Posts

Showing posts from September, 2021

nafasi za kazi 250 JESHI la Zimamoto

Image
250 Jobs at JESHI la Zimamoto September, 2021. Fire services in mainland Tanzania began during colonial rule immediately after the second world war in 1945, when at that time there was only one unit called the Police Fire Brigade under the control of the Police Force. In 1950 this service was divided into two categories namely Municipal Fire Management under Municipal Management, and Airport Fire Management under the Department of Labor. 250 Jobs at JESHI la Zimamoto September, 2021 The deadline for submitting the application is 15 October 2021.  

10 New Job Opportunities at AMREF Tanzania - Various Posts

Image
  Overview Amref Health Africa is an independent, non-profit, non-governmental organization (NGO) whose mission is “to improve the health of people by partnering with and empowering communities and strengthening health systems”. Amref Health Africa has over 1000 employees throughout Africa with its headquarters in Nairobi, Kenya. Amref Health Africa has offices in Tanzania, Ethiopia, Kenya, Uganda, and South Africa, Malawi, Zambia, South Sudan and Senegal and a number of offices in Europe and North America for fundraising. Amref Health Africa is an equal opportunity employer however women and people with disability are encouraged to apply and has a non-smoking environment policy;  “Amref Health Africa is committed to the principles of safeguarding in workplace and will not tolerate any form of abuse, wherever it ocurs or whoever is responsible”   Amref Health Africa-Tanzania is largely supported by Multilateral, Bilateral and National donors, implementing several programm...

AUAWA KWA KUCHOMWA KISU UGOMVI WA SH. ELFU MOJA YA KAMARI

Image
  Na Adelinus Banenwa - Bunda Kijana aitwaye Jumanne Jackson (21) mkazi wa mtaa wa Kabusule Kata ya Nyamakokoto Halmashauri ya Mji wa Bunda  Mkoani Mara amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu tumboni na kifuani na kijana mwenzake Chacha Mangeo (21) katika ugomvi wa fedha shilingi 1000 ya kamari. Mashuhuda wamesema t ukio hilo limetokea Septemba 28, 2021  jioni   ambapo wameeleza kuwa  walisikia ugomvi katika chumba alichokuwa akiishi Marehemu  Jumanne Jackson (21)  na baada ya kutoka nje walimuona mtuhumiwa Chacha Mangeo akikimbia huku  Jumanne akiwa ameinama huku damu zikichuruzika chini kutoka tumboni na kifuani. Mmoja ya ndugu wa marehemu huyo alisema   “Nilisikia mlango unagonga puuuuh sikushtuka maana hii milango inatumia nguvu kuifungua, Ila kabla  sijakaa vizuri nikaitwa... bibi bibi wanagombana huku, nilipotoka nje nikakuta wanasukumana huyu kijana aliyefariki na kijana aliyekuwa anagombana naye (Chacha Mangeo) akiwa ameshika kis...

350 Jobs Opportunities at Tanzania Immigration Department (Ajira uhamiaji)

Image
350 Jobs at Tanzania Immigration Department (Ajira uhamiaji) September, 2021. The Immigration Services Department is established under Section 4(1) of the Immigration Act of 1995 Chapter 54 as amended by Act No.8 of 2015.  It gives the Department the authority to control and facilitate immigration issues in the United Republic of Tanzania. The Department is one of the security organs under Ministry of Home Affairs.

Bwana Harusi Avunjika Mgongo Baada ya Kurushwa Hewani

Image
MWANAUME mmoja aliyekuwa akifanya sherehe ya ndoa yake na mkewe baada ya kufunga ndoa amevunjika mgongo baada ya marafiki zake kumrusha juu juu na kukwepa kumdaka kisha akaanguka chini.   Kisa hicho kimetokea katika harusi hiyo Kaunti ya Bihor, Kaskazini Magharibi mwa Romania ambapo imeelezwa kuwa bwana harusi huyo aliporushwa hewani mara ya kwanza, alidakwa lakini katika jaribio la pili aliangukia kichwa na kumsababishia jeraha makubwa.   Sherehe hiyo ya harusi iliendelea licha ya mkasa huo huku bibi harusi na familia zote wakiendelea kuwaburudisha wageni waliokuwepo ukumbini.   Baada ya tukio hilo, marafiki hao walimubeba haraka na kumuweka kwenye gari, hatua ambayo madaktari walisema ilifanya hali yake kuwa zaidi.   Daktari anayemtibu amesema; “Mgonjwa aliumia uti wa mgongo. Anaendelea vizuri japo pole pole. Amelazwa katika chumba cha kufanya upasuaji wa kichwa na wiki ijayo atafanyiwa uchunguzi zaidi.”   Hata hivyo, bwana harusi huyo mwenye umri wa miak...

