Posts

Showing posts from March, 2019

KAGERE ANAONDOKA SIMBA

Image
MENEJA wa Mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere, Patrick Gakumba anatua nchini hivi karibuni kukutana na viongozi wa Simba kuhusu dili ya nne tofauti. Kwa mujibu wa meneja huyo Raja Casablanca ya Morocco, Zamalek ya Misri, TP Mazembe na SC Vita zote za DR Congo zimefika bei kwa Kagere. “Simba ndio wanashikilia mkataba wa Kagere kwa sasa, siwezi kuweka wazi kitu chochote hadi nitakapokutana na uongozi wa klabu hiyo ili niweze kuzungumza nao na ninatarajia kuja Dar hivi karibuni ndio nitajua kama atabaki ama la. “Kuna timu nyingi ambazo zinamuhitaji Kagere ambazo ni TP Mazembe, SC Vita, Casablanca na Zamaleki zote hizo zilimfuata na kumtaka lakini hatujafikia makubaliano nazo. “Kitaaluma na kibiashara watu wanakwenda kimkataba, Kagere ni mchezaji wangu ninammeneji lakini Simba ndio wenye mamlaka naye kwa sasa na ndio wenye maamuzi ya kumtoa ama la, hadi tukutane tukae na tuzungumze niwaombe ndipo nitakapowatangazia. “Watu wakae watambue kwamba, Simba sasa hivi sio timu ya kawaida, maan...

Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2018 ruksa kubadilisha Tahsusi(Combination)

Image
Serikali imetoa fursa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne mwaka 2018 na wanaotegemea kujiunga na kidato cha tano pamoja na vyuo kwa mwaka 2019 kubadilisha Tahsusi(Combination). Akitoa taarifa kwa vyombo vya Habari Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo Serikali ya Awamu ya Tano inawapa wahitimu hao fursa ya kufanya mabadiliko ya machaguo ya Tahasusi (Combination) na kozi mbalimbali walizozichagua kwenye fomu ya “F4-Selform. Amesema Fursa hii itawawezesha wanafunzi kurekebisha machaguo yao kulingana na ufaulu waliopata kwenye matokeo ya Kidato cha Nne 2018 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani Tanzania, NECTA. “Kwa mara ya kwanza Wanafunzi watakuwa na uwezo wa kubadili machaguo au kuchagua kutoka Kidato cha Tano kwenda Chuo au Chuo kwenda Kidato cha Tano kwa kadiri ya mahitaji yake na jinsi alivyofaulu mitihani yake” alisema Jafo na kuongeza; "Unajua wanafunzi hujaza Fomu za F4-Selform kabla ya kufanya mitihani s...

UHAKIKI LINGANISHI WA TAARIFA MUHIMU KUHUSU VIDAHIZO KATIKA KAMUSI YA KARNE YA 21 NA KAMUSI YA KISWAHILI SANIFU

Benard Odoyo Okal IKISIRI Kamusi kadhaa wahidiya (za lugha moja) za Kiswahili kama vile Kamusi ya Kiswahili Sanifu toleo la kwanza, pili na tatu, zimewahi kutungwa kutokana na juhudi za Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI) inayojulikana sasa kama Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI) ili kusaidia mafunzo ya Kiswahili na taaluma ya leksikografia katika taasisi kadhaa za elimu. Kamusi nyingi wahidiya za Kiswahili zimetungwa kwa kutumia mitindo anuwai ya utoaji maelezo ya taarifa muhimu za vidahizo husika licha ya kwamba kuna lugha kienzo maalum ya kuzingatiwa katika kuwasilisha taarifa hizo za vidahizo. Hivyo basi, makala haya yanahakiki kiulinganifu wa taarifa muhimu kuhusu vidahizo katika Kamusi ya Kiswahili Sanifu toleo la tatu (TUKI, 2013) na Kamusi ya Karne ya 21 (Mdee, Njogu na Shafi, 2011). Uhakikiki linganishi katika makala haya umehusisha masuala anuwai hasa maelezo ya idadi ya vidahizo, mpangilio wa vidahizo, taarifa za kisarufi (tahajia na matamshi, kategoria ya ...

Mchango Wa isimu katika utungaji Wa kamusi

Hapa chunguza vipengele vya kiisimu na nafasi yake katika kamusi Chunguza, Fonolojia, vidahizo vinavyo tamkwa, Chunguza mofolojia Sintaksia Semantiki Na etmolojia

STRAIKA HATARI MBENIN AHITAJIKA SIMBA

Image
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amesema bado anahitaji huduma ya mshambuliaji, Sadney Urikhob raia wa Benin kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara. Mshambuliaji huyo hivi karibuni alitua nchini kwa ajili ya majaribio ya kuichezea timu hiyo kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kabla ya kurejea nyumbani kwao kutokana na kanuni za usajili za Caf kumzuia kusaini Simba. Mbenin huyo alikuwepo kwenye sehemu ya kikosi cha timu hiyo kilichoshiriki michuano ya SportPesa Super Cup, iliyofanyika hivi karibuni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Aussems alisema tayari ameanza maandalizi ya kukisuka kikosi chake kipya atakachokitumia kwa ajili ya msimu ujao wa ligi huku jina la Mbenin likiwa la kwanza kwenye orodha yake. “Nipo kwenye mipango thabiti ya kukiimarisha kikosi changu katika kuelekea msimu ujao wa ligi, kama unakumbuka walikuwepo baadhi ya wachezaji waliokuja na wengine niliowaleta kwa ajili ya kuwaongeza katika usajili wa Caf. “Kati ya hao yupo yule mshambul...

