoto kwa wasomi na wasio wasomi. Baada ya kuhitimu masomo yangu ya ufundi stadi nilikaa nyumbani miaka minne bila kufanikiwa kupata ajira licha kutuma maombi katika ofisi mbalimbali za kiserikali na kibinafsi.  Jambo lilonishangaza ni kwamba kuna ambao walimaliza masomo nyuma yangu walikuwa wakipata ajira na kuanza hatua za kimaendeleo kama kujenga na kufungua biashara zao ila kwangu ilikuwa ni tofauti. Hali hiyo ilinifanya kujiona mwenye bahati mbaya maishani sana ingawa niliamini kuna muda wangu utafika.  Siku moja nikiwa natembelea wavuti mbalimbali ambazo hutoa matangazo ya ...

Shemeji kanisingizia nilimbaka ili niachane na mke wangu!

Image
  Kamwe siwezi kusahau miaka kama sita iliyopita ambapo shemeji yangu alinifungulia kesi mahakamni kuwa nilitaka kumbaka jambo ambalo sio la kweli na wala sijawahi hata kuwa nazo hilo.  Basi nilikamatwa na kufikishwa mahakamani, nilisomea mashtaka ambayo yote niliyakana na kupelekwa rumande, baadaye nilikuja kupata dhamana na kuachia jambo ambalo lilinipa tumaini ya kushinda kesi hiyo ngumu kuwahi kutokea.  Lakini naye mke wangu waliamua kuondoka nyumbani na kuniambia mimi ni mtu ambaye siridhiki kwa sababu nimetaka kutembea hadi na dada yake, kauli hiyo ilinitoa machozi kutokana sikufanya kitendo hicho. Siku hiyo nilimuomba sana asiondoke maana hana uwakika kama ni kweli nimefanya hivyo, alisema dada yake anamfahamu vizuri na kamwe hawezi kuongea uongo mkubwa kiasi hicho, hivyo ni lazima itakuwa ni kweli.  Basi mke wangu aliondoka na kubaki mwenyewe, ilikuwa ni aibu kubwa sana kwangu, habari hizo tayari zilikuwa zimeshasambaa mtaani na kwenye vyombo vya habari....

Habari za michezo: UKWELI KUHUSU Luis Miquissone Kurejea SIMBA

Image
Uongozi wa Klabu ya Al Ahly umemueleza CEO wa klabu hiyo kuwa ahakikishe anawaondoa wachezaji watatu katika dirisha lijalo la usajili. Wachezaji hao ni Luis Miquissone, Bruno Savio na Walter Bwalya ambao wanapaswa kuwa wameondoka. Kuondoka kwa wachezaji hao ni kutoa fursa kwa klabu kuingiza wachezaji wapya. Kuachwa kwa Miquissone inaweza kuwa ni habari njema kwa Simba SC ambao mara kadhaa walijaribu kutaka kumrudisha mchezaji huyo lakini inaelezwa malipo makubwa ya mshahara wake yalikuwa kikwazo kwa SImba na hiyo kwenda kwa Mkopo katika klabu ya Abha ya nchini Saudi Arabia. Miquissone aliuzwa na Simba mwishoni mwa msimu wa mwaka 2020/2021 akiwa ashafanya makubwa na kujitengenezea ufalme wake ndani ya klabu ya Simba.

Jinsi ukahaba ilivyonipa Kisonono!

Image
  Jina langu ni Mom, kutokana na ugumu wa maisha nilijikuta nimeingia kwenye biashara ya ukahaba bila mimi mwenye kupenda, nilifanya kazi ile kishingo upande, ni vile tu sikuwa na jinsi ya kuweza kuendesha maisha.  Nilikumbana na changamoto nyingi, moja wapo ambayo ni kubwa zaidi ni kukamatwa na Polisi na kufikishwa kituoni, kama ukiwa siku hiyo umepata fedha kidogo inabidi kuwagawia kidogo.  Ila changamoto nyingine ni kwamba wateja wengi hawakutaka kutumia kinga (kondomu) au mwingine anaivaa kabisa halafu katikati ya safari anaipasua kwa makusudi.  Hali hiyo lilikuwa likinikera kwani maradhi ni mengi, nilivumilia hilo kutokana sikuwa na jinsi ya kupata fedha kwa wakati huo ambapo maisha yalikuwa yamenishika kisawa sawa!. Haukupita muda nilianza kuugua ugonjwa wa Kisonono, nilienda hospitali ambapo nilifanyiwa vipimo hivyo na kupatiwa dawa za kutumia, lakini cha ajabu ugonjwa ule ulikuwa inaisha na baada ya muda kigodo unaanza tena.  Kila nikipona na kurejea kwe...

