Posts

Showing posts from October, 2020

Meseji nzuri za kumtumia mpenzi wako ili azidi kukupenda zaidi

Image
    Wewe ni kila kitu kwangu. Nitateseka bila wewe. Ninataka nikwambie tu kuwa ninakuwaza muda wote. Ninatamani kuwa mikononi mwako muda wote. Ninakupenda zaidi ya unavyofikiria. Unafanya mapigo ya moyo wangu yaende mbio nikikuona. Najisikia vizuri mno nikikuwaza mpenzi. Ninajihisi salama nikiwa nawe. Nikiwa mikononi mwako ninajihisi nimefika! Ulishaubeba moyo wangu na sitaki uurudishe. Siwezi kuishi bila wewe mpenzi. Sitosahau usiku ule ambao tuli. Tabasamu lako linanipoteza kabisa. Unanistaajabisha kila siku. Nitafanya lolote ili niwe nawe. Ninakutamani kila saa. Ninaona fahari kuwa na wewe.  Wewe ni wangu daima na milele. Unanifaa sana mpenzi. Sijui ningekuwa wapi bila wewe. Kila siku tunapokuwa pamoja naona ninaishi ndoto yangu ya siku nyingi. Moyo wangu unasisimka ninapokuwa nawe. Hakuna mtu aliyewahi kuwa karibu nami na akanifanya nijisikie raha kama unavyonifanya nijisikie. Ninahesabu muda mpaka pale nitakapo pata busu lako tamu. Ni kama vile uliumbwa kwa ajili yan...

Mpenzi wako akiwa ana tabia hizi muache aande

Image
      Ebu litambue hili vyema ni  muhimu sana kuelekezea nguvu  zako, muda wako na upendo wako kwa anayekupenda.. Hapa nina maana kwamba mpende anayekupenda asiyependa achana naye. Mwanamke/mwanaume yeyote anaekuchukulia kirahisi siku zote atachukulia faida kwako, atakugeuza atakavyo kama chapati akijua hufurukuti, yeye sio mungu wa kukufanya atakavyo. Ndiyo asiyekupenda huwezi ukaona anapoteza muda na wewe kwenye mambo ya msingi ya kimaisha ila utaona tu hisia zikimzid  huko ndio anapiga simu nyingi nyingi na kujidai mtulivu na mwenye mapenzi siku hiyo hadi washangaa Unajua nini my dear? Nikwambie hivi. Muache aende .. Unalala, haupati usingizi juu ya mtu ambae huenda amelala na mtu mwingine muda huu kwa amani tele...muache aende! Unaangalia simu yako sasa hivi ukisubiri text ya mtu ambae unamuona yuko online anachati na mtu mwingine kwa furaha zote...muache aende! Unaweka status za huzuni watsapp kuonesha namna gani unavyoumizwa, wakati yeye yuko busy ana...

Graduate Development Program at CRDB Bank / Niajiri

Image
Graduate Development Program     CRDB Bank Plc is proud to introduce the Graduate Development Program, a rich career and professional development opportunity for commited graduates that aims to make a positive impact in the Banking sector. The program is more than a job, so get ready to join a fast-paced journey to grow your skills, develop your career and unlock your potential. Program requirements Fresh graduates with GPA of 3.5 and above from an accredited university Graduated within 2019/2020 28 years old or younger The ideal candidate should posses the following skills Innovation hungry , Ambitious and competitive Youthful and Tech Savvy Excellent communication and interpersonal skills Leadership Skills, creativity, critical thinking, and versatility Fields of Study: Data Science, Actuarial Science, Data Warehouse Engineer, Statistics, Accounts, Finance, Business Administration, Marketing, Computer Science, IT, Computer Engineering, Public Relations and Human Resourc...

2JOB OPPORTUNITIES AT MWANANCHI COMMUNICATIONS LIMITED, SUB EDITORS

Image
    Sub Editors  (2 Post)   Mwananchi Communications Limited, a subsidiary of Nation Media Group, and publishers of Mwananchi, The Citizen and Mwanaspoti newspapers and various online products are looking for motivated and highly experienced individual to fill the position of: SUB EDITOR – MWANANCHI (2 Post) Main Responsibilities: Checks and corrects editorial copy allocated by the Chief Sub- Editor for facts, accuracy, taste, house-style, language use, clarity, details, objectivity, and spellings. Subs copy to fit allocated space without distorting facts or dispensing with the salient points. Re-writes the copy as necessary for simplicity, clarity and style. Rewrites the appropriate headline for the copy, ensuring it reflects the overriding message of the story. Edits the pictures selected by the Chief Sub-Editor to fit the allocated space, and writes/rewrites appropriate caption taking care not to merely state the obvious details. Submits the edited copy to th...