NAFASI YA KAZI: MOBISOL GROUP TANZANIA, AREA MANAGER

Image
ABOUT US: Mobisol Group is a leading global player in decentralised solar electrification. Driven by market demand for off-grid solutions beyond lighting, Mobisol designs, distributes and services large solar systems, seamlessly integrated with proprietary pay-as-you-go (PAYG) software. By combining the latest high-tech solar hardware with mobile payment technologies, the Berlin-based company ensures affordability through flexible payment plans. Mobisol enables rural families and businesses to power a wide range of compatible appliances, such as televisions and stereos, thereby improving people’s standard of living and enabling incremental income from new solar-powered businesses. With over 600 employees, Mobisol runs its own operations in Tanzania, Kenya, and Rwanda, while providing hardware and software solutions through a growing network of B2B partnerships in another nine countries worldwide. What this job is about  The Area Manager leads and manages a team of Sal...

SIMBA, AJIBU WAMALIZANA

Image
YANGA SC waliwafanyia umafia Simba kwa kumng’oa Ibrahim Ajibu na kwenda kumtambulisha kwa mbwembwe kisha wakampa uzi wa kijani misimu miwili nyuma. Simba wenyewe walijipoza machungu hayo kwa kumchomoa kiungo fundi Haruna Niyonzima na kumpa jezi nyekundu. Lakini taarifa ikufikie kwamba mara ligi itakapomalizika tu muda wowote Ajibu atarudi kule alikotoka kwa kuvaa tena jezi nyekundu. Vigogo wa Simba wameamua kwani wanataka kuona kombinesheni ya Ajibu na Niyonzima pembeni wakiwa wanawalisha mipira tu washambuliaji wao wakiongozwa na Meddie Kagere.  Ishu iliyotufikia mezani ni kwamba tayari Simba wameshamalizana na nahodha huyo wa Yanga na kuna mkataba amesaini lakini ukiwa ni ule wa awali. Nahodha huyo wa Yanga kwa sasa anahesabu tu siku ndani ya klabu yake hiyo kisha achukue virago vyake na kurudi kwao. Waswahili wanasema nyumbani kumenoga. Mkataba wake unafika ukingoni pale msimu huu utakapogota mwishoni. Habari ambazo Championi Jumatatu, limevujishiwa ni kwamba kila kitu juu y...

LIVE: RAIS Magufuli Akutana IKULU na Taifa STARS

Image
LIVE: RAIS Magufuli Akutana IKULU na Taifa STARS

MWANAFUNZI AMUUA MWENZAKE KWA KUMCHOMA KISU

Image
Jeshi la Polisi   Mkoa wa  Katavi, linamshikilia mwanafunzi wa  kidato cha kwanza wa Shule ya Sekondari ya  Kabungu  mwenye umri wa miaka 15 kwa tuhuma za kumuua   mwanafunzi mwenzake wa  kidato cha tatu mwenye umri wa miaka 17 kwa kumchoma kisu kifuani. Inaelezwa chanzo cha mauaji hayo, ni ugomvi kati ya wanafunzi hao. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Damas Nyanda alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 5 usiku Kijiji cha Kagwila wilayani Tanganyika. Alisema wanafunzi hao  walikuwa wakiishi  chumba kimoja kutokana na nyumbani kwao kuwa mbali na shule. Alisema pamoja na mtuhumiwa kusoma kidato cha tofauti na  marehemu na kuishi chumba kimoja, katika masuala ya chakula kila mmoja alikuwa anajitegemea kwa  kila kitu. “Siku ya  tukio, marehemu  alidai alikuwa amenunua mafuta ya kula aina ya Korie mchana ya Sh 300 kwa ajili  ya kupikia  chakula  chake cha usiku. ...

CHAMA AWAPA SIMBA MCHEZAJI NI YULE ALIYE PIGA HATRIKI NDANI YA DAKIKA TANO LIGI YA MABINGA

Image
<span class="mycenter"><span class="image-share-wrap"><span class="hidden-share" style="width:48px;"><a rel='nofollow' href="https://www.facebook.com/sharer/sharer.php?u=https%3A%2F%2Fglobalpublishers.co.tz%2Fchama-ashusha-mashine-simba&picture=https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2019/03/lazarous-kambole-of-zambia_18upv19tng1qp16lfnj8v5y7ov.jpg" onclick="newMyWindow(this.href); return false;"><img title='' width='48' height='48' src='https://globalpublishers.co.tz/wp-content/plugins/cool-image-share/img/roundsimple/facebook.png' /></a><a rel='nofollow' href="http://twitter.com/share?text=Chama%20ashusha%20mashine%20Simba&url=https%3A%2F%2Fglobalpublishers.co.tz%2Fchama-ashusha-mas...