Posts

Showing posts from April, 2021

Naibu Waziri Gekul Atoa Maagizo BAKITA

Image
  Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul amelitaka Baraza la Kiswahili la Taifa kuongeza kasi ya kuratibu mpango wa kuwa na vituo vya kufundishia lugha ya Kiswahili kupitia balozi zetu mbalimbali nje ya nchi.   Pia, Gekul amelitaka BAKITA kuhakikisha linafuatilia kwa karibu na kuhakikisha kuwa maelekezo ya viongozi wa Kitaifa kuhusu kubadili sheria na kanuni mbalimbali zilizo katika lugha ya kingereza kuwa katika lugha ya kiswahili yanafanyiwa kazi kwa haraka.   Aidha, Mhe. Gekul ameielekeza Bodi ya Filamu Tanzania kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kukamilisha kwa wakati mfumo wa kielektroniki wa usajili wa Wasanii hapa nchini.   “Hakikisheni mnawasajili na kuwafikia wasanii wote nchini ili kujua idadi yao kamili na wapi walipo ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali ikiwamo mikopo na mafunzo ya kuwaongezea ujuzi,” amesema Gekul.   Mhe. Gekul ameyasema hayo leo tarehe 27/04/2021 alipokutana na kufanya mazungumzo n...

Bullies Call Him Monkey | BORN DIFFERENT

Image

We Are Not Monkeys We Are Children From Heaven : Extraordinary People | ...is

Image

The best affiliate marketing podcast 2021.

 The best affiliate marketing podcast  2021. When you talk about affiliate marketing means revenue share between merchants and affiliates. Propeller Ads company prepare best podcast for you to learng about affiliate marketing! It good, through these podcasts you will get information about affiliate market, hot Geo for affiliate market and best niches for affiliate market. I think this is generation for affiliate marketing, so pass through this podcast  you will get the following ideas, Dating campaign podcast for alfa affiliate Affiliate marketing  forecast the vlog to  advertise like its 2021 Pro secret to running  utilities campaigns affiliate go to sode  Hot affiliates summer podcast with servedo silere and eric gypes Propeller on air  very first affiliate to podcast with ian ferdinando and kj  Rocters  Go to this link to Article ➡️ https://propellerads.com/blog/adv-the-best-affiliate-marketing-podcasts-2021/ #propellerAds #bestaffili...

Job Opportunities at Morogoro International School, Teachers

Image
  Morogoro International School invites suitable qualified Teachers to fill the following post for academic year 2020/21.   Job start date is August 2021. Vacancy Position:  Teachers  (British/Cambridge International Education (CIE) Curriculum. Duty Stations: Morogoro, Tanzania. Subjects Science Teacher  Primary School class teacher. Geography Teacher History Teacher English Teacher Physical Education Teacher Objective To provide a high level of education to the school’s children and help them learn new ideas and concepts to ensure the students meet the required standards of the Cambridge curriculum syllabus Reporting To Head Teacher Key Responsibilities & Tasks The Teacher shall: Plan lessons in line with Cambridge curriculum syllabus documents and in accordance with the school policy  Monitor and record the progress of the students and encourage them to develop and fulfil their academic potential  Keep up to date with developments in the sub...

Quick start guide for advertiser

  Quick start guide for advertiser PDF link ➡️ https://quickstart.propellerads.com Affiliate market refer as revenue share between merchants and affiliates, before launching campaign you must, determine the features, choose your traffic option, set your Geo target, select budget. And narrow it down ! Propeller ads is best digital ads for advertiser, I think because if multitag your ROI must be greet This article is very organized and very easy to understand read it #propellerads #affiliatemarketing

Affiliate Review : india . the audience, statistcs , creative (free pdf)

  Woow did you know over 700M Indians are online?  India Geo is now Great opportunity for advertisers and publishers!  Try to target India, use the English language when you target big cities or try to learn Hindu .  There is Indian favorite colors , blue, red, and purple. I think because of pandemic more Indians will be online so this is chance for advertiser and publisher to increase profit. Click here  https://joinpropeller.com/pdf-india-affiliate-review #propellerads #indiaaffiliate #indiaaffiliatemarket

UEFA CHAMPIONS LEGUE FINAL INCREASE YOUR REVENUE WITH PROPELLER ADS

   UEFA champions legue May 29/2021, Geo, all Europe countries + MENA+ latin amerce, target, iGaming, gaming, streaming, football etc Hi publishers UEFA champions legue is coming, it is your time to make more profits with huge traffic. In this generation many people prefer to stream football online. Because of this pandemic the number of online viewer may increase. Make preparation for this event.  What to do? Make sure your site is mobile views friendly Prepare the event articles  SEO, SEO SEO! Set your SEO, Make SEO, optimization now to get top rank in google search Make sure you use multi tag to increase your CPM and revenue.  Reed more  ⚽s porting Events 2021 for Affiliate Marketers [Interactive Calendar]⚽ https://propellerads.com/blog/adv-sporting-events-2021-for-affiliate-marketers-interactive-calendar #propellerads #sportevent2021