700 Jobs JESHI LA MAGEREZA Tanzania | New Job Opportunities at Tanzania Prison Force Released 27th September 2021

Image
  700 Job Opportunities At Jeshi La Magereza Ajira 2021. After the independence of mainland Tanzania, the Prisons Service continued to be led by the British Commissioner of Prisons, Mr. Patric. Manley until 1962 when the Army began to be led by patriots. Following the Government’s strategy to enhance its performance, it has provided employment opportunities to Ministries and various Government institutions in various positions according to its requirements.. 700 Job Opportunities At Jeshi La Magereza Ajira 2021 In that context, the Commissioner General of Prisons, Major General Suleiman Mungiya Mzee announces 700 job vacancies to join Prison Army for the year 2021 for those with a Form Four education and those with various professions / skills as outlined in this advert. The following below are the job opportunities at Tanzania Prison Force | Nafasi Za Kazi Jeshi la Magereza Tanzania. For more information please follow the link below..... Download PDF file below to read full job de...

Rais Samia Awaasa Viongozi ALAT kutoa elimu ya Uviko 19

Image
 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa serikali za mitaa kutoa elimu ya kutosha juu ya umuhimu wa chanjo ya UVIKO 19 kwa wananchi. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi hao kutotumia mabavu katika utoaji wa chanjo bali kuwaelimisha wananchi wapate chanjo kwa hiari. Rais ametoa kauli hiyo leo Septemba 27, 2021wakati akifungua mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya serikali za mitaa- ALAT Taifa Mkoani Dodoma. “Tulisema hili jambo ni la hiari, ukipita nyumba kwa nyumba anayetaka mchome asiyetaka usichome Lakini kubwa ninalotaka kusema mtu ana hiyari ya kukubali au kukataa na kama ana elimu ya kutosha ,hawezi kukataa” Katika mkutano huo maalum Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi hao kushirikiana na kuondoa tofauti Zao ambazo nyingi hutokana na maslahi binafsi.

Wimbo Mpya: Diamond Platnumz – Samia Suluhu

Image
 Wimbo Mpya: Diamond Platnumz – Samia Suluhu

Vijana Wawili Wahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa Baada ya Kukutwa na Hatia ya Kumteka Mtoto na Kumuuwa

Image
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Kigoma, imewahukumu watu wawili kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kuteka mtoto wa miaka 12 na kuwataka wazazi wake wawape fedha kiasi cha milion 5 ili wamuachie mtoto ambaye walimuuwa na kumzika akiwa amekaa huku amefungwa mikono na kichwani.   Waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa ni Tabibu Nyundo na Thobias Mtakiyicha wakazi wa Kijiji cha Gwanumpu wilaya ya Kakonko waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya kukusudia kesi namba 18 ya mwaka 2021.   Imeelezwa kuwa mnamo Januari 27, 2021, washtakiwa walishirikiana kumteka mtoto huyo kisha kumtumia ujumbe wa simu jirani wa familia yake kuwa wanahitaji kiasi cha milioni 5 ili wamuachie mtoto wao. Credit : Global 

Bomoabomoa vibanda vya wamachinga Vingunguti

Image
  Mkazi wa jijini Dar es Salaam akiwa amebeba maboksi kufuatia kubomolewa kwa vibanda vya wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu wamachinga katika eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam. Kazi ya kubomoa vibanda imefanyika usiku wa kuamkia leo. Mkazi wa jijini Dar es Salaam akiwa amebeba maboksi kufuatia kubomolewa kwa vibanda vya wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu wamachinga katika eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam. Na Mpigapicha Wetu Wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu wamachinga wakikusanya mabaki ya mbao baada ya vibanda vyao vya kufanyia kazi kubomolewa katika eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo. Na Mpigapicha Wetu Jana Jumatano Septemba 22, 2021 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametumia ziara yake ya jimbo kwa jimbo mkoani humo kutoa elimu kwa wamachinga waofanya biashara zao katika maeneo yasiyo rasmi na kuhamia maeneo yaliyo rasmi. Makalla amefanya hivyo ikiwa imepita siku tano tangu mkoa huo uzindue mwongozo wa kuwapanga wafanyabias...