AUDIO | Yammi – Ramadan | Download

Image
  QASWIDA MPYA 2023 AUDIO | Yammi – Ramadan | Download Yammi – Ramadan Download Mp3 Audio Download ON AudioMack

Bibi yangu kanipa mbinu ya kumfunga mume asitoke nje ya ndoa!

Image
  Watu wengi husema kuwa ndoa ni ngumu na hii ni kutokana na wanaume wengi kutokuwa waaminifu katika ndoa zao kwani baada ya kipindi fulani huanza kutafuta wanawake wengine wa nje kwa madai ya kubadilisha ladha maana huwezi kula chakula kile kile kila siku. Naitwa Queen, nimekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano sasa, hakika naweza kusema mimi ni miongoni mwa wanawake ambao wamefaidi matunda ya ndoa vilivyo, sijawahi kukumbana na kadhia yoyote ile. Hata hivyo, kuna baadhi ya wanawake nao wamekuwa na tabia hiyo tena kwa sana ila wamekuwa wakifanya kwa siri kubwa kiasi ni vigumu kwa waume zao kuwabaini kwa wepesi.  Kipindi naolewa Bibi yangu aliniambia kuwa mimi ndio mwenye wajibu wa kuilinda ndoa yangu kuliko mtu yeyote yule, nina wajibu kuliko hata mume wangu mwenyewe. Nilimuuliza Mama kivipi?, ndipo akaniambia mume anahitaji kuchungwa kama mtoto mdogo maana huko nje vishawishi ni vingi.  Basi nilikaa nikitafakari ushauri wa Bibi yangu ambaye ameishi na mume wake ambaye ni Ba...

NAMNA YA KUZUIA KIU WAKATI WA KUFUNGA MWEZI WA RAMADHANI

Image
Assalam Aleykum wasomaji wa makala hii na karibuni katika mfululizo unaozungumzia swaumu na siha ambapo leo tutazungumzia namna ya kuzuia kiu wakati wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Maji huunda karibu asilimia 70 ya mwili wa mwanadamu, hivyo umuhimu wake hauwezi kufumbiwa macho. Karibu kila kitendo kinachofanywa na mwili husaidiwa na maji kuanzia kuondoa uchafu na sumu mwilini hadi kusaga chakula. Pia maji huifanya ngozi kuwa na siha na kusafirisha virutubisho vya chakula katika mwili mzima. Kwa kawaida kuvumilia njaa katika mwezi wa Ramadhani ni jambo rahisi zaidi kuliko kuvumilia kiu. Iwapo utahisi kuwa virutubisho vya chakula na madini vimepotea mwilini kwa kutokwa na jasho sana, unapaswa kufidia mada hizo kwani kuendelea mwenendo huo kunaweza kusababisha mwili kudhoofika kufikia mwishoni mwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Unaweza kufidia virutubisho, madini na maji yanayopotea mwilini kwa kula lishe inayotakiwa wakati wa kufuturu na pia daku. Zifuatazo ni njia kadha...

MWONGOZO WA AFYA YA MWILI KATIKA KIPINDI CHA FUNGA YA RAMADHANI

Image
Kila mwaka, wataalamu wa mambo ya lishe kutoka sehemu zote duniani hutoa maoni yao juu ya lishe ndani ya Mwezi wa Ramadhani. Kama ambavyo wengi wameshaeleza, uchaguzi wa aina ya chakula ni muhimu kwa mfungaji ili kuupatia mwili virutubisho muhimu sanjari na kuukinga na matatizo kama vile ongezeko la uzito wa mwili, kupungukiwa na maji (mpweo) na kukosa choo. Mapendekezo ya kiafya ndani ya Mwezi wa Ramadhani yanajumuisha mambo yafuatayo: · Hakikisha unajumuisha vyakula vya makundi yote. Navyo ni mikate, nafaka, nyama, maziwa, matunda na mbogamboga. · Kula vyakula ambavyo vinakawia kumeng’enyeka ili vikudumishie hali ya kushiba kwa kipindi kirefu. Vyakula hivyo ni pamoja na mikate ya nafaka zisizokobolewa, maharage, kunde, mbaazi na vyakula vya maziwa vyenye kiwango kidogo cha mafuta. · Badala ya kuwa na milo miwili ya karibu-karibu; futari na daku, ni vema kuigawanya milo hiyo katika nyakati tatu zinazopishana, Futari, mlo wa mapema usiku na Daku la jirani na Alfaj...