UDSM MERIT SCHOLARSHIPS 2020/2021

  MERIT SCHOLARSHIPS  The University of Dar es Salaam is pleased to announce 62 merit-based scholarships,52 for undergraduate and 10 for postgraduatestudents(at the Master’sLevel)for the 2020/2021 academic year. Successful candidates will register forstudies at the University of Dar es Salaam and her constituent’s colleges (the Dar es Salaam University College of Education [DUCE] and Mkwawa University College of Education [MUCE]).   Attachment :  20201007_082734_UDSM_MERIT SCHOLARSHIPS FOR THE ACADEMIC YEAR 2020-2021.pdf

SECOND BATCH OF ADMISSIONS INTO POSTGRADUATE PROGRAMMES DURING 2020/2021 ACADEMIC YEAR

The following applicants have been selected to join various higher degree programmes offered by Sokoine University of Agriculture (SUA) during 2020/2021 academic year.   Read more details in the following link https://www.dprtc.sua.ac.tz/second-batch-of-admissions-into-postgraduate-programmes-during-2020-2021-academic-year/

Unyanyasaji wachangia kuwakimbiza wasichana kwenye mitandao ya kijamii

Msichana mmoja kati ya watano duniani amepunguza au ameacha kutumia kabisa mitandao ya kijamii kutokana na unyanyasaji unafanyika mtandaoni.  Unyanyasaji huo unaotokea zaidi Facebook unawanyima fursa wasichana kupata fursa za mtandaoni na uongozi. Kampuni za mitandao ya kijamii zatakiwa kuchukua hatua kudhibiti unyanyasaji huo.  Dar es Salaam.  Utafiti mpya wa Shirika la kimataifa linaloshughulikia masuala ya watoto na wasichana, Plan International umebaini kuwa msichana mmoja kati ya watano duniani amepunguza au ameacha kutumia kabisa mitandao ya kijamii kutokana na unyanyasaji unafanyika mtandaoni.  Hali hiyo inachangia kuwafanya wasichana kutokuwa na nguvu katika ulimwengu unaokuwa kidijitali na kuathiri uwezo wao wa kuonekana, kusikilizwa na kuwa viongozi katika ngazi za maamuzi. Utafiti huo  wa uhuru wa kuwa mtandaoni (Free to be online? Girls’ and young women’s experiences of online harassment) uliochapishwa Oktoba 4, 2020  uliwashirikisha wasichana n...

The Last Thing He Wanted”: Filamu inayokusubiri wikiendi hii

Image
Ni filamu inayomhusu mwandishi wa habari anayejulikana kama Ellie. Wakati akifanya habari za kiuchunguzi anajikuta akiangukia chini ya macho ya wasiopenda kufuatiliwa. Kufiwa na baba yake, kunusurika kufa, hofu juu ya mtoto na familia yake ni sehemu ya visa vya filamu hii. Dar es Salaam.  Elena McMahon ni mwandishi wa habari za uchunguzi anafanya uchunguzi juu ya biashara ya silaha inayofanyika nchini Marekani. Wakati akichimba habari hiyo, anajikuta amejivika visivyovalika baada ya Richard McMahon ambaye ni baba yake kumhusisha na biashara ya silaha wakati akiwa kwenye siku za mwisho za maisha yake. Ufukunyuku wa mwanadada huyo unamfanya adondokee kwenye rada za watu wasiopenda “wambea” kama yeye. Familia iliyovunjika, baba anayeaga dunia, mtoto anayemlilia na kazi zinazomuelemea ni sehemu ya kimbembe kinachomsibu mwanadada huyu ambaye ni mwandishi mashuhuli wa habari. Ataweza kuishi endapo kila hatua yake iko chini ya uangalizi? Fuatilia filamu ya  The...