NADHARIA YA TENDO UNENI pdf
masshele Swahili Nadharia ya tendo uneni ina matumizi ya kila siku katika mazungumzo yetu. Kwa kutumia mifano ya kutosha jadili nadharia hiyo. 1.0 Utangulizi. Swali limegawanywa katika sehemu tatu, ambazo ni utangulizi, kiini na hitimisho. Katika utangulizi imetolewa maana ya tendoneni na aina ya tendoneni, hatua, masharti ya tendouneni, katika kiini imelezwa matumizi ya tendoneni, na mwisho ni hitimisho. 1.1 Fasili za Dhana za Msingi katika Swali; Baktir (2011) anafasili tendouneni is an influential theory on the actual communicative funtion of language and tries to answer to what extent impartial interaction is possible between speakers. Tendouneni ni matendo yafanyikayo baada ya msikilizaji kuitika kauli iliyosemwa na msemaji (tafsiri yetu) fasili hii haitofautiani sana na fasili ya Resani (2014) anaye fasili kuwa ni tendo linalofanywa kulingana na tamko. Kwaujumla tendouneni ni tendo au ule mwitiko ufanywao na msikilizaji baada ya tamko kutoka kwa msemaji. 1.2 Historia ya...