TENDE, MAJI ZINAVYOFAA WAKATI WA MFUNGO WA RAMADHANI

Image
V YAKULA  vinavyofaa kuliwa wakati huu wa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni vingi, leo tutaanza kuchambua kimoja baada ya kingine, Mbali na Waislamu, uchambuzi huu unawafaa pia wale ambao siyo Waislamu. Chakula kilichozoeleka zaidi kwa futari ni tende. Baada ya kushinda kutwa nzima na Swaumu, kiwango cha sukari ya mwili hupungua na hivyo, kuhitaji kujazilizwa tena. Aina ya kwanza ya sukari itumikayo mwilini na hasahasa ubongoni ni glukosi. Mshuko wa sukari walioupata wale ambao hawakula au kunywa kwa kipindi kirefu, unaweza kusababisha ulegevu wa mwili. Pindi sukari inapoliwa kwa njia ya chakula au kinywaji, viwango vya glukosi ya mwili hujisawazisha vyenyewe na kumfanya mtu aliyefunga asijihisi kuchoka sana na huwa na nuru zaidi ya macho. Ingawaje tende, mara nyingi, si chakula kinachopendelewa sana na watu wenye njaa, lakini ndicho chakula kisicho na mafuta, na ni chanzo madhubuti cha sukari. Nusu ya sukari zitolewazo na tende ni kwa ajili ya glukosi pekee. ...

MLO SAHIHI WAKATI WA MFUNGO WA RAMADHANI

Image
VYAKULA vinavyofaa kuliwa wakati huu wa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni vingi, leo tutaanza kuchambua kimoja baada ya kingine, Mbali na Waislamu, uchambuzi huu unawafaa pia wale ambao siyo Waislamu. Chakula kilichozoeleka zaidi kwa futari ni tende. Baada ya kushinda kutwa nzima na Swaumu, kiwango cha sukari ya mwili hupungua na hivyo, kuhitaji kujazilizwa tena. Aina ya kwanza ya sukari itumikayo mwilini na hasahasa ubongoni ni glukosi. Mshuko wa sukari walioupata wale ambao hawakula au kunywa kwa kipindi kirefu, unaweza kusababisha ulegevu wa mwili. Pindi sukari inapoliwa kwa njia ya chakula au kinywaji, viwango vya glukosi ya mwili hujisawazisha vyenyewe na kumfanya mtu aliyefunga asijihisi kuchoka sana na huwa na nuru zaidi ya macho. Ingawaje tende, mara nyingi, si chakula kinachopendelewa sana na watu wenye njaa, lakini ndicho chakula kisicho na mafuta, na ni chanzo madhubuti cha sukari. Nusu ya sukari zitolewazo na tende ni kwa ajili ya glukosi pekee...

EPUKA VYAKULA HIVI NDANI YA MWEZI WA RAMADHANI

Image
KUNA aina sita za vyakula na ulaji ambao mfungaji anashauriwa kuepuka ili kulinda afya yake wakati huu wa mfungo wa Ramadhani, vyakula hivyo ni kama ifuatavyo: Vyakula vya kukaanga na vyakula vya mafuta mengi kama chips, sambusa, biriyani, pilau na kadhalika vinafaa kuepukwa kwa sababu vina calories nyingi na virutubisho vichache hivyo kusababisha mlo uwe usio na uwiano. Hii husababisha shibe isiyo na faida na huongeza uchovu wakati wa Ramadhani kwa mfungaji. Pia mfungaji aepuke kula vyakula vilivyo na chumvi nyingi kama achari pickles, sauces, chips na kadhalika kwa sababu chumvi hunyonya maji mwilini. Kutokana na unywaji mchache wa maji ndani ya Ramadhani, utumiaji wa chumvi nyingi unaweza kusababisha upungufu wa maji mwilini, kitaalamu huitwa dehydration na udhaifu wa mwili ndani ya Ramadhani Mfungaji pia aepuke kula vyakula na vinywaji vilivyo na sukari nyingi kama soda, pipi, vinywaji vya kuongeza nguvu n.k. Ingawa vinaweza kukupa nguvu ya haraka lakini vyakula hivi ...