Publisher increase your revenue whith propeller multi tag

Image
 What is Multi tag, Multi tag is form of ads format offered by propeller ads which contain all  of other ads format offered by this company. It means when you set this form of ads  all other four format will appear in your site so no revenue lost with this ads format. And no need  time to lost for searching which type of ads format of this company will be best to your site since all type will be available at one tag. Multi tag consists 4 of ads format wich are,  Onclick ads Push notification Interistrial In page push And all these ads format work perfect together and your revenue will increase up to 25%. How to set mult tag to your site Chose tag zone Name the tag or you may use deffult name. Copy the code and insert it to your site. After that all ads format will be one available to your site so your revenue must increase.  How multi tag look like see photos bellow. In page push format on multitag Interistrial ads format on multi tag shown in this blog WHY...

WAZIRI UMMY AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA TEMEKE LUSUBILO MWAKABIBI..DED SUMBAWANGA

Image
 

ASKOFU AJUTIA KUCHOVYA ASALI YA MKE WA ASKOFU MWENZAKE...AMLAUMU SHETAN

Image
  Ntagali alisimamishwa kazi ya kuhudumu kama askofu mwezi Januari mwaka huu baada ya kubainika kwamba alikuwa na uhusiano Judith Tukamuhabwa. Picha: The Observer *** Askofu Mkuu mstaafu wa kanisa la Kiangilikana nchini Uganda, Stanley Ntagali ameomba msamaha hadharani baada ya kukiri kwamba alichovya asali (alishiriki ngono) na mke wa Askofu mwezake. Ntagali alisimamishwa kazi ya kuhudumu kama askofu mwezi Januari mwaka huu baada ya kubainika kwamba alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke wa mwenyewe aliyetambulika kwa majina kama Judith Tukamuhabwa. Ntagali ambaye alitangaza kwamba aliokoka mwaka wa 1974, alikiri kwamba alipotoshwa na shetani kutekeleza kitendo hicho na anaamini Mungu na waumini watamsamehea.  "Mimi nilimkubali Mungu mwaka wa 1974 siku ya Krismasi, nampenda Mungu na nitazidi kumtumikia, najua Mungu pia ananipenda, Najutia kujiingiza katika uzinzi na kwa sasa naomba msamaha mbele ya Mungu na pia ningependa kanisa linisamehe," Askofu huyo alisema.  ...

SAFARI ZA KWENDA, KUTOKA ZANZIBAR BAHARINI ZASITISHWA TAHADHARI YA KIMBUNGA JOBO... TMA YATOA NENO

Image
  Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesitisha shughuli za usafiri wa baharini zikiwemo safari za meli na vyombo vingine vya usafiri baharini kuanzia leo Jumamosi Aprili 24, 2021 saa tatu asubuhi. Taarifa iliyotolewa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Dkt Khalid Salum Mohamed inaeleza kuwa Serikali ya Zanzibar  imesitisha shughuli hizo kuchukua tahadhari ya kimbunga Jobo kinachotarajiwa kupiga mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Pwani, Lindi, Mtwara na kisiwani Zanzibar pamoja na Mafia kesho Jumapili Aprili 25, 2021. Inaeleza kuwa katazo hilo litadumu hadi hadi pale taarifa nyingine zitakapotolewa na mamlaka husika. Hata hivyo Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA imesema Kimbunga JOBO kimepunguza kasi mara baada ya kuingia kwenye mazingira ya upepo kinzani hivyo kwasasa kimbunga hicho ni hafifu. TMA imetoa taarifa hiyo leo April 24, ikielezea mwenendo wa kimbunga “Jobo” kilichopo bahari ya Hindi ambacho kipo umbali wa kilomita 200 mashariki mwa kisiwa cha Mafia...

AJIRA 6000 ZA WAALIMU, WAANZA KUTAPELIWA

Image
  Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe (katikati), akizungumza na Wajumbe wa Menejimenti ya Tume ya Utumishi wa Walimu – TSC (hawapo pichani), alipotembelea Taasisi hiyo jijini Dodoma Aprili 23, 2021 kujionea utekelezaji wa majukumu. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, anayehusika na masuala ya Elimu, Gerald Mweli na kulia kwake ni Katibu wa TSC Mwl. Paulina Nkwama. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe (mbele-katikati), akizungumza na Wajumbe wa Menejimenti ya Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), alipotembelea Taasisi hiyo jijini Dodoma Aprili 23, 2021 kujionea utekelezaji wa majukumu. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, anayehusika na masuala ya Elimu, Gerald Mweli na kulia kwake ni Katibu wa TSC Mwl. Paulina Nkwama. Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, anayehusika na masuala ya Elimu, Gerald Mweli (katikati), akizungumza na watumishi wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), wakati wa ...