Maneno ambayo unapaswa kumwambia mpenzi wako ili kuongeza ladha katika mahusiano

Image
    Mapenzi yanayotawaliwa na maneno matamu hunawiri na kuchanua kama mmea uliopandwa kando ya mto. Hakika maneno mazuri husadifu mambo mengi mazuri baina yenu ikiwemo upendo, kujali, kuthamini, heshima, utii, upole, nidhamu, uaminifu, unyenyekevu, usikivu, ukarimu na faraja hivyo ni vema kuhakikisha kama kweli unampenda kinywa chako daima kimtolee lugha nzuri ya maneno matamu. Weka desturi ya kusema mambo haya kwa mwenza wako hakika inazidisha furaha na amani kati yenu.. Nakupenda Nakupenda ni kitu rahisi na cha wazi cha kumwambia mwenza wako. Hakikisha tu kuwa unamaanisha. Jaribu kulisema neno hilo pindi mwenza wako anapokuchekesha au pale anapofanya kitu kinachokukumbusha kwanini mko pamoja.....``` Umependeza Kama umekuwa kwenye ndoa kwa muda mrefu, ni rahisi kujisahau katika mengi. Ni muhimu kumkumbusha mwenza wako kuwa anakuvutia. Kumjulisha kuwa ulivo vaa umependeza sana’ kutamfanya ajisikie vizuri na kukumbusha kwanini ulimchagua yeye. Samahani Kila mtu hukosea wakati f...

104 Job Opportunities at UBUNGO Municipal Council September, 2021

Image
104 Vacancies at UBUNGO Municipal Council September, 2021. Ubungo is a district north west of Dar es Salaam central business district, Tanzania. It is located in the western part of the province. Ubungo was formerly a ward in the Kinondoni District of Dar es Salaam. 104 Vacancies at UBUNGO Municipal Council September, 2021 The deadline for submitting the application is 30 September 2021.

23 Job Opportunities at DUCE, Part time Readers/Note-takers for students with Disabilities and Special Needs

Image
  SHORT TERM EMPLOYMENT OPPORTUNITIES Applications are invited from suitably qualified Tanzanians to fill the following part time vacant positions at the Dar es Salaam University College of Education (DUCE) situated at Chang’ombe, Temeke District in Dar es Salaam. Job Title:   Part time Readers/Note-takers for students with Disabilities and Special Needs  (23 Posts). Qualifications:  Applicant must be a holder of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) or an Advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE), good command in English and must have the ability to work with Students with Disabilities and Special Needs. Knowledge and skills in computer, braille writing and sign language will be an added advantage. Duties and Responsibilities: (i) To read and take notes on assigned reading materials for visually impaired and deaf students; (ii) Fetching reading materials from the internet and library for the students; (iii) To guide the students...

Mbeya: Mtoto Mbaroni kwa Kubaka Mtoto na Kumuua

Image
JESHI la Polisi Mkoa wa  Mbeya  limemkamata  Hamisi Ibrahim (15)  akituhumiwa kumbaka na kumuua mtoto mwenye umri wa miaka sita.   Mtoto huyo alikuwa mwanafunzi wa darasa la kwanza na mwili wake ulitelekezwa kwenye pagale la nyumba jirani na nyumbani kwao, kwenye Kata ya Forest ya zamani jijini  Mbeya.   Majirani wa marehemu wanasema mtoto huyo alikuwa akiishi na bibi yake na kabla ya mwili wake kupatikana juzi alitoweka nyumbani kwa siku mbili.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei, alisema jana kuwa polisi waliuondoa mwili wa marehemu juzi baada ya wasamaria wema kutoa taarifa.   Kamanda Matei alisema mtuhumiwa ni mkazi wa mtaa wa Kadege kata ya Forest jijini Mbeya.  

Auawa Baada ya Kufumaniwa Akichepuka na Mke wa Mtu

Image
  KIJANA aliyejulikana kwa jina la Michael Jackson (25) mkazi wa Kijiji cha Magara wilayani Babati mkoani Manyara ameuawa kwa kukatwa katwa mapanga baada ya kumfumania akichovya asali (akifanya mapenzi) kwenye banda la ng’ombe na mke wa Samwel Alfred (48) aitwaye Habiba Saidi (22).   tetesi kijijini hapo zinaeleza kuwa Jackson ambaye bado ni kijana alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke huyo wa mtu kwa muda mrefu na alionywa mara nyingi na siku ya tukio jamaa mwenye mke ‘Alfred’ ambaye alikuwa amepewa taarifa kuhusu tabia ya kijana huyo kuhondomola mke wake aliweka mtego ili aweze kuwafumania.   Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi (ACP), Merrison Mwakyoma tukio hilo limetokea majira ya saa 10 alfajiri ya Septemba 8, 2021.   “Siku ya tukio Alfred alimuaga mkewe Habiba majira ya saa 10 alfajiri kuwa anakwenda kukata kuni na kumuacha mkewe akiwa amelala lakini mkewe huyo akampigia simu hawara yake aitwaye Michael Jackson aende nyumban...