Posts

Showing posts from July, 2021

Rayvanny, Paula Wala Kiapo Cha Kifo

Image
  S UPASTAA  wa  Bongo Fleva, Raymond  Mwakyusa au Rayvanny  na mpenzi wake mpya,  Paula Paul au Paula Kajala,  hawapoi; kila kukicha wana  jambo na safari hii habari za  ndani zimeeleza kwamba,  wamekula kiapo cha kupendana  hadi kifo kiwatenganishe,  IJUMAA limeelezwa. Mbali na kusema waziwazi kuwa,  wanapendana na kuoneshana kwa  kuvaa nguo saresare, siri imevuja  juu ya wawili hao kujipa majina ya  Bonnie na Clyde.   Kitendo cha kujiita majina  hayo kimeibua kisa cha miaka  mingi iliyopita cha kusisimua cha  wapenzi, Bonnie (binti mrembo) na  Clyde (kijana ‘handsome’) ambao  walipendana hadi walipouawa kwa  pamoja wakiwa na umri mdogo  na majina yao yameendelea  kuandikwa, kutamkwa na  kutazamwa.   Hicho ndicho wanachokitamani  Rayvanny au Chui na Paula ambao  wameapa kupendana hadi wafe  pamoja kama Bonnie na Clyde. Kupitia Gazeti la ...

Loan Officer Job Opportunities At Tujijenge Tanzania (Mwanza, Geita And Dar Es Salaam)- 35 Posts

Image
  Job Overview POSITION:  Loan Officers  : 35 posts REPORTING: Branch Manager LOCATION: Dar es Salaam, Geita, Mwanza DEADLINE: 7th August 2021. Job Summary: Loan Officer is responsible with marketing and recruiting potential clients for assigned products and maintains portfolio quality and client retention. A Loan Officer will work on set targets from the Supervisor. Job Description: Market and recruit potential clients for assigned products Evaluates loan applications and documentation by confirming credit worthiness of the client Prepare appropriate loan applications and documentation by informing the applicant of additional requirements Approves/ rejects loans by issuing checks or forwarding application to the loan committee Respond to customer inquiries timely Retain potential clients and ensures smooth services to the clients Achieve monthly targets as set by supervisor. Job Requirements: Diploma/ Advanced diploma/ Bachelor in accounts, finance, marketing, economics ...

Job Opportunities: Regional Coordinator – Vaccination Program (30 Posts)

Image
Job Opportunity: Regional Coordinator – Vaccination Program (30 Posts) Support Council Team to develop the comprehensive Council COVID-19 micro plan Support Council Team to conduct the Council level stakeholders meeting to discuss on COVID-19 vaccination Ensure there are Council maps showing all the Health Facility service areas, villages/ streets, vaccination post fixed and temporary, roads with distance and population. Ensure the Health Facility service area level implementation plans are displayed at the Council Ensure the personnel involved in the implementation are selected per criteria given Ensure the Council Supervisor and vaccinators are health workers qualified to give injection Ensure the recorders are Extension Workers who can easily screen the age of children and record As part of the Council team, monitor and supervise implementation of Local Supervisors and Vaccination Teams Ensure the availability of vaccines, cold chain and logistics materials Ensure the protocol of ha...

Nafasi ya Kazi Vaccination Post team Supervisors (60 Posts)

Image
    Job Overview Overall Function: Vaccination post supervisor is responsible for supervising all COVID19 vaccination activities in the area. Key responsibilities:   Responsible with immunization activities in the Post service area Coordinate the post activities Ensure house to house mobilization is done prior implementation within the post service area. Ensure the volunteers are mature and respected persons selected within the service area who can influence change in the community Ensure the post is functioning according to the vaccination post implementation plan Ensure all eligible people under priority group are vaccinated voluntarily Ensure the availability of vaccine, cold chain and logistics materials Ensure the availability of emergency AEFI drug kit Monitor, manage and audit all AEFI cases and report to the Council Supervisor immediate Data collection, compilation and submission to the Council Supervisor on daily basis Collect the safety boxes from the post to th...

Yanga, Simba Wapigwa Rungu na TFF, Mukoko Na Morrison Wapigwa Pini

Image
  NYOTA Mukoko Tonombe kiungo wa Yanga amepigwa faini ya shilingi laki tano kwa kosa la kumpiga kiwiko mshambuliaji wa Simba, John Bocco kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, Julai 25. Pia Mukoko amefungiwa mechi tatu kwa kosa hilo ambalo aliliafanya na alionyeshwa kadi nyekundu ya jumlajumla. Pia taarifa imeeleza kuwa kipa wa Yanga, Farouk Shikalo amepigwa faini ya laki tano kwa kosa la kukwepa kusalimiana na wachezaji wa Simba pamoja na waamuzi jambo ambalo ni kinyume cha kanuni.   Naye Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amepigwa faini ya laki tano kwa kosa la kugoma kuhudhuria mkutano wa Waandishi wa Habari. Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kutokana na kikao cha Kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kilichokutana Julai 27. Pia Simba imepigwa faini ya shilingi milioni mbili kwa kosa la viongozi na mashabiki kukaidi maelekezo na kuanzisha vurugu kwa kulazimisha kuingia mlango usio rasmi na